Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo hujui unalozungumza, unarukaruka bila kujua nini unazungumza
1)Kuhusu Dangotte kuajiri raia wa Nigeria kule Mtwara, kwani hao wanigeria ni raia wa Tanzania?, Nimesema mtu yeyote yupo huru kumuajiri raia yeyote wa Tanzania anayempenda, hakuna Sheria ya nchi inayomtaka kuajiri watu, yeye anachojali ni mafanikio ya biashara yake, hata aliamua kuajiri ukoo wake pekee, hiyo ni haki yake.

Kama Dangotte alifanikiwa kuhamisha ndugu zake na kuwapa urai wa Tanzania na kwa idadi Yao inatosha wao pekee kufanya kazi anayo haki ya kuajiri wao pekee tu, hakuna Sheria yoyote inayomzuia. Habari ya kwamba kutoa fursa sawa kwa ajira, Hilo ni kukumu la serikali sio la mtu binafsi, mtu binafsi anachoangalia ni ufanisi wa kazi na familia yake.

Kuhusu wajapani kwamba huko 99% ni Wajapan na wakati hapa Tanzania sio hivyo, hapa ndio hasa wivu na hasira zako kwa wahindi unapojitokeza, kote huko ulikua unapita tu, ukweli ni kwamba unachuki Sana kwa watanzania wenya asili ya India na Arabuni kwasababu ya mafanikio Yao, hii ndio sababu nilidhani wewe ni Mkenya.

Hawa ni watanzania kama watanzania wengine. Wewe ni kaburu mweusi, unakifanya wewe ni mtanzania zaidi ya wengine(mzawa),punguzs wivu na chuki zako. Hizo ni biashara zao Kama zilivyo biashara zetu nyingi tu ambazo tunaziendesha na tumeajiri ndugu na jamaa zetu, tofauti ni kwamba zimekua kubwa, ila lengo ni kusaidia familia zetu, Sheria za ajira zinazotawala biashara ya duka, daladala au kiosk, ni ileile inayotawala makampuni ya Azam.

Mkuu, tujitahidi na sisi kuwekeza ili watoto wetu wapate uhakika wa ajira, hii tabia ya kulalamika na kuwachukia watu wa jamii Fulani kwasababu hawatoi fursa kwa wengine katika biashara zao binafsi ni tabia ya kishamba na kichawi, achana nayo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Inanishangaza kuwa kuna watu wenye akili “timamu” wana mawazo kama yako. Businesses are always regulated. Magufuli alivyokuwa anasitisha appointment za CEOs from abroad na ku-suggest watanzania waajiriwe unadhani alikuwa anafanya nini? EQUAL OPPORTUNITY! That’s the phrase and repeat it until it’s stuck in your head. As a president, it would be in my best interest to ensure that business operate as efficiently as possible, because those firms are the engines of my economy. If you owned a business, you’d understand how important it is to lower your operating costs, and those are partly created by lazy, unskilled, unnecessary labor. If you hire someone with great experience, whether or not they are your relative, they will absolutely be a great addition to your firm.

Halafu, please don’t be delusional. Usinipachikie character ya uongo. I have nothing against Arabs or Indians. What I really want is to see more people of African descent in higher positions. Is that too much to ask without being called a racist?

Unavyosema “tujitahidi na sisi kuwekeza” where the hell do you think you’ll find the means to do that? If you were born poor, how would you access capital? And this is what I’ve been talking about all along! The government has failed us. Your government can be the reason to lift you up from the deep trenches you’re in. But only a fool would think they’re able to do it all by themselves!
 
Hiyo asilimia 90% ya Mimba za watoto kwamba zinatokana na consensual sex umeitoa wapi? Una research study ya ku-support stats zako?

We all like the idea that teenagers, whose bodies have begun undergoing sexual maturity, are responsible and they can completely ignore their sexual awakening, which is completely false. Religion teaches them that premarital sex will send them to hell, but schools should teach them EVERYTHING about sex! From health risks to social and economic issues related to young parenthood, they need to know all of it! As a matter of fact, they need to know that when they cannot stop themselves from having sex, they should ALWAYS use protection.

Educating children about sex will certainly make a huge difference. But we cannot stop pedophiles and sexual predators from reaching our kids. This is where criminal justice comes in.

Households are also very poor; some kids would easily accept “chipsi mayai” or other regular gifts in exchange for sex because their parents cannot afford it!

