🤣 🤣 🤣 Tunampiga kama mbwa koko, hajui tunajenga cancer centres kwa county hospitals sahii na zote zitakua na equipment za kutreat cancer.Huyu tutamchapa na facts hadi akose hamu na huu uzi 😂
🤣 🤣 🤣 Tunampiga kama mbwa koko, hajui tunajenga cancer centres kwa county hospitals sahii na zote zitakua na equipment za kutreat cancer.Huyu tutamchapa na facts hadi akose hamu na huu uzi 😂
It just boils down to bad governance coupled with corruption. Hayo makusanyo ya KRA mostly end up in private accountsHuko sio kwetu lakini bado ni Kenya. Ni huzuni kuona wanapitia masaibu haya. Nimesema hapa mara nyingi kwamba serikali inastahili kuchimba boreholes kila mahali huko Northern Kenya ili kupunguza athari ya ukame. Kenya ni miongoni mwa nchi ambayo imeendelea sana ukiilinganisha na nchi zingine za Sub saharan Africa lakini kwenye mambo haya ya kuwashughulikia wafugaji wa Northern Kenya huwa tumezembea sana. Huwa nashindwa kwa nini kuna njaa Northern Kenya and yet serikali ya Kenya ina uwezo mkubwa sana wa kifedha kushinda serikali yoyote ukanda huu. KRA ina target ya kukusanya around $20 billion this financial year. Sasa sio kwamba Kenya haina pesa, pengine priorities ndio zipo wrong. Ujue hii njaa inatupea bad press, inafanya watu duniani wafikirie Kenya ni nchi masikini kupindukia na kumbe ni serikali haijali. Pengine rais ajaye atasaidia.
Hawa wabongo ni washamba sana. 🤣🤣🤣From Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret to Tenwek Hospital deep in Bomet County 😂 😂 😂
![]()
MTRH Performs Seven Open Heart Surgeries — AMPATH Kenya
Seven open heart surgeries were conducted last month at Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH), representing the first successful open heart surgeries in Kenya conducted outside of Nairobi and Mombasa.www.ampathkenya.org
Jambo la kwanza ninakuomba Kama huna uhakika na jambo Fulani, usijaribu kudanganya, huu ni utoto kuzungumzia vitu vya uongo, sipo hapa kupoteza muda.NHIF inalipia PET CT scan zote whether ni private or public hakuna tofauti. We have 5 hospitals offering PET scan nyinyi mkona ngapi? kama si hio muhimbili pekee ambayo ina serve nchi mzima.
View attachment 2281355
Dr.Kituyi said" we want to make these surgeries regular" that alone indicates these are not regular in Kenya.From Moi Teaching and Referral Hospital in Eldoret to Tenwek Hospital deep in Bomet County [emoji23] [emoji23] [emoji23]
![]()
MTRH Performs Seven Open Heart Surgeries — AMPATH Kenya
Seven open heart surgeries were conducted last month at Moi Teaching and Referral Hospital (MTRH), representing the first successful open heart surgeries in Kenya conducted outside of Nairobi and Mombasa.www.ampathkenya.org
MTRH iko Eldoret na Mombasa pia wamekua wakifanya hizo open heart surgery since 2015.Dr.Kituyi said" we want to make these surgeries regular" that alone indicates these are not regular in Kenya.
In Muhimbili, about 10 to 15 surgeries are done per day by resident doctors.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jambo la kwanza ninakuomba Kama huna uhakika na jambo Fulani, usijaribu kudanganya, huu ni utoto kuzungumzia vitu vya uongo, sipo hapa kupoteza muda.
1)Wakenya wenye bima ya Afya ni chini ya 20%, majority pay by cash from out of their pockets
2)PET scanner Kenya ni mbili tu, Moja ipo Agha Khan Hospital, na ule ya serikali ambayo imenunuliwa August 2021, kabla ya hapo serikali ya Kenya haikuwa nayo, ilikua ni Moja tu hapo Agha Khan.
