mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,447
- 4,951
Nairobi ina barabara nyingi si moja kama dar. Kuna zaidi ya 5 lines za brt zinatarajiwa kuundwaHeeh mmeachana na BRT mara hii?
Nairobi ina barabara nyingi si moja kama dar. Kuna zaidi ya 5 lines za brt zinatarajiwa kuundwaHeeh mmeachana na BRT mara hii?
Heheheheeee bonge la dude, niliwaambia humu ipo siku uchumi halisi wa Tz utawekwa hadharani na mark my words Wakenya mtaona aibu hata kuji compare na the Giant Tz.
ya kwanza inaisha lini? Naona hiyo uliyoweka ni tangu 2020 ujenzi umefikia wapi? leta picha!Nairobi ina barabara nyingi si moja kama dar. Kuna zaidi ya 5 lines za brt zinatarajiwa kuundwa
Very good innovations at the Kenya Power Expo.
We mzee hii sio ile baiskeli ya kuuza ice cream . Hii ni e-bike si unaona haina pedals.Innovation? Azam ice cream wanazo kwa maelfu mjini Dar!
Tena ni aibu kweli kweli sema ndio hvyo tena hakuna namna Bwana Tony, njaa mbaya sana kukosa misaada ya chakula Wakenya wengi watakufa maelfu kwa maelfu.Vitu vingine ni aibu sana.
hii ni aibu sana kama taifa
Innovation? Azam ice cream wanazo kwa maelfu mjini Dar!
Hapo ndio wivu imekufikisha bongolala?Zinaenda Rwanda hizo wewe kiazi.
The fact that Arabs and Indians control vast amounts of wealth does have roots in colonialism. What strikes me the most is how very few they are relative to black Africans yet their hands are on so much wealth in this country, and the same applies for Kenya.Does Tanzania have any other company other than Azam. Sio TV, sio sharubati, sio mpira, sio unga, sio finance, sio sukari, sio ice cream.
One company owned by Arabs controlling the economy of a sovereign nation.
Ukitoa Azam GDP inashuka inakaribia ya Central Africa Republic. 🤣 🤣
Na kwa hayo yote safaricom inaichapa🤗🤣Does Tanzania have any other company other than Azam. Sio TV, sio sharubati, sio mpira, sio unga, sio finance, sio sukari, sio ice cream.
One company owned by Arabs controlling the economy of a sovereign nation.
Ukitoa Azam GDP inashuka inakaribia ya Central Africa Republic. 🤣 🤣
Wewe ni fala all this countries umemention hapa have a higher population than kenya, congo 100m, Ethiopia 100m, nigeria 200m, Tanzania over 60m thinkNi kweli bro,yan hao hata abroad wanajulikana wakifika lazima waanzishe familia,binafsi nikiwaga na wakongo,wanigeria,waethiopia n.k uwa wanaongea sana kuhusu wakenya kupenda kuzaa zaa ovyo,si wa kike wala kiume,akiingia europe target yake kuzaa
,kumbe na kwao wako hivyo
![]()
idiotsWacha walale usingizi wa pono usiwaamshe mkuu wakija kustuka tuko kama korea kusini.View attachment 2282883
Wewe endelea kulala hapo kibera,wenzako wanaoijui TZ wanaanza kuamka
Millions of dollars have gone into this undertaking it reflects economic might of Tanzania.Heheheheeee bonge la dude, niliwaambia humu ipo siku uchumi halisi wa Tz utawekwa hadharani na mark my words Wakenya mtaona aibu hata kuji compare na the Giant Tz.
UnaumiaDoes Tanzania have any other company other than Azam. Sio TV, sio sharubati, sio mpira, sio unga, sio finance, sio sukari, sio ice cream.
One company owned by Arabs controlling the economy of a sovereign nation.
Ukitoa Azam GDP inashuka inakaribia ya Central Africa Republic.![]()
![]()



Zingekuwa za kenya si zingekuwa zinatembea zenyewe wewe huoni zimebebwa na low loader for transit.Hapo ndio wivu imekufikisha bongolala?
![]()
Kenya: Nairobi BRT Lane is for Electric Buses Only, Says PS Hinga
Private motorists on Thika Road will be barred from using the inner lane of the highway once the Bus Rapid Transit (BRT) system is launched.allafrica.com
Kuna company inaitwa lake oil ime take over oil business in Kenya, kuna Mohamed enterprises anayemiliki ni tajiri kuliko Bakhressa wa Azam japo mm siamini, kuna Oil com ambayo ndani yake kuna Milkom, and Watercom, kuna Asas, kuna IPP, kuna TRH, kuna GSM kuna Taifa Gas yn hizo ni chache kati ya kampuni kubwa za Tz ambazo nadhani unaona wanapoamua kuwekeza Kunyaland basi kampuni moja inazidi investment yote ya kampuni 500 za Kenya zilizowekeza only $0.5b hapa Tz.Does Tanzania have any other company other than Azam. Sio TV, sio sharubati, sio mpira, sio unga, sio finance, sio sukari, sio ice cream.
One company owned by Arabs controlling the economy of a sovereign nation.
Ukitoa Azam GDP inashuka inakaribia ya Central Africa Republic.![]()
![]()
Haya majinga kweli kweli yananunua steering kabla ya body
















