Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT ya tazara ni bora x2 ya ubungo ...brt ya ubungo imejengwa kifisadi fisadi bora wangejenga sawa sawa na yatazara ...kwanza ule mwinuko wa ukuta kuwa juu sana kabla ya nguzo ya kwanza ni kosa kubwa sana maana eneo ambalo hiyo brt ipo ni mjini kabisa hivyo kuharibu sura ya mji na kuzuia mzunguko wa hewa
BRT gani unazungumzia hakuna brt tazara.
 
Kaka ninakupa homework Google uniambie kama tanzania kuna nyumba za mbavu za mbwa kama hizi👇ukizipata nitag nifunge account
Sasa unajifanya hujaona zile picha za uswazi nilizopost hapa?
 
Vitu kama hizi ndio watanzania hawapendi kuona.
images - 2022-07-09T151316.956.jpeg

Utasikia eti ooh sisi tunamiliki dreamhouses. Kumbe dreamhouses nazo ni uswazi mwanzo mwisho
 
Kwahili la Kigoma umenena kabisa, barabara ya Nyakanazi Kigoma ilianza kipindi cha mwisho cha Kikwete ilianza kwa kasi sana mwamba alipoingia ngoma ikasimama ni hapa juzi tu ndo amsha amsha imeanza tena. Kwa wakazi wa Kigoma hasa mjini ukiongea habari za kumsifia mwamba utapigwa makofi
Alikuwa na hila chafu unfortunately ni Sukumagang tu wanam-support!
 
Kama hujui ccm na anc ni vyama vyenye ushirikiano kwa 100%,hata hao hizo rangi wamechukua kwa ccm
aa wapi.? copycat nyinyi...
ANC imeanzishwa 1912, tanganyika ikiwa bado msitu, ikiwa inhabited na the Hadzabe clicking sounding neanderthals
Screenshot_20220709-161117_Chrome.jpg
Screenshot_20220709-154617_Chrome.jpg
 
Iringa skyline....
hapa ndo kwao.. hapa ndo kwetu
Screenshot_20220709-152130_Chrome.jpg
the very best skyline of kismayo.. ooh sorry, Iringa city
Screenshot_20220709-153548_Chrome.jpg
 
Navyo wajua Wakenya watakuja kusema wao ndo wasababisha kiswahili kijulikane Duniani nawakati hata bunge lao hawatumii kiswhili na hakuna hata mtu mmoja walie msaidia kjifunza kiswahili huko nje
 
Back
Top Bottom