It’s ridiculous when some of you think it’s a good idea to send a teenage boy to spend 30 years behind bars and a pregnant teen girl to be kept away from school. Are you out of your f*cking minds?

Samia has made a good decision, but she mustn’t stop here. This issue needs careful and special attention. The way forward should consist of multiple solutions to combat the problem, not just sitting down and ignoring it.
Sasa nani amekataa Elimu isitolewe mashuleni, kwani Elimu haitolewi kuhusu madhara ya madawa ya kulevya, ujambazi au ubaya wa wizi au kuua?, Mbona watu wanaokutwa na hatia ya kuyatenda wanaopata adhabu Kali, vipi hawa wanaokutwa wamefanya kosa la mimba za utotoni unataka wabembelezwe?.

By the way, nani alikuambia hawasomi tena, hawa wamewekewa mfumo wao maalumu utakao waruhusu kusoma wakati huo huo kufanya majukumu ya kulea vizuri zaidi, sio kurudi tena ktk darasa ambako hakuna mzazi Kama yeye hata mmoja.

Kuhusu research zinazosema kwamba zaidi ya 90% ya mimba za utotoni ni matokeo ya mahusiano ya makubaliano, unanishangaza kidogo Kama hadi Leo hulijui Hilo, kwa kukusaidi kidogo, Kama upo Dar nenda katika ofisi za shirika la "Haki Elimu" utapata hizo data

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa nani amekataa Elimu isitolewe mashuleni, kwani Elimu haitolewi kuhusu madhara ya madawa ya kulevya, ujambazi au ubaya wa wizi au kuua?, Mbona watu wanaokutwa na hatia ya kuyatenda wanaopata adhabu Kali, vipi hawa wanaokutwa wamefanya kosa la mimba za utotoni unataka wabembelezwe?.

By the way, nani alikuambia hawasomi tena, hawa wamewekewa mfumo wao maalumu utakao waruhusu kusoma wakati huo huo kufanya majukumu ya kulea vizuri zaidi, sio kurudi tena ktk darasa ambako hakuna mzazi Kama yeye hata mmoja.

Kuhusu research zimazosema kwamba zaidi ya 90% ya mimba za utotoni ni matokeo ya mahusiano ya makubaliano, unanishangaza kidogo Kama hadi Leo hulijui Hilo, kwa kukusaidi kidogo, Kama upo Dar nenda katika ofisi za shirika la "Haki Elimu" utapata hizo data

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtu yeyote akisoma vitu unavyoandika atagundua unajaribu ku-deflect situation moja Kwa kuingiza situations tofauti kabisa zisizohusiana na jambo linalozungumziwa. Tunaongea kuhusu sex education, sio elimu ya madhara ya dawa za kulevya au wizi. Na sex Ed ni tofauti na reproductive system kwenye Biology. Clearly, hakuna mtaala wa kufundisha teenagers sex education Tanzania.

Adhabu should be reasonable. It’s insane to punish a teenage boy who impregnated a teen girl using the same punishment a court would use to sentence a murderer.

Hii njia ya kuwatisha watoto kwanza haifanyi kazi. Proof ilitokea pale rates za teen pregnancies zilikuwa juu hata wakati sera hii ya Magufuli ilikuwa inatumika. Pili, hata kama watoto wataogopa, bado kuna wale watakaobakwa, watakaofanyiwa ulaghai nk.

Nidhamu haijengwi kwa vitisho. Na pia, vitisho vina cost yake. Unavyotumia experience ya mtoto mmoja kuleta “fundisho” Kwa wengine, kuna mtoto atakosa shule. Maisha yake yataingia kwenye umasikini. Potential yake Ndio imeishia hapo. Sasa Fikiri impact hii Kwa maelfu ya watoto. Society gani mnataka kutengeneza?

Na pia, hebu nieleze huo mfumo waliowekewa wa kulea huku wakisoma darasani. Kuna special schools wametengewa? Kuna madarasa maalumu wamewekewa? Kwani akijifungua na kulea mtoto akakua kuweza kubaki nyumbani na ndugu halafu akarudi shule, tatizo liko wapi? Unadhani atakuwa inspiration ya watoto wengine kupata mimba? Unadhani kuna watoto wenye hitaji la kuzaa?

Nafasi ya kutembelea Haki Elimu sina. Shirika kama hilo lazima liwe na online publications. Kama huko Ndio ulitoa stats, drop them here and save us the trouble.
 
