Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwakweli hii ni aibu Sana, nilimsikia Rutto siku Moja akisema hili la kupewa misaada ya chakula linamsikitisha sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya sio nchi masikini sana na vitu vidogo kama baa la njaa tunastahili kuwa tumelimaliza by now. Hilo ni jambo kidogo sana kwa serikali ya Kenya yenye budget kubwa kupindukia. Budget ya Kenya ya $31 billion ni kubwa kushinda budget ya Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja. Sasa sijui tunashindwa vipi kumaliza njaa.
 
Hawawezi cheza rugby na hizo mwili zao ndogo, we umewai on m'bongo ameunga? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Wote hua na mwili malnourished kama praying mantis.
Kenya Simbas are one game away from the 15's rugby world cup after edging out Algeria in the African cup semis.......Namibia will be a taaaaaall order but this is sport anything can happen

Ifahamu baiskeli ya mbao kutoka DR Congo inayoitwa Chukudu.
 
Super Dar es Salaam
 
Attachments

  • Screenshot_20220706-213256.png
    Screenshot_20220706-213256.png
    156.8 KB · Views: 12
Huyu wakili amelipwa ksh 1.3 billion na serikali ya Nairobi county? Aiseeh hii ni noma. Hio ni around $11 million. Lazima Kuna mambo nyuma ya pazia.

Serikali against serikali alafu aliyeshinda ni serikalii 😅😅😂😂 kazi mnayo
 
La hasha, hio pesa yote ni yake. Kwa mambo ya uwakili, Hapa Kenya kisheria wakili anastahili kulipwa 2.5% ya value ya pesa anayopigania kortini. Huyu Mwamba alikuwa anapigania kesi yenye shamba ya value ya ksh 61 billion. Sasa 2.5% ya value ya hio shamba ndio hio ksh 1.3 billion aliyolipwa. Wacha akule jasho yake. Japo haijawahi kutokea katika historia ya Kenya wakili kukuwa billionaire kwa pesa za Kenya (dollar multi-millionaire) kupitia kesi moja tu.
Hapo ni upigaji tuu hamna lolote tangu lini serikali ikajishtaki yenyewe na ikashinda na kushindwa kesi
 
Kenya sio nchi masikini sana na vitu vidogo kama baa la njaa tunastahili kuwa tumelimaliza by now. Hilo ni jambo kidogo sana kwa serikali ya Kenya yenye budget kubwa kupindukia. Budget ya Kenya ya $31 billion ni kubwa kushinda budget ya Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja. Sasa sijui tunashindwa vipi kumaliza njaa.
Iyo ilikua zamani bana,ww how comes tsh 66trill iwe sawa na $31Bn?uache utani na number
 
Kenya sio nchi masikini sana na vitu vidogo kama baa la njaa tunastahili kuwa tumelimaliza by now. Hilo ni jambo kidogo sana kwa serikali ya Kenya yenye budget kubwa kupindukia. Budget ya Kenya ya $31 billion ni kubwa kushinda budget ya Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda kwa pamoja. Sasa sijui tunashindwa vipi kumaliza njaa.
Kuwa na budget kubwa is a non starter what you do with your budget is what counts.

You can have a big budget but a big chunk could be going to pilferage and or misappropriation of funds, misassigned priorities, loans servicing, recurrent expenditure etc.

Surely Kenya with such a budget should have been able to put the ghosts of food scarcity to rest. Funga mkanda jenga mabwawa ya irrigation tumia hata $2bn in two years ingetosha ku guarantee chakula in the medium term.
 
Back
Top Bottom