3)Tafadhali Kama hujui mashine zinazotumika Hospitalini wacha kukurupuka, wewe ukiona neno CT scan unadhani vyote vina maanisha kitu kimoja
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu, umeandika kwa kirefu Sana, Mimi ninaomba nikujibu Kama ifuatavyoUnaanzaje kutumia hela zako wakati kodi haujalipa..unafanya kama Magu alikuwa hakopi..cha maana nikufanyia kazi ya maana hela unayokopa..am not here kumtetea rais flani au kumponda..but kwa stage tuliyopo kuna neccesary mikopo ili kumalizia miradi
Magu alichukua mikopo naye tena commercial loans
1.Standard chartered 1.6bn
2.Credit suisse etc
2. Aslimia 60 ya wa Tz wanafanya kilimo unataka uanze kuwapeleka shule..kwann usitafute FDI itakayowanyaua wakulima huko nje
3.Walipa kodi hatuwezi ku foot bill ya miradi yote lazima ukope ila utumie hela vizuri kumaliza strategic projects ..mama hajaanzisha any big project mpya zaidi ya kumalizia za magu za SgR, na jnhpp
4.Kachukua mkopo IMF ..kaanza kujenga shule , huduma za maji na hospitali..kachukua 450mil usd usd kwa ajili ya vyuo world bank, kachukua mikopo afb ufaransa kwa ajili ya maji morogoro na shinyanga..unless hii mikopo haitafanya hizi huduma mm sioni baya
5.Cha maana ni kutumia Asia model kufanikiwa
cha kwanza kwa sasa ni kuimarisha Ajira kwa wa tz waliopo sasa hapa wengi ni wakulima na wana basic skills ili kutoa umaskini..kufungua sekta ya kilimo ambayo budget ime triple, kurudisha sector ya textile imdustries etc
cha pili kwa watoto wetu awamu ijayo kuwapa elimu ya masomo ya computer kuanzia wadogo ..maana dunia inaeleka huko .
cha tatu kwa wahitimu wetu kupeleka kuwasomesha nje ..hasa swala la madini , Gas extaction and processing na kuwa tie kwenye 5 to 10 year contact warudi ku develop nchi yetu ..hatuna ujanja..if you cant beat them join them
Tukijibana sana bila kuongeza wigo wa kodi..ambacho hicho ndo nalaumu Tz..hatutaweza kumalizia miradi haraka..na bado hatuna wasomi wakutengeneza hata machine za kuchimba..cha maana kusomesha watu nje warudi watengeneze vitu huku ndani
Tofauti huko kwenu mnafanya lakini sio "regular", hamna capacity. lLazima doctors watoke hospital Moja kwenda huko kunakofanyika hizo operations.MTRH iko Eldoret na Mombasa pia wamekua wakifanya hizo open heart surgery since 2015.
wabongo muwache ushamba bana, ju mko nyuma haimaanishi Kenya iko nyuma.
Why then only 20% are covered?, stop blah,,blah,, and face reality, hiyo bima ya Afya haisaidii wakenya kwasababu wengi hawana bima ya afyaAdvantage ya Kenya, processing ya NHIF is very fast, just a day na umepata card. As you can see NHIF covers for PET Scan, so sijui unasema nadanganya nini.
![]()
Kwahiyo Kenya hakuna bidhaa yoyote muhimu mnayotuletea zaidi ya sabuni na mafuta ya kupakaa mwilini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]One of the top products Kenya exported to Tanzania in 2020 for instance, is soap (a finished product) valued at $41.9m.
Tanzania's leading export to Kenya that same year was rice ( a raw material) valued at $32.9m.
View attachment 2281358
This only confirms our place as the region's leading consumer of electricity
Jambo la kwanza ninakuomba Kama huna uhakika na jambo Fulani, usijaribu kudanganya, huu ni utoto kuzungumzia vitu vya uongo, sipo hapa kupoteza muda.
