Wewe unachekesha Sana, unasema adhabu should be reasonable, tuambie wewe hiyo reasonable ni ipi kwa upande wako?, Umesikia kilichomkuta R Kelly huko Marekani?, amechezea 30 safi kabisa.
Wewe ni mtu usiyejua lolote zaidi ya kupiga Domo,
1)Kwanza hii Sheria sio ya Magufuli, hii Sheria ilitungwa na Nyerere na ndiyo ilikua ilitumika miaka yote, Samia ndiye rais wa kwanza kuibadilisha, Sasa Kati ya Nyerere na Marais wengine wote waliopita na Samia *who is who?".
Kwahiyo wewe hujui lolote kuhusu mfumo uliokuwepo wa kusoma nje ya mfumo rasmi?, Putia YouTube tafuta hotuba za Professor Ndalichako akijibu swali akiwa Bingeni mwaka juzi.
Kama umefika Iringa, nenda pale Ipogolo Kama unaelekea Kilolo, utakuta shule maalumu ya hao wenye watoto.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app