Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Hivi kichwa chako kimejaa funza? Kama serikali hiyo hiyo inahakikisha Dodoma inakuwa planned vizuri, basi pia hiyo hiyo serikali itaweza kuhakikisha nchi nzima inabadilika na kupangwa. Maendeleo ya kikanda na kibaguzi ni ujinga. Sababu kuu ya mimi kutaka kuona policies na masterplan kutoka serikalini ni kutaka kutambua ni mikakati gani waliyonayo kwenye kila mji wa hii nchi. Sasa Wewe unavyosema kuwa Dodoma imepangwa vizuri na ushahidi wako ni majengo mapya yanayojengwa nakuona huna akili.Bro kuona ni kuamini, kwasababu huwezi fika Dom kwasasa it's better unyamaze utuachue sisi tuliofika currently, usiongelee vitu usivyovijua, we subiri matokeo tu, DOM inajengwa vizur and after accomplishment of those projects, hakuna City center yoyote hapa Tz yenye ita level Dom when it comes mambo za muonekano mzuri wa mji .. nimeshuhudia kwa macho yangu mawili sio hadithi na kwa yoyote aliefika Dom hivi karibuni wanayajua haya