1)Wakenya wenye bima ya Afya ni chini ya 20%, majority pay by cash from out of their pockets
2)PET scanner Kenya ni mbili tu, Moja ipo Agha Khan Hospital, na ule ya serikali ambayo imenunuliwa August 2021, kabla ya hapo serikali ya Kenya haikuwa nayo, ilikua ni Moja tu hapo Agha Khan.
3)Tafadhali Kama hujui mashine zinazotumika Hospitalini wacha kukurupuka, wewe ukiona neno CT scan unadhani vyote vina maanisha kitu kimoja
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama hingekua regular, ingekua ikifanyika Nairobi pekee ambapo inafanywa kwa hospitali mingi.Tofauti huko kwenu mnafanya lakini sio "regular", hamna capacity. lLazima doctors watoke hospital Moja kwenda huko kunakofanyika hizo operations.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulianza na open heart surgeries tukakutandinka, ukarukia PET Scan tukakupiga kama mbwa, sasa umetorokea health cover. 🤣🤣🤣 Kesho pia ni siku.Why then only 20% are covered?, stop blah,,blah,, and face reality, hiyo bima ya Afya haisaidii wakenya kwasababu wengi hawana bima ya afya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unaandika utopolo hapa. Magu alianzisha miradi mingi bila kujali pesa itatoka wapi. Sasa usimlaumu mama kwa kukopa. Kama unatafuta mtu wa kumlaumu kwa sababu ya deni kuongezeka basi mlaumu Magufuli kwa kuanzisha miradi mingi bila kuongeza makusanyo ya kodi. Ulikuwa unategemea pesa ianguke kutoka mbinguni? Lazima mama atakopa tu mpende msipende. La sivyo miradi za Magu itabidi zikwame.Mkuu, umeandika kwa kirefu Sana, Mimi ninaomba nikujibu Kama ifuatavyo
1)Kukopa ni lazima na muhimu katika maendeleo ya mtu na nchi.
2)Hakuna rais duniani ambaye hajakopa, hata Nyerere alikopa Sana.
3)Pamoja na umuhimu wa mikopo ktk maisha, lakini mikopo sio mizuri, ukiweza kuishi bila mikopo ni Bora, ikishindikana, kopo kidogo, ukishindwa basi kopa Sana lakini ujue kwamba Hilo ni tatizo.
4) Nyerere, Mkapa na Magufuli, walikopa baada ya kuhakikisha kwamba huku Nyumbani hakuna tena uwezo wa kupata pesa. Mwinyi, Kikwete na Samia, wanakopa kwanza ndio baadae wanaangalia kinachopatikana Nyumbani.
Conclusion; Mkopo lazima ujazie pengo la uwezo wa ndani, sio uwezo wa ndani ndio ujazie pengo liloachwa na mikopo ya nje.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alaaa!!!..Kumbe mtanunua mitumba..Nakumbuka mkicheka wakenya waliponunua Used DMU's...
Unazilinganisha na whole mabati shacks polluted your whole villages? 😂😂😂What a flimsy excuse!
Hivi, nyinyi ambao hamjui kufanya shoddy work zile vibanda zenu za uswazi si nazo mzipake angalau rangi kwenye bati ziwache kuchakaa?
Kabla ya Nyerere, Tanganyika ilikua inatambulika kwa makabila yake, provinces zilikua zinatambulika kimakabilaSo unasema kabla Nyerere Tanzania ilikuwa haina umoja, imejaa ukabila, rushwa slums, blah blah blah..
You are so deficient of national heroes, you cling on a clueless guy who did nothing but condemn you to poverty, illiteracy, jealousy of neighbors, malnutrition etc.
tayari tena 🤣🤣🤣🤣
Wakati Nairobi kuna mpaka national park 😂😂😂 medieval primitive vibes 😂😂😂 metropolitan city na wilderness wapi na wapi? 😂😂😂😂Of course Dar ni kubwa sana na ukubwa wake ni hizi shamba za mihogo View attachment 2281314View attachment 2281315