Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan
 
Mimi na wewe nani afunze mwengine kizungu?
Embu angalia jibu langu hapo chini halafu bado unathubutu kuniuliza "kwani Obama ni muafrika" unataka nikuchukuliaje?
Screenshot_20220703-180812.jpg
 
World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan
Hivi kweli rais wa nchi anaweza kuzungumzia jambo kubwa Kama hili bila kupata ushauri wa kitaalamu toka kwa wachumi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kujitetea mpo vizuri. Sasa ukijumlisha hio 300 MW kwa hio 1,400 MW huoni inakuja 1,700 MW pekee? Huoni bado hamjafikia Kenya hata tukijumlisha hio gas to power unayozungumzia. Usinidanganye kwamba mna consume 2,000 MW kwa sababu hamzalishi 2,000 MW. Mnazalisha chini ya 2,000 MW ya umeme. Hata tukiwapa hio 1,700 MW bado hamtufikii. Kwa kuproduce, Kenya inaproduce 3,000 MW of power. 400 MW inapotea kwenye transmission losses. 600 MW ni surplus na ipo standby.
Kwanza get your facts right ndio uchangie vizuri bila bias. Nani kakuambia kuwa Tanzania ina produce only 1400MW. Angalia capacity yetu hapo in 2021 then add hizo ambazo ni off grid za viwandani.
Screenshot_20220703-220552_Opera.jpg
 
Kenge bibi yako.

Mimi sitaki hadithi za kusimuliwa na watu, na hata kama nikienda Dodoma kuangalia kinachoendelea haitanisaidia kitu. Ninachotaka ni kusikia na kuona mpango na mikakati ya serikali ya kuupanga mji. Nione policies zinazoendeshwa na wizara ya ardhi kuhakikisha master plan inafuatwa. Nione sustainable development projects being drafted and realized. Nione transport system masterplan waliyonayo na ni lini wanategemea kuanza kutekeleza.
Acha maneno mengi unaoneshwa situation on the ground unataka karatasi hebu pitia hizo basi ujiridhishe halafu uki google tuu Dodoma City Master Plan unaipata mpaka na report zake.
View attachment 2280236View attachment 2280237View attachment 2280238View attachment 2280240
 

Attachments

  • Screenshot_20220703-221646_Office.jpg
    Screenshot_20220703-221646_Office.jpg
    29.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220703-221652_Office.jpg
    Screenshot_20220703-221652_Office.jpg
    30.1 KB · Views: 7
Unajua maana ya slip? Hio meli mpaka ibebwe na crane ndo iingie baharini. Kawaida ya slipway ni kwamba maji yanajazwa alafu meli inaingia baharini yenyewe.
chelezo_mwanza.png

Hapo ni wakati chelezo kinajengwa, kwa sasa hizo rails zimezama majini. Meli inateleza tuu kuingia majini ikikamilika kuundwa.

img_20220702_150955-jpg.2279230

Hapa ndivyo invyoonekana sasa.
 
World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan
😃😃😃
 
Most definitely, hata uko ubabani kwetu kuna ka eneo kanaitwa kwale, wadigo inavyosemekana ni indigenous kenyans, before the civil war in Mombasa (according to history) wadigo walihamia tu Tanga, wakapigana vita na wabondei (wakazi wa Tanga mjini wakati huo) then wadigo wakabaki Tanga na wabondei wakakimbilia sehemu panaitwa Muheza (it's now one among the districts in Tanga region)
No wonder nikiwa tanga nilikua naskia kikabila kama ya kidigo hivi, it sounded familiar
 
Si umeona picha ya kibabe hii jinsi mji ulivyopangika? Asante kwa picha.
Nini kimepangika hapo bongolala? Au umekuja tu kustiri mwenzako baada ya kumuumbua? Tangu lini Dar na planning zikawa kwenye sentensi moja?
 
World bank wamekataa mambo ya Uganda kuwa middle income.
Cc tuusan

Ingependeza ungemfata moja kwa moja yule kondoo ambaye akiandika kitu humu jf huwa mnamuogopa yaani hadi akipotosha huwa mnaogopa kumkosoa.

"Hongereni Uganda kwa kuingia uchumi wa kati"

 
Back
Top Bottom