Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

11E6DD42-B91B-46AA-B292-1893F7058985.jpeg
 
Wewe ni mpumbavu kwa maana halisi kabisa ya kwenye kamusi!!
Tanga ni mkoa wa kilimo je wangewafukuza wamasai?
Morogoro imejaa wamasai na wakushi je wakulima wa moro wagome kosa moro ni mkoa wa kilimo?
Unajua nje ya kuna wasukuma wanafuga?
Wewe mpumbafu usietaka kuweka ukabila pembeni na kushughulisha ubongo wako utawananga wasukuma paka lini?
wachaga na wahaya
hamtakaa muongoze nchi sio mimi ni nyerere alisema na haitatokea!!
Mpumbafu mkabila wewe!!
Mkuu umetumia maneno makali Sana, haipendezi Wala haifurahishi ila kadri siku zinavyozodi kusogea huyu ndugu yetu ndio anazidi kutusikitisha na kushusha hadhi na heshima yake aliyojijengea muda mrefu, ni jambo la kusikitisha Sana kwakweli.
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli na nshafuta mkuu..👍
 
Heshima na vurugu za Wasukuma dhidi ya mashamba ya Waha huko Kigoma haina maana kama tukio halitazungumzwa kimapana yake! Wengi tunajua chanzo ni Magufuli na siasa zake za Ukabila kuimega Kigoma!

Nililiona hili 2018!
 
Mwaka mmoja na miezi mitatu tangu afe! Chato Region was to encompass part of Kigoma and Kagera without a consent of the natives there. Since Samia isn't interested in that land grabbing plot engineered by JPM, the Wasukuma r now disregarding the farms of Kigoma natives as they r trying to occupy the land that was to be Chato Region! Go on the ground and u'll get the facts!

Mi simung'unyi mzee nakupa facts ya kinachoendelea soon watu watakatana mapanga Kigoma! Serikali ya Samia isiogope kuwakabili wafugaji wa Kisukuma hawako juu ya sheria!
Broo wewe mbora zaidi ya haya mambo unayoyaandika kama vipi achana na maswala ya JPM kasababu unampa tuhuma ambazo yeye hawezi jitetea.
 
I see a vibrant Kenya media ndio maana unaquote na kukesha kwa social media pages za station za Kenya. Unapea hizo station more impressions ukivist site zao kila wakati kutumia simu na bundles zako hence pesa za media stations za Kenya ni nyingi kutokana na ad revenue kuongezeka.

Danganyika habari ni za kusifu CCM tu, no Kenyan gives a shit about Tanzania media. Ata majority wakenya hawajui kama bongo kuna media stations au politicians kila kitu ni CCM mwanzo hadI mwisho
Screenshot_20220624-133130.jpg
 
Broo wewe mbora zaidi ya haya mambo unayoyaandika kama vipi achana na maswala ya JPM kasababu unampa tuhuma ambazo yeye hawezi jitetea.
Mimi nitamsema tu na siasa zake chafu! Sasa kazi kwenu, leo nimeambiwa Wachagga na Wahaya hawatakaa washike Urais! Wengine wanadai mimi Mzanzibari!
 
Ina maana hiyo habari huku Tanzania hakuna vyombo vya habari vimeandika?, Ukweli ni kwamba Kenya mnafuatilia Sana habari za Tanzania kwasababu Tanzania ndio "Giant" hapa East Afrika.

Kesi Kama hizi huko Kenya ni nyingi Sana, lakini hata sio vyombo vingi vya habari Kenya vonafuatilia matukio ya ndani kwasababu hata wakenya wamezoea kusikia mauaji huko Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya media hawafichi habari kama Danganyika media. Kenya hakuna CCM ya kufunga wanahabari.
Watanzania wakitaka kujua habari za kweli kuhusu nchi yao lazima waisome na kutazama kwa Kenya media. Yani Kenyan media ina program wakenya na watanzania kwa pamoja ndio maana watanzania wengi wanaogopa na kuona kwamba Kenya ni superior kushinda Tanzania sababu wameambiwa na kukaririwa hivyo na TV kutoka wakiwa wadogo. Mdanganyika wa kawaida anatamani kuishi Kenya. Its called brainwashing.
Kenya ina soft power over tanzania. TV za Kenya zinaunda hadi taste na preference ya mtanzania ambaye anaitazama kila siku kutoka akiwa mdogo kwa hivyo huyu mdanganyika atatamani kununua na kutumia vitu kutoka kenya

Mfano serikali ya Danganyika imetumia picha za SGR ya Kenya mara nyingi kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa eSGRa yenu
Screenshot_20220621-045447.jpg
 
Back
Top Bottom