Inanishangaza kuwa kuna watu wenye akili “timamu” wana mawazo kama yako. Businesses are always regulated. Magufuli alivyokuwa anasitisha appointment za CEOs from abroad na ku-suggest watanzania waajiriwe unadhani alikuwa anafanya nini? EQUAL OPPORTUNITY! That’s the phrase and repeat it until it’s stuck in your head. As a president, it would be in my best interest to ensure that business operate as efficiently as possible, because those firms are the engines of my economy. If you owned a business, you’d understand how important it is to lower your operating costs, and those are partly created by lazy, unskilled, unnecessary labor. If you hire someone with great experience, whether or not they are your relative, they will absolutely be a great addition to your firm.

Halafu, please don’t be delusional. Usinipachikie character ya uongo. I have nothing against Arabs or Indians. What I really want is to see more people of African descent in higher positions. Is that too much to ask without being called a racist?

Unavyosema “tujitahidi na sisi kuwekeza” where the hell do you think you’ll find the means to do that? If you were born poor, how would you access capital? And this is what I’ve been talking about all along! The government has failed us. Your government can be the reason to lift you up from the deep trenches you’re in. But only a fool would think they’re able to do it all by themselves!
Hivi wewe upo na matatizo ya akili au ni nini shida yako, mbona kichwa chako ni kizito kiasi hicho?. Sheria ya Tanzania inalazimisha ajira kwa raia wa Tanzania kwanza, ndicho alichokua akifanya Magufuli, kuhakikisha kwamba ajira wanapata watanzania kwanza, lakini hakuna Sheria inayokataza mtu kuajiri ndugu, jamaa au watu wa jamii Fulani Kati biashara binafsi, huo ni uamuzi wao.

Hivi wapi ulisikia Magufuli au kiongozi yeyote akipigia kelele kampuni la Azam kwasababu uongozi wote ni ndugu na jamaa wa Bakhresa?, makampuni ya Reginald Mengi kwasababu wakurugenzi wote ni watoto wake?, METLC kwasababu vyeo vyote vya juu ni yeye na ndugu zake?, So long as they are Tanzanians, it is their choice.

Hii habari ya kwamba wakiajiri watu wengine ambao Wana Elimu Bora zaidi ndio ufanisi mzuri kwa kampuni zao, hiyo ni uamuzi wao, it is a family business, you don't need to interfere with their family affairs, so long as they don't break any law, they can embrace employing their family members on expense of profit of the company.

Kuhusu sisi kutokua na capital ya kufanya biashara, Sasa hapo ndio sababu nikakuambia tupambane ili watoto wetu wakute mitaji waweze kuishi maisha Bora kuliko sisi ambao hatujakuta mitaji toka kwa wazazi wetu, hata Dangotte baba yake alikua masikini hakukuta mtaji, Abrahamovich, tajiri wa Chelsea, ameanza chini, hata hamjui baba yake. Diamond Platnumz, 50 cent, hata Bakhresa mwenyewe hakukuta mtaji Wala hakusoma, Reginald Mengi, alikua muajiriwa tu wa serikali

Mkuu wewe ni mlalamishi, chuki, wivu ni mbaguzi Sana kwa raia ambao sio weusi, punguza haya Mambo kwa Afya ya mwili na akili yako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mtu yeyote akisoma vitu unavyoandika atagundua unajaribu ku-deflect situation moja Kwa kuingiza situations tofauti kabisa zisizohusiana na jambo linalozungumziwa. Tunaongea kuhusu sex education, sio elimu ya madhara ya dawa za kulevya au wizi. Na sex Ed ni tofauti na reproductive system kwenye Biology. Clearly, hakuna mtaala wa kufundisha teenagers sex education Tanzania.

Adhabu should be reasonable. It’s insane to punish a teenage boy who impregnated a teen girl using the same punishment a court would use to sentence a murderer.

Hii njia ya kuwatisha watoto kwanza haifanyi kazi. Proof ilitokea pale rates za teen pregnancies zilikuwa juu hata wakati sera hii ya Magufuli ilikuwa inatumika. Pili, hata kama watoto wataogopa, bado kuna wale watakaobakwa, watakaofanyiwa ulaghai nk.

