Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
@Tony254kwani wakenya ni vilaza kuendesha hio white elephant project [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tony254 mulirogwa na nani??
View attachment 2283144
Bunge “lenu” lenye majority ya chama kimoja, right wing, ambacho constantly kimewaweka kwenye umasikini since it’s inception? Yes, I’m smarter and ethical than them! Just because laws were made in the past, it doesn’t mean people living today should continue carrying their burden. Times change, attitudes change, the level of knowledge changes too!Nimekuuliza hiyo reasonable unayotaka wewe ni kiasi gani?, Bunge letu lilipitisha hiyo adhabu na liliona kwamba ni "reasonable" Sasa wewe unadhani kwamba upo na akili nyingi kuzidi wabunge wote[emoji23][emoji23].
Hiyo adhabu haikutungwa kuwalenga boys in schools, wasichana wengi hupewa mimba na watu wazima Kama R Kelly, wenye pesa na umaarufu, ikitokea ni boys under 18yrs, Sheria inatumika kutoa hukumu kwa minor.
Kuhusu hiyo shule kule Iringa ni kwa ajili ya wasichana wadogo waliopata ujauzito na wanaishi na watoto wao. Mkuu unanishangaza Sana jinsi ulivyo na uwelewa mdogo, Sasa Mimi nimekutajia shule Moja Kama mfano, unataka nizitaje shule zote za aina hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23].
Hawa waliopata mimba wanayo hiari, kuendelea na masomo au kubaki Nyumbani, wengi walikua hawapendi kurudi shuleni, ndio sababu hizo shule ni chache Sana hapa Tanzania, Sasa ulitaka zijengwe nyingi kila mkoa wakati hakuna wanafunzi.wa kutosha?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unaposema mnakienzi kiswahili ulikuwa na maana gani? Unajua ninyi Wakenya hamna akili kabisa hata ya kuvukia barabara?huyu kaka kanena ukweli, hivi huku kenya ukiingia afisi yote, either iwe public ama private kisha ukanonga kwa kiswahili, ata iwe mufti namna gani, utaonwa chini sana..
na ikiwa utakua unajaribu kuomba kazi huku ukinonga kiswahili, hio kazi sahau! ata kama umehitimu na umejihami na vyeti zote zinazo hitajika. maana kiswahili kinachukuliwa kama ya lugha ya watchmen, drivers, housemaids, cooks, manamba, mama mboga, mama ntilie, na watu wanao endesha bodaboda ama baskeli.
kweli katiba inahimiza sana kiswahili kitumike mahali popote ata iwe afisi ama parliament, lakini my broda kwa ground vitu ni different.. karibu sana kenya.. utazoea tu
Tukisema mombasa port ni regional hub mnanuna.walitudanganya kuhusu hili bus kumbe lilikua linaenda rwanda 😂😂😂😂View attachment 2283140
Hapo sasa, Wakenya hawana akili kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo umejitia dole mwenyewe kisha unanusa sio?, Uliposema Kenya mnakienzi Kiswahili ulikua una maana gani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tunamaanisha kiswahili kilianza kenyaSasa unaposema mnakienzi kiswahili ulikuwa na maana gani? Unajua ninyi Wakenya hamna akili kabisa hata ya kuvukia barabara?
Duniani matajiri ni watu wachache Sana, hata huko Marekani ambako Kuna matajiri wengi duniani, kwahiyo sio rahisi kwamba ni lazima tuwe Kama Azam, Mo au Mengi, hata ukishikwa mkonoIf Magufuli was trying to prevent foreign citizens from acquiring positions of power, it’s apparent that he saw that Tanzanians, especially those of African descent needed an equal footing. Did he ever appoint or recommend any Arabs or Indians? It’s clear that even he saw the need for people who look like him to be in positions of power.
I believe I mentioned earlier that there’s nothing wrong with hiring a relative in the private sector. As long as they can get the job done. What I’m looking into is the historical basis in which some families in this country have accumulated a lot of wealth over the years and that wealth continues to circulate within their families. Is there a way that their businesses can be the reason to lift up others who are not their immediate family members?
It seems like an intrusion, but it interests me that 99% of the top ten richest people in Tanzania are minorities. What about black Africans? Mengi tried, but he’s an outlier on that list. And this shows that there’s a racial wealth gap between the majority of Tanzanians and minorities.
Let me ask you something; what are the chances that you’ll earn one hundred million dollars by the time you retire? I’m sure the answer will be “Very Slim.” But you believe that since someone was poor but became a billionaire and you also grew up poor then somehow you’ll have a chance to end up like them. Don’t fool yourself! We don’t have the same destiny or talents! Your journey is uniquely yours. But if you receive help, that could potentially give you a chance to build something better for yourself. There’s no such thing as “tuwekeze.” Hayo ni maneno ya chura.
