Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).

Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.

Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.

Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.

Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
Asante kwa jibu mwafaka.
 
unaakili ndogo sana
yaani unacgukua picha mbaya ya uganda unalinganusha na picha nzuri iliyopigwa kwenye angle nzuri kutoka kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

eti mna CBD 3
Leta hio picha nzuri ya Kampala.
 
Hehee 😂.. angalien hapo kwa East Africa
Kenya, light ipo Nairobi tu. While in Tanzania imesambaa maeneo mengi

Wewe hujui kwamba Kenya inaconsume 2,000 MW ya umeme wakati Tanzania inaconsume 1,400 MW ya umeme? Unapata wapi nguvu ya kulinganisha Kenya na Tanzania likija kwenye swala la matumizi ya umeme? Wengine wenu yaani hamna aibu hata kidogo.
 
Leo mada kuu ni testing electric train (treni ya stima) . Mshaanza kulialia Twitter , late magu ali na vision kali. Japo alikua mapungufu ya kibinadamu. Angekuwepo hadi leo mngeona vitu vikubwa sana.
 
Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).

Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.

Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.

Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.

Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
Mwambie wenyeji wa mkoa wa Pwani ni wavivu wa kupindukia,hawataki maendeleo na hawapendi kusoma, kama unamueleza mueleze mambo yote ajue
 
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
Kampala nayo ni jokes, afadhali wenzetu wa kusini. Hiyo cbd yao sidhani hata kama inawezana na Kilimani
images - 2022-07-03T141027.589.jpeg
images - 2022-07-03T140900.904.jpeg
images - 2022-07-03T140752.124.jpeg
 
Hehee 😂.. angalien hapo kwa East Africa
Kenya, light ipo Nairobi tu. While in Tanzania imesambaa maeneo mengi

Mombasa inawaka kuliko Dar 🤣 🤣 🤣

Kenya densely populated areas haziko spread all over the country in fact majority of Kenyans live on 1/3 of all total land. Hii population density map inaendanisha vizuri sana na hio satellite image.

Land constraints in Kenya's densely populated rural areas: implications for  food policy and institutional reform | SpringerLink
 
Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).

Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.

Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.

Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.

Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
unajipa tabu mmkuu kuelekeza mkenya vitu kama hivyo
 
Kimei anafaa sema shida ni.............
Hana jipya na Kwa taarifa yako yule ni mtu anaeamini kwenye expansionary policy ambazo zitaleta inflation zaidi Kisha kuleta taharuki kwa watu..

Unapokuwa mtaalamu lazima ujue na kucheza siasa ukijifanya ku apply utaalamu pekee huku watu wanaangamia utafukizwa na kuonekana rubbish..

Huyo Kimei alisema Serikali haina cha kufanya Ili kudhibiti mfumuko wa bei yaani imported inflation,sasa unajiuliza kwa hiyo iache tuu hadi Dunia ikija ku reset? Hakuna Serikali ya kuchukua huu ushauri wake.
 
Back
Top Bottom