Nidhamu haijengwi kwa vitisho. Na pia, vitisho vina cost yake. Unavyotumia experience ya mtoto mmoja kuleta “fundisho” Kwa wengine, kuna mtoto atakosa shule. Maisha yake yataingia kwenye umasikini. Potential yake Ndio imeishia hapo. Sasa Fikiri impact hii Kwa maelfu ya watoto. Society gani mnataka kutengeneza?

Na pia, hebu nieleze huo mfumo waliowekewa wa kulea huku wakisoma darasani. Kuna special schools wametengewa? Kuna madarasa maalumu wamewekewa? Kwani akijifungua na kulea mtoto akakua kuweza kubaki nyumbani na ndugu halafu akarudi shule, tatizo liko wapi? Unadhani atakuwa inspiration ya watoto wengine kupata mimba? Unadhani kuna watoto wenye hitaji la kuzaa?

Nafasi ya kutembelea Haki Elimu sina. Shirika kama hilo lazima liwe na online publications. Kama huko Ndio ulitoa stats, drop them here and save us the trouble.
Wewe unachekesha Sana, unasema adhabu should be reasonable, tuambie wewe hiyo reasonable ni ipi kwa upande wako?, Umesikia kilichomkuta R Kelly huko Marekani?, amechezea 30 safi kabisa.

Wewe ni mtu usiyejua lolote zaidi ya kupiga Domo,
1)Kwanza hii Sheria sio ya Magufuli, hii Sheria ilitungwa na Nyerere na ndiyo ilikua ilitumika miaka yote, Samia ndiye rais wa kwanza kuibadilisha, Sasa Kati ya Nyerere na Marais wengine wote waliopita na Samia *who is who?".

Kwahiyo wewe hujui lolote kuhusu mfumo uliokuwepo wa kusoma nje ya mfumo rasmi?, Putia YouTube tafuta hotuba za Professor Ndalichako akijibu swali akiwa Bingeni mwaka juzi.

Kama umefika Iringa, nenda pale Ipogolo Kama unaelekea Kilolo, utakuta shule maalumu ya hao wenye watoto.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
04E4A9B0-D51D-473B-B51E-6918E3FB6A66.jpeg
 
Hivi wewe upo na matatizo ya akili au ni nini shida yako, mbona kichwa chako ni kizito kiasi hicho?. Sheria ya Tanzania inalazimisha ajira kwa raia wa Tanzania kwanza, ndicho alichokua akifanya Magufuli, kuhakikisha kwamba ajira wanapata watanzania kwanza, lakini hakuna Sheria inayokata mtu kuajiri ndugu, jamaa au watu wa jamii Fulani Kati biashara binafsi, huo ni uamuzi wao.

Hivi wapi ulisikia Magufuli au kiongozi yeyote akipigia kelele kampuni la Azam kwasababu uongozi wote ni ndugu na jamaa wa Bakhresa?, makampuni ya Reginald Mengi kwasababu wakurugenzi wote ni watoto wake?, METLC kwasababu vyeo vyote vya juu ni yeye na ndugu zake?, So long as they are Tanzanians, it is their choice.

Hii habari ya kwamba wakiajiri watu wengine ambao Wana Elimu Bora zaidi ndio ufanisi mzuri kwa kampuni zao, hiyo ni uamuzi wao, it is a family business, you don't need to interfere with their family affairs, so long as they don't break any law, they can embrace employung their family members on expense of profit of the company.

Kuhusu sisi kutokua na capital ya kufanya biashara, Sasa hapo ndio sababu nikakuambia tupambane ili watoto wetu wakute mitaji waweze kuishi maisha Bora kuliko sisi ambao hatujakuta mitaji toka kwa wazazi wetu, hata Dangotte baba yake alikua masikini hakukuta mtaji, Abrahamovich, tajiri wa Chelsea, ameanza chini, hata hamjui baba yake. Diamond Platnumz, 50 cent, hata Bakhresa mwenyewe hakukuta mtaji Wala hakusoma, Reginald Mengi, alikua muajiriwa tu wa serikali

Mkuu wewe ni mlalamishi, chuki, wivu ni mbaguzi Sana kwa raia ambao sio weusi, punguza haya Mambo kwa Afya ya mwili na akili yako.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
If Magufuli was trying to prevent foreign citizens from acquiring positions of power, it’s apparent that he saw that Tanzanians, especially those of African descent needed an equal footing. Did he ever appoint or recommend any Arabs or Indians? It’s clear that even he saw the need for people who look like him to be in positions of power.

