Bongo movie siku hizi ni kubwa mno ukiachilia kwamba ndio movie industry pendwa zaidi EA, lakini pia kwenye uigizaji we nowdays not of your levels .. 👇.
Wewe unaota. Kenya ikona movies mingi than TZ on Netflix na ON 15TH July tuna launch our first series on Netflix. On showmax na DSTV sasa hapo ndio Kenya inatamba kutamba, content kibao, from action to comedy yani genre zote. Nishawai jaribu kuwatch Maisha Magic bongo, nilijipata nimelala.🤣🤣🤣
Si unaona hata wabongo wenzako wanakubali hamna quality content kama Kenya.