Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220703-204052.jpg
 
Yeah wahaya wanaishi Bukoba mkoani kagera, jirani zao ni waganda, na some of them wanajua kiganda, huenda lugha zao zina mfanano a little bit
Video gani hiyo mkuu ?
Kagera imepakana na Ug,mfano Karagwe na Kyerwa wanaongea Kinyambo ambacho kinaingiliana na Kihaya na kinyankole cha Uganda, Wilaya ya Misenyi ni Kihaya lakini maeneo kuanzia Kyaka mpaka Mutukula border na Uganda wanasikilizana kiasi fulani na Waganda. Kama umewahi kusikia Waganda Kyaka ndio hivyo.

Wilaya ya Ngara imepakana na Burundi sana kiasi kwamba wanawasikia Warundi wakiongea na kidogo Wanyarwanda(Kama sijakosea) asili ya kabila Lao ni Waangaza.
 
I see a vibrant Kenya media ndio maana unaquote na kukesha kwa social media pages za station za Kenya. Unapea hizo station more impressions ukivist site zao kila wakati kutumia simu na bundles zako hence pesa za media stations za Kenya ni nyingi kutokana na ad revenue kuongezeka.

Danganyika habari ni za kusifu CCM tu, no Kenyan gives a shit about Tanzania media. Ata majority wakenya hawajui kama bongo kuna media stations au politicians kila kitu ni CCM mwanzo hadI mwisho [emoji23][emoji23][emoji706]
View attachment 2279002
so umekasirika ama 😂😂😂😂
 
Most definitely, hata uko ubabani kwetu kuna ka eneo kanaitwa kwale, wadigo inavyosemekana ni indigenous kenyans, before the civil war in Mombasa (according to history) wadigo walihamia tu Tanga, wakapigana vita na wabondei (wakazi wa Tanga mjini wakati huo) then wadigo wakabaki Tanga na wabondei wakakimbilia sehemu panaitwa Muheza (it's now one among the districts in Tanga region)
Kwahiyo wadigo ni watani wa Wabondei, sipati picha mkianza kuwatania kwamba mliwapiga mpaka wakakimbia [emoji846][emoji846]
 
wadigo kwetu kenya, ni kabila moja miongoni mwa jamii ya kabila tisa liitwalo mijikenda. na watapatimana katika sehemu za pwani tu. kama vile kwale, kilifi, mvita(mombasa), tana river, etc. wengine ni wagiriama, wabajuni. jina lingine la 'mijikenda' ni 'waswahilin'
Freddy wabajuni sio mijikenda. Giriama, duruma, digo, jibana, kauma, chonyi, rabai, ribe, kambe ndo mijikenda. Jina lao lengine ni 'nyika' lakini hilo jina ni derogatory inamaanisha ' primitive'
 
🤣🤣🤣 Nani kakwambia ukubwa wa movie unapimwa kwa hiyo movie inapopatikana.? Bongo movie ni kubwa kuliko movie industry yoyote East Africa, kuhusu maoni ya watu kupendezwa na ubora wa content fulani hizo ni opinions zao, ila ni ukweli kwamba Tz ni baba entertainment industry hapa EA, nyie endeleeni kukamatia huko kwenye mbio, lakini
.1. Music
2. Movie
3. Comedy ya uigizaji
Huku sisi mpinzani wetu kwa hapa Africa ni SA na Nigeria tu kwa sub Saharan Africa, nyie wengine 🤣🤣🤣 action movies za bongo nowdays ni hapa 👇. Hizi huwezi zikuta maisha magic Bro

WTF is this. Hii inakaa zile acting za drama festivals. 🤣 🤣 🤣 Hizo bongo movies munashoot na simu haziwezi pata slot kwa cinema. Film industry ya Kenya ni kubwa hadi DSTV wakona film studios in Nairobi and Mombasa.

Hii hapa an action movie ya Kenya. Enjoy your weekend na hii cinema safi.

 
Waambieni majirani TZ football on the move
 

Attachments

  • Screenshot_20220703-212615.png
    Screenshot_20220703-212615.png
    217.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220703-212439.png
    Screenshot_20220703-212439.png
    234.4 KB · Views: 16
Back
Top Bottom