Japan yuko juu sana next to USA kwa kipato cha mtu mmoja mmoja China bado ni developing countryVipi kuhusu kipato cha Mjapan mmoja na Mchina utofauti upo wapi, naona kama Japan bado yuko juu ya China.
Japan yuko juu sana next to USA kwa kipato cha mtu mmoja mmoja China bado ni developing countryVipi kuhusu kipato cha Mjapan mmoja na Mchina utofauti upo wapi, naona kama Japan bado yuko juu ya China.
Tatizo majadiliano yanakuwa mengi na yanachukua muda mrefu. Hapa mzee baba ndipo alipokuwa akiweza, akisema kitu unaona ndani ya muda mfupi kazi zinaanza kufanyika.dah bongo bado tumelala tu mpaka leo vitu vipo on paper , upandw wa michezo wapo slow hawafuatilii mambo kwa speed kazi yao ni simba na yanga tu



I think i overheard kwenye budget ya mwaka huu fedha zimetengwa.Tatizo majadiliano yanakuwa mengi na yanachukua muda mrefu. Hapa mzee baba ndipo alipokuwa akiweza, akisema kitu unaona ndani ya muda mfupi kazi zinaanza kufanyika.
Mradi wa ujenzi wa daraja la Jangwani na mto Msimbazi vipi mbona hatuoni muendelezo?Shida ni pesa au mkandarasi hajapatikana![]()
G7 countries wanatakiwa wajitathmini kweli kweli, Boris kaenda, huyu nae ilikua arudi, wamempumguza. Biden anaondoka! Macron nae chupu chupu....... Trudeau nae hati hati......yani wajitathmini kweli.hii ni noma sana mzee.....yani japan of all the places.?..
Hawa jamaa wachina kweli hawapatan na Japan.. the state affiliated media wanapost pic kama hii
Even this video
.🤣 🤣 🤣 Ready for brown sugar.
anaesema hayo maneno ni kijana mmoja kutoka kibera ananuka njaa na shida![]()
















Wacha maneno mingi, bongo hakuna IMIC. Ni Kenya au India, it's that simple hamna other option.BTW that IMIC is a subset of nuclear medicine though as nuclear medicine ipo more advanced! Sasa watu tuna TAEC ambayo ndo msimamizi wa hiyo sector in the region! Sijui anatuambia nini!
About Nuclear Medicine & Molecular Imaging
What are molecular imaging and nuclear medicine?
Molecular imaging is a type of medical imaging that provides detailed pictures of what is happening inside the body at the molecular and cellular level. Where other diagnostic imaging procedures—such as x-rays, computed tomography (CT) and ultrasound—offer pictures of physical structure, molecular imaging allows physicians to see how the body is functioning and to measure its chemical and biological processes.
Molecular imaging includes the field of nuclear medicine, which uses very small amounts of radioactive materials (radiopharmaceuticals) to diagnose and treat disease. In nuclear medicine imaging, the radiopharmaceuticals are detected by special types of cameras that work with computers to provide very precise pictures of the area of the body being imaged. Nuclear medicine can also be used to treat certain types of cancer and other diseases.
Molecular imaging offers unique insights into the human body that enable physicians to personalize patient care. In terms of diagnosis, molecular imaging is able to:
- provide information that is unattainable with other imaging technologies or that would require more invasive procedures such as biopsy or surgery
- identify disease in its earliest stages and determine the exact location of a tumor, often before symptoms occur or abnormalities can be detected with other diagnostic tests
How do they help patients?
As a tool for evaluating and managing the care of patients, molecular imaging studies help physicians:
- determine the extent or severity of the disease, including whether it has spread elsewhere in the body
- select the most effective therapy based on the unique biologic characteristics of the patient and the molecular properties of a tumor or other disease
- determine a patient’s response to specific drugs
- accurately assess the effectiveness of a treatment regimen
- adapt treatment plans quickly in response to changes in cellular activity
- assess disease progression
- identify recurrence of disease and help manage ongoing care
When are they used?
Molecular imaging procedures—which are noninvasive, safe and painless—are used to diagnose and manage the treatment of cancer, heart disease, brain disorders such as Alzheimer’s and Parkinson’s disease, gastrointestinal disorders, lung disorders, bone disorders, kidney and thyroid disorders, and more.
