chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,124
Almost 30 kilometers from CBD
Dar is huge and fast developing!
Ogopa matapeli, hapa sio Ulaya!
Dar is huge and fast developing!
Ogopa matapeli, hapa sio Ulaya!
Almost 30 kilometers from CBD
Dar is huge and fast developing!
heb toa ata skyline ya Iringa tuone kama inatosha unga.. hauwezi. kisa... iringa haina skyline, yani ni flat kama imepigwa pasiCity? 😂😂😂😂😂😂😂
BRT ya tazara ni bora x2 ya ubungo ...brt ya ubungo imejengwa kifisadi fisadi bora wangejenga sawa sawa na yatazara ...kwanza ule mwinuko wa ukuta kuwa juu sana kabla ya nguzo ya kwanza ni kosa kubwa sana maana eneo ambalo hiyo brt ipo ni mjini kabisa hivyo kuharibu sura ya mji na kuzuia mzunguko wa hewazilo poa mkuu,mwenyewe nilizidharau ngoja zikamilike na brt pale wakiweka na taa utaona kulivyo bomba
Halafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashioWhite dent, Mo & Azam Energy drinks, Whine, Konyagi, Transforma za umeme, Tiles, Ceramics, toka Tanzania zimejaa Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii serikali ya kisengeee ya kutekenyana makalio na kupapasana ndiyo matokeo yake haya ufisadi wa kutisha umekuja tz ambao hata kipindi cha kikwete atukufikia hii kiwango kibubwa cha ufisadi namna hii
[/QUOTE maza faka
Hapo vipia very rare view where darslam slighly looks like westlands, lakini bado iko chini kiasi, haifiki levels za westy
View attachment 2284781
na hebu imagin hii yote tuna tengenezea sub saharan africa mzima. sio nyinyi tu !😆😆Halafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashio
Hapo ni kurudisha ufisadi, ujamaa na umasikiniHalafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashio
na hebu imagin hii yote tuna tengenezea sub saharan africa mzima. sio nyinyi tu !😆😆
View attachment 2284934View attachment 2284924View attachment 2284925
ya tanzania ni fake. yetu ni original multi-national, inaenda hadi middle eastView attachment 2284939
Ushawahi kukutana na hii kitu?
Britain’s Attorney General, Suella Braverman, who has Kenyan roots, on Thursday announced her interest in succeeding Prime Minister Boris Johnson who resigned on Thursday.wacha kuwa na mawazo ya kibaguzi ni ujinga ,huyo ni Muingereza kama wengine hiyo nature colour yake usiijudge.
wakenya mnamatatizo sana,nendeni na nyie mkadominate basi tuwaite kenyabritish


Uache utani kk,hii ni city kivipi
ona ata milk powder yetu inaenda hadi ughaibuni........ ! alah.!View attachment 2284939
Ushawahi kukutana na hii kitu?
ok... it's not a city yet, but it's a well organised small townCity? 😂😂😂😂😂😂😂
ok ok.. sawa basi.. sio city hasa, lakini ni mji mdogo ilio ratibiwa vyema kaka..Uache utani kk,hii ni city kivipi