Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya media hawafichi habari kama Danganyika media. Kenya hakuna CCM ya kufunga wanahabari.
Watanzania wakitaka kujua habari za kweli kuhusu nchi yao lazima waisome na kutazama kwa Kenya media. Yani Kenyan media ina program wakenya na watanzania kwa pamoja ndio maana watanzania wengi wanaogopa na kuona kwamba Kenya ni superior kushinda Tanzania sababu wameambiwa na kukaririwa hivyo na TV kutoka wakiwa wadogo. Mdanganyika wa kawaida anatamani kuishi Kenya. Its called brainwashing.
Kenya ina soft power over tanzania. TV za Kenya zinaunda hadi taste na preference ya mtanzania ambaye anaitazama kila siku kutoka akiwa mdogo kwa hivyo huyu mdanganyika atatamani kununua na kutumia vitu kutoka kenya

Mfano serikali ya Danganyika imetumia picha za SGR ya Kenya mara nyingi kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa eSGRa yenuView attachment 2279011
JamiiForums-1996546264.jpeg
 
Utajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?
Sasa kama Kenya hatuna lishe bora, chakula ya kutosha, matibabu bora sasa mbona life expectancy ya Kenya ipo juu kushinda ya Tanzania? By the way HDI inazingatia vigezo vitatu na moja yao ni life expectancy. Wakenya tunaishi muda mrefu kuwashinda. Nyinyi mnakufa mapema kama nzi. Nchi iliyoendelea watu wake wanaishi kwa muda mrefu
Screenshot_20220704-144239.jpg
Screenshot_20220704-144255.jpg


Cc Nicxie
Cc tuusan
 
Sasa kama Kenya hatuna lishe bora, chakula ya kutosha, matibabu bora sasa mbona life expectancy ya Kenya ipo juu kushinda ya Tanzania? By the way HDI inazingatia vigezo vitatu na moja yao ni life expectancy. Wakenya tunaishi muda mrefu kuwashinda. Nyinyi mnakufa mapema kama nzi. Nchi iliyoendelea watu wake wanaishi kwa muda mrefu
View attachment 2280805View attachment 2280806

Cc Nicxie
Atakuambia hayo ni mambo ya makaratasi 😂 😂 😂😂
 
Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
Huo ni umeme mdogo sana hivi unajua kuwa migodi mingi ya dhahabu na madini mengine bado haijaunganishwa kwenye national grid due to low capacity. Hizo extra 2000MW zitakuwa easily absorbed kwa viwanda vinavyojengwa kila mahali pwani na maeneo mengine pia migodi itakapounganishwa mahitaji bado yatakuwa juu sana.
 
Yah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.

Tusichoke kupiga kelele kuhusu ujenzi holela ni dhambi kubwa kwa nchi inayoendelea kwa kasi kama nchi yetu. Inakera sana kuona bado kuna ujenzi holela.
Kuna tofauti baina ya kupima viwanja na kupanga mji ....tatizo ni mipango miji
 
Ni kweli mtakuwa mnaproduce zaidi ya 4,000 MW ila bado mtakuwa mnaconsume chini ya 2,000 MW wakati JNHPP inazinduliwa. Huoni huo ni ujinga na wastage of precious resources? Mtakuwa na surplus ya zaidi ya 2,000 MW.
1.Mhh..how many megawatts does a full functional SGR consume..give or take 300MW to 500MW line nzima ikiwa operational..

2.Kigoma ,Katavi,Geita bado hazijawa connected to national grid..REA hizo zote lets say 100MW

3.:Eacop Project..

4.Sino Industrial Park over 2k industries to be built in pwani ..

5.We can sell to the EAC and SADC pool
 
Da ..mimi natamani na brt yetu phase 2 ikamilike tena wanunue mabasi yenye rangi tofauti na haya ili tuzidi kuwachanganya dunia ...rangi iwe njano na nyekundu ...ili tupate kitu cha kuonyesha africa na dunia
Phase 2 wamepamba kasi kaka..Daraja pale la gerezani ndo kukubwa kulikobaki..na kuweka pavements za watu kupita na reserve roads..

Sijajua kama tuna akili hyo ya kuweka kira route na rangi yale ila ni idea nzuri..kama tukifwata..

Ni kama tunavyopaswa kuweka livery za Utalii kwenye ndege zinazokuja ila kuongeza utangazaji
 
Back
Top Bottom