Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina wakati.
Hio Tweet umeweka inareference ripoti ya World Bank.

That would be a good start for you.
Ningeshangaa sana hata hivyo kama ungekosoa sababu wewe ni moja ya maiti ya muda mrefu ya kunyata 😅😅😅

Huna akili wala ubavu wa kumkosoa mkikuyu mwenzio sababu ndio nazi yako unayoitumia badala ya akili inakuongoza hivyo!
 
Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
Hivi hujui kwamba Tanzania imeunganishwa na njia kuu ya umeme na nchi za SADC hadi Kenya na huko wanausubiri kwa hamu kubwa?, hivi Sasa South Afrika, Mozambique na Angola wanamahitaji nakubwa ya umeme, huu umeme tutauza Kama bidhaa zingine za kawaida

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona huyo jamaa alikimbia kutangaza upuuzi halafu World Bank wamempinga wazi wazi?
Chukua GDP ya Uganda, gawanya kwa population ya Uganda, utapata jibu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hii ikiteleportiwa Dar is Slum inapewa prime location pale Posta. Landmark building. 🤣 🤣 🤣
Hata kupiga plaster kuta za majengo yenu mtihani, ishara ya Shoddy jobs

Mnawezaje kujenga na kuacha tofali uchi hivi?

Baghdad style

Screenshot_20220704-223000.png
 
Sikuzi we are conquering Africa, battle sijui the the best or the first in East and Central Africa tuliwachia Tanzania, Rwanda , Uganda na wengine wapambane.

Hahahaha, mnaona mlivyo wajinga na waongo?,;hivi ndivyo ambavyo kwa miaka mingi Sana vyombo vyenu vya habari vimekuwa vikiwadanganya na kuwapumbaza, hii mashine hapa Tanzania tulinunua zaidi ya miaka 10 iliyopita, is no longer a new technology in medical sector, please Kenyans, Tanzania is ahead of you almost in every area
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ndio sababu nikakuambia huna akili ya kuendesha mjadala unatupotezea muda bure.

Labda Kama hurojali tafadhali tuambie "level" yako ya Elimu, kwasababu tunaona Kuna "gap" kubwa jinsi unavyojibu naswali, tunashindwa kukuelewa na huendani na sisi, inabidi tutumie nguvu nyingi kukuelewesha, tumeanza kukuchoka.

Wewe ulitaka kuonyesha kwamba Mombasa port inapokea mizigo mingi kuliko Dar port, Mimi nimekuambia hata ktk biashara ya export Kenya ilikua juu ya Tanzania lakini hivi Sasa Tanzania ndio ipo juu. Nilitegemea utaelewa ninamaanisha kwamba, muda sio mrefu hata Mombasa port itazidiwa na Dar port, badala yake wewe unazungumzia mambo tofauti kabisa, wewe akili yako ni ndogo Sana, hata Ichoboy alivyokua anazungimzia Exchange rate ya Ksh vs Tsh, ulijibu vitu vya ajabu sana

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala, you can't base an argument on assumptions as you are doing here then end up writing an essay that does not add any value to your argument
 
Who is selling more to another country by now?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Most of your exports to Kenya are raw materials, not processed products which require electricity to produce. Last time I checked, maize and rice were your chief exports to Kenya. How is does this even show that you consume more electricity than us which was the topic of discussion?
 
Hahahaha, mnaona mlivyo wajinga na waongo?,;hivi ndivyo ambavyo kwa miaka mingi Sana vyombo vyenu vya habari vimekuwa vikiwadanganya na kuwapumbaza, hii mashine hapa Tanzania tulinunua zaidi ya miaka 10 iliyopita, is no longer a new technology in medical sector, please Kenyans, Tanzania is ahead of you almost in every area
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The only thing you are ahead of us is extreme poverty, nothing else
 
Alaaa!!!..Kumbe mtanunua mitumba..Nakumbuka mkicheka wakenya waliponunua Used DMU's...

laiti ungejua hizi hoja zetu huku zinasaidia sana,na ndiyo maana hata swala la huo mtumba unaokuja limekuwa likiichachafya government,,

ila hiyo mizigo mingine inayokuja yote ni new,hiyo ndiyo tofauti yetu na Kenya
 
When was that ju Kenya hospitali mingi sana zina offer heart operations, tena zingine ni completely free.
Huyo jamaa ni mjinga sana. Eti surgery in Tanzania wakati they are offered even free huku Kenya
 
Hahahaha, mnaona mlivyo wajinga na waongo?,;hivi ndivyo ambavyo kwa miaka mingi Sana vyombo vyenu vya habari vimekuwa vikiwadanganya na kuwapumbaza, hii mashine hapa Tanzania tulinunua zaidi ya miaka 10 iliyopita, is no longer a new technology in medical sector, please Kenyans, Tanzania is ahead of you almost in every area
Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Iko wapi? Tunataka kuona.
 
Why then you send your kids to Tanzania for heart operations?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe unafaa kuangaliwa hicho akili chako kibovu
 
So unasema kabla Nyerere Tanzania ilikuwa haina umoja, imejaa ukabila, rushwa slums, blah blah blah..

You are so deficient of national heroes, you cling on a clueless guy who did nothing but condemn you to poverty, illiteracy, jealousy of neighbors, malnutrition etc.
Kabla ya Nyerere kila kabila lilikua kivyako, makabila yalichukiana na kupigana yenyewe kwa yenyewe Kama ilivyo huko Kenya.

Wakoloni walipofika, waliendelea kuwagawanya ili waweze kuwatawala kiurahisi zaidi. Baada ya kupata uhuru, jukumu kubwa na muhimu la viongozi lilikua ni kuwaleta wananchi wote ili kuwa kitu kimoja, Nyerere alifanya hivyo na akafanikiwa, Jommo Kenyatta alizidi kuwagawanya wakenya na alifanikiwa pia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa ni mjinga sana. Eti surgery in Tanzania wakati they are offered even free huku Kenya
Nashindwa huyu anatuambia nini na every year kuna Mater heart run na Karen Hospital heart run ambazo huraise funds for free heart operations for kids.
 
Back
Top Bottom