SNMMI offers fact sheets that explain how nuclear medicine and molecular imaging can help diagnose and/or treat a wide range of diseases.
View SNMMI Fact Sheets
About SNMMI
www.snmmi.org
Kenya hatukubali manufactured goods kutoka Uganda au Tanzania. Endeleeni kutuuzia raw materials tutanunua. Kaulize Lato milk ya Uganda tulichowafanyia.
Unazungumzia GDP Ila kimaendeleo CHINA itamchukua miaka mingi sana kufika mahali Japan wako leo,sasa imagine wajapani 120M wana gdp ya $5+trill Vs wachina 1.4B wenye gdp ya $18trill...Hawa waJapan ni matajiri mno mno...Ndio maana Japan imewatawala wachinaJapan was the second economy kwa muda mrefu sana imeshushwa na china juzijuzi tuu baadae ya recession ya muda mrefu now uchumi wa tatu duniani baada ya USA na China. Anayefuatia Japan ni Germany halafu UK na France
Kwa hiyo kiwanda kisiwe na brown sugar sio kiwe na white sugar tu? Wacha upumbavu hata 5 star hotels zina bothe brown and white sugar and simple syrup!🤣 🤣 🤣 Ready for brown sugar.
Ulitaka wawe chawa wa tanzania?kabisa iko poa ila ni chawa wa US
unakaa unaweza bishana na radio! 🤣 🤣 🤣Wacha maneno mingi, bongo hakuna IMIC. Ni Kenya au India, it's that simple hamna other option.
She's only 18, huyu ataenda mbali sanaHongera sana dogo just keep it up!!
Equipments ndio hizi, The IMIC centre includes a commercial Cyclotron, 2 PET-CTs, a SPECT-CT machine, 256 Slice CT, and a 3.0 Tesla MRI.We kilaza unajua maana ya molecular imaging au hiyo IMIC unayozungumzia unafikiri IMIC ni machine!
IMIC maana yake ni integrated molecular imaging centre. Diagnostic tools zinazotumika kwenye hiyo centre ni PET CT scans, MRI na nyinginezo nyingi tuu. The top one being the PET CT scan ambayo sisi Tanzania tunayo kitambo tuu.
Halafu kabla huja post vitu hapa for the purpose of bragging do your research kwanza kabla hujakuja hapa kujiaibisha.
Uchina wameshakua wengi angalia na idadi yao,bro chanzo cha mapato sio mshahara peke yake,unaweza pata fedha kwa kilimo mifugo na biashara, Mimi home wazazi ni watumishi na wafanyabiashara,tumekulia katika mazingira ya kufanya kazi na kujituma,tupo wengi lakini wote tumesoma na tunajua kutafuta pesa,Hapa tuelewane kabisa kufanya kazi na kujituma sio lelemama...Kwa nini China walisema kila familia izae mtoto mmoja tu? Unajua ni kwa nini? Halafu ni Watanzania wangapi wanapata mshahara wa tsh 2 million kwa mwezi? Nipo sure ni less than 2% ya Watanzania. So umetoa mfano mbaya ukizingatia kwamba majority ya Watanzania ni masikini na hawawezi kumudu watoto wanne na kuwapa maisha mazuri. Hii ni fact tu. Watanzania wengi mapato yao kwa mwezi ni kidogo sana na bado wanazaa watoto tano au sita. Hii inafanya watoto wasipate masomo bora na hata kutomaliza shule kwa sababu ya kukosa karo. Lishe bora pia inakuwa ni tatizo, yaani balanced diet.
Is kenya one of the countries?unakaa unaweza bishana na radio!![]()
![]()
![]()
Kwenye mambo ya radiation tunawa-train!
Tanzania Now Trains Africans On Nuclear Technology
8 JUNE 2020
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By Deus Ngowi
TANZANIA Atomic Energy Commission (TAEC), has efficaciously completed intensive training on radio-analytical course in nuclear technology to participants from seven African countries.
The three months training organised by the TAEC in collaboration with the European Union (EU) was specifically on analytical techniques and majored on radio-analytical chemistry, as a field in simultaneous analytical chemistry and applied radiochemistry that is concerned primarily with the use of radionuclides and ionizing radiation for analytical purposes.