muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Wasije wakatubambikia ma GMO tu. Hawa wazungu siwaamini kabisa aiseeSafi Sana, Tanzania italisha Africa kupitia hiyo program ambayo ilisitishwa enzi za Jiwe.
Wasiishie hapo Feed the Future bali waturudishe na kwenye programs zingine za Power Africa na MCC.