I believe I mentioned earlier that there’s nothing wrong with hiring a relative in the private sector. As long as they can get the job done. What I’m looking into is the historical basis in which some families in this country have accumulated a lot of wealth over the years and that wealth continues to circulate within their families. Is there a way that their businesses can be the reason to lift up others who are not their immediate family members?

It seems like an intrusion, but it interests me that 99% of the top ten richest people in Tanzania are minorities. What about black Africans? Mengi tried, but he’s an outlier on that list. And this shows that there’s a racial wealth gap between the majority of Tanzanians and minorities.

Let me ask you something; what are the chances that you’ll earn one hundred million dollars by the time you retire? I’m sure the answer will be “Very Slim.” But you believe that since someone was poor but became a billionaire and you also grew up poor then somehow you’ll have a chance to end up like them. Don’t fool yourself! We don’t have the same destiny or talents! Your journey is uniquely yours. But if you receive help, that could potentially give you a chance to build something better for yourself. There’s no such thing as “tuwekeze.” Hayo ni maneno ya chura.
 
Hii ndio ile meli ya Mwanza sio? Hapa nampongeza Magu kwa wazo hili la kujenga meli hii. Capacity yake ni gani? Inaweza kubeba watu au mizigo kiasi gani?
Abiria 1200 na mizigo Tani 400, very fast, luxurious and modern, Hata mumchukie vipi, Magufuli atabaki kuwa kiongozi Bora baada ya Nyerere kwa Tanzania pamoja na ukichaa wake[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unachekesha Sana, unasema adhabu should be reasonable, tuambie wewe hiyo reasonable ni ipi kwa upande wako?, Umesikia kilichomkuta R Kelly huko Marekani?, amechezea 30 safi kabisa.

Wewe ni mtu usiyejua lolote zaidi ya kupiga Domo,
1)Kwanza hii Sheria sio ya Magufuli, hii Sheria ilitungwa na Nyerere na ndiyo ilikua ilitumika miaka yote, Samia ndiye rais wa kwanza kuibadilisha, Sasa Kati ya Nyerere na Marais wengine wote waliopita na Samia *who is who?".

Kwahiyo wewe hujui lolote kuhusu mfumo uliokuwepo wa kusoma nje ya mfumo rasmi?, Putia YouTube tafuta hotuba za Professor Ndalichako akijibu swali akiwa Bingeni mwaka juzi.

Kama umefika Iringa, nenda pale Ipogolo Kama unaelekea Kilolo, utakuta shule maalumu ya hao wenye watoto.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So, RKelly is a teenager and he had consensual sex with minors? He’s in prison because he’s a sexual predator, and such people are one of the reasons teen girls get pregnant! He’s an adult who had a lot of money, charisma, and influence, enough to manipulate his victims! So he’s different from a regular teen boy still living under his parents’ roof!

And it doesn’t matter when this policy was first used. It’s ridiculous! And yes, punishments should be reasonable. Would it be sensible kunyongwa Kwa makosa ya barabarani?

And is that school in Iringa designed for all pregnant teens all over the country? You haven’t answered so many of my questions! Don’t leave any gaps.
 
Nimekuuliza hiyo reasonable unayotaka wewe ni kiasi gani?, Bunge letu lilipitisha hiyo adhabu na liliona kwamba ni "reasonable" Sasa wewe unadhani kwamba upo na akili nyingi kuzidi wabunge wote[emoji23][emoji23].

Hiyo adhabu haikutungwa kuwalenga boys in schools, wasichana wengi hupewa mimba na watu wazima Kama R Kelly, wenye pesa na umaarufu, ikitokea ni boys under 18yrs, Sheria inatumika kutoa hukumu kwa minor.

Kuhusu hiyo shule kule Iringa ni kwa ajili ya wasichana wadogo waliopata ujauzito na wanaishi na watoto wao. Mkuu unanishangaza Sana jinsi ulivyo na uwelewa mdogo, Sasa Mimi nimekutajia shule Moja Kama mfano, unataka nizitaje shule zote za aina hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23].

Hawa waliopata mimba wanayo hiari, kuendelea na masomo au kubaki Nyumbani, wengi walikua hawapendi kurudi shuleni, ndio sababu hizo shule ni chache Sana hapa Tanzania, Sasa ulitaka zijengwe nyingi kila mkoa wakati hakuna wanafunzi.wa kutosha?

Back
Top Bottom