Hapa atarudi na kingereza kingi sana ngoja uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unachekesha Sana, unasema adhabu should be reasonable, tuambie wewe hiyo reasonable ni ipi kwa upande wako?, Umesikia kilichomkuta R Kelly huko Marekani?, amechezea 30 safi kabisa.
Wewe ni mtu usiyejua lolote zaidi ya kupiga Domo,
1)Kwanza hii Sheria sio ya Magufuli, hii Sheria ilitungwa na Nyerere na ndiyo ilikua ilitumika miaka yote, Samia ndiye rais wa kwanza kuibadilisha, Sasa Kati ya Nyerere na Marais wengine wote waliopita na Samia *who is who?".
Kwahiyo wewe hujui lolote kuhusu mfumo uliokuwepo wa kusoma nje ya mfumo rasmi?, Putia YouTube tafuta hotuba za Professor Ndalichako akijibu swali akiwa Bingeni mwaka juzi.
Kama umefika Iringa, nenda pale Ipogolo Kama unaelekea Kilolo, utakuta shule maalumu ya hao wenye watoto.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
heb ongeza volume🔊📢 kakaTunamaanisha kiswahili kilianza kenya
Mkuu inaonekana upo na akili nyingi kunizidi, haya maswali siwezi kuyajibu, kwaheri mkuu.Bunge “lenu” lenye majority ya chama kimoja, right wing, ambacho constantly kimewaweka kwenye umasikini since it’s inception? Yes, I’m smarter and ethical than them! Just because laws were made in the past, it doesn’t mean people living today should continue carrying their burden. Times change, attitudes change, the level of knowledge changes too!
Hao boys under 18 years, Sheria inasema wapate Adhabu gani? And why would girls and boys receive different forms of punishment? Their sexual acts were consensual, weren’t they? There’s no manipulation or something of that sort. They both agreed to have sex. Again, I keep proving that I’m smarter than wabunge wenu. .
I bet religion is behind this law. No wonder it’s always a good idea to separate the church from the state
Technically, boys suffer more because they’re no longer allowed to return to school and they’re thrown in jail. What does jail do to these boys? If it’s for correctional purposes, they wouldn’t even need to be put in jail. There are other forms of correction. So, the main purpose is to make them suffer! Isn’t that Barbaric especially for the people who consider themselves “religious?”
Asante sana mkuu kwa hili somo, na hiki ndicho tunachojaribu kukisema ya kwamba mnyonge tumnyonge lkn haki yake tumpe, haiwezekani tumuongelee mtu mabaya yake alafu tunakesha hapa 24/7 tukipost miradi aliyoanzisha kwa mkono wake mwenyewe, wakati Wakenya wamekuwa na adabu kwa Tz kutokana na yeye, hiyo sio haki hata kama tunatafuta uteuzi.Abiria 1200 na mizigo Tani 400, very fast, luxurious and modern, Hata mumchukie vipi, Magufuli atabaki kuwa kiongozi Bora baada ya Nyerere kwa Tanzania pamoja na ukichaa wake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kilianzia Kenya alafu hamkijui au sio? Wakenya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunamaanisha kiswahili kilianza kenya
Kwa standards za Marekani, an average middle class household is a millionaire in Tanzania. Imagine how big the middle class in America is.Duniani matajiri ni watu wachache Sana, hata huko Marekani ambako Kuna matajiri wengi duniani, kwahiyo sio rahisi kwamba ni lazima tuwe Kama Azam, Mo au Mengi, hata ukishikwa mkono
100% ya matajiri sio employed, wengi waliamua kuachana na ajira ili wapambane mitaani, walipitia mengi Sana, wachache walifanikiwa, wengi hawakufanikiwa pamoja na kushikiwa mikono.
Lazima ubadili mtazamo wako wa maisha wa kutoka kulalamika na kuwatupia lawama watu wengine Kama ndio chanzo cha wewe kutokufikia malengo yako na kuanza kupambana bila kutegemea kushikwa mkono
Wahindi Babu zao walitoka India na kuja kufanya biashara, walilimbikiza Mali kidogo kidogo na kuwarithisha watoto wao hadi hapa tulipo Leo wanamiliki Millions of dollars, wewe unataka kabla sijastaafu nikamate $100M. Lengo langu ni kuwaachia watoto wangu msingi imara watakaotumia kuzalisha Mali na kuzipata hizo $100M, Kama ambavyo Mo alizikuta toka kwa wazazi wake.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kila la kheri!Mkuu inaonekana upo na akili nyingi kunizidi, haya maswali siwezi kuyajibu, kwaheri mkuu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The income iko sawa, if u understand ROI in business. Hope uko freshi..,
Ukweli kabisaTunamaanisha kiswahili kilianza kenya