Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.

1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion

Uwanja ni wako.
Waki Google watapata majibu yote . Wanauliza maswali as if tupo early stone age, very selfish stupid questions . Jealous people never win . Watoe credit tu kwamba daring sprit ya late magu imeamsha east Africa . Leo hii hata Uganda wameamka wanajenga miundombinu mikubwa wakati Museveni alikua rais tangu miaka ya 90 . Punguzeni jealous kidogo
 
Mara ya mwisho lini kwenda Dodoma kwa kutumia buses!!!Dodoma is coming up nicely acha na kule mjini njoo huku kwny mji mpya unapojengwa utaona tofauti kubwa sana mzee baba!!!.Kama hujaenda siku za karibuni nakushauri unyamaze!.
Ni kitu gani kinachojengwa huko mnachoki-glorify? Zaidi ya SGR, Outer ring road, state house, na government ministries, ni kipi kingine cha kusema kuwa kinafanyika kuhakikisha mji unapangwa vizuri?

Nilishasema mwanzo na nitarudia tena, urban centers nchi nzima hazijapangwa. Sehemu ambazo zinaonekana na afadhali ni za watu matajiri na foreigners. Otherwise ni informal settlements.
 
We jamaa mara yako ya mwisho kufika Dom ni lini au umeshawahi kufika Dom.?
 
Ile barabara ya kimara-kibaha ndio inaishia Pwani region (Kibaha is in Pwani region), Pwani ni mkoa uliopakana na Dar es Salaam, huwezi fika Dar kwa bus kama hutapita Pwani region View attachment 2279920yani Pwani region imeizunguka DAR ..

Pwani ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote Tanzania shughuli zake za uchumi kubwa ni viwanda, uvuvi na kilimo

Pwani ndio mkoa inapopatikana Bagamoyo district where we expecting to build the largest port in EA na huo mji ambapo soon mchongo utaanza

Hata zile marshalling Yards za SGR na MGR kubwa bongo ndio zipo huko

Pwani ni mji muhimu zaidi Tanzania, Pwani is our future,

Miradi yote ya kimkakati inayotarajiwa kufanyika Pwani ikikamilika, Tegemea Tz kuwa na miji mitatu yenye hadhi sawa na Dar es Salaam

1. Dar
2. Dom
3. Pwani
Plus Moro by default itakua sana maana ndio center ya kwenda dom , Moro , pwani na dar . Pia Moro njia panda ya kanda ya juu kusini
 
Waki Google watapata majibu yote . Wanauliza maswali as if tupo early stone age, very selfish stupid questions . Jealous people never win . Watoe credit tu kwamba daring sprit ya late magu imeamsha east Africa . Leo hii hata Uganda wameamka wanajenga miundombinu mikubwa wakati Museveni alikua rais tangu miaka ya 90 . Punguzeni jealous kidogo
Magufuli yupi huyo?
 
Unajua maana ya National grid? Wewe wacha kujiaibisha bana. Unataka kutudanganya eti consumption in MW yenu imezidi the total MW installed on the National Grid.
We ndo unajiabisha...Hivyo viwanda haviko connected to national.grid..acha kujifanya unaijua Tz..kuliko Wa Tz..

Kuna mikoa kama Mtwara na Lindi ina indepndent grids ..na kama viwanda
 
Ni kitu gani kinachojengwa huko mnachoki-glorify? Zaidi ya SGR, Outer ring road, state house, na government ministries, ni kipi kingine cha kusema kuwa kinafanyika kuhakikisha mji unapangwa vizuri?

Nilishasema mwanzo na nitarudia tena, urban centers nchi nzima hazijapangwa. Sehemu ambazo zinaonekana na afadhali ni za watu matajiri na foreigners. Otherwise ni informal settlements.
Labda kwa miji mingine lakini si kwa Dodoma ijayo!!!Kitu kimoja ambacho nimekinotice,Watendaji wa zamani walikuwa wakipuuzia sana mawazo contractive ya consultancy companies !!sio sasa!!
 
Dom kuna miradi ya nyumba, miwili mradi wa shirika la nyumba la taifa kwa jina la mradi wa nyumba elfu moja lakini pia mradi wa Watumishi housing kwa jina la mradi wa nyumba 3500, and mitaa yote mipya Dom ar well planned and organized, fanya ufike Dom bablai, hata kuna eneo wanatengeneza new CBD ukiachana na pale mjini Kati kwa zamani, yote haya nimeyaona kwa macho yangu sio hadithi,nilikua huko last two weeks ..
Hujui chochote uwe unanyamaza kenge wewe
 
Ile barabara ya kimara-kibaha ndio inaishia Pwani region (Kibaha is in Pwani region), Pwani ni mkoa uliopakana na Dar es Salaam, huwezi fika Dar kwa bus kama hutapita Pwani region View attachment 2279920yani Pwani region imeizunguka DAR ..

Pwani ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote Tanzania shughuli zake za uchumi kubwa ni viwanda, uvuvi na kilimo

Pwani ndio mkoa inapopatikana Bagamoyo district where we expecting to build the largest port in EA na huo mji ambapo soon mchongo utaanza

Hata zile marshalling Yards za SGR na MGR kubwa bongo ndio zipo huko

Pwani ni mji muhimu zaidi Tanzania, Pwani is our future,

Miradi yote ya kimkakati inayotarajiwa kufanyika Pwani ikikamilika, Tegemea Tz kuwa na miji mitatu yenye hadhi sawa na Dar es Salaam

1. Dar
2. Dom
3. Pwani
Umeandika vizuri. Lakini pwani sio mji. Labda useme Bagamoyo Maana kuna mpango wa kujenga special economic zone (SEZ) huko. SEZs zinasaidia kuvutia investments from foreign companies.
 
Kwa kujitetea mpo vizuri. Sasa ukijumlisha hio 300 MW kwa hio 1,400 MW huoni inakuja 1,700 MW pekee? Huoni bado hamjafikia Kenya hata tukijumlisha hio gas to power unayozungumzia. Usinidanganye kwamba mna consume 2,000 MW kwa sababu hamzalishi 2,000 MW. Mnazalisha chini ya 2,000 MW ya umeme. Hata tukiwapa hio 1,700 MW bado hamtufikii. Kwa kuproduce, Kenya inaproduce 3,000 MW of power. 400 MW inapotea kwenye transmission losses. 600 MW ni surplus na ipo standby.
Tony ..unahis kama Twiga cement na Dangote vinatumia 100MW vipi kuhusu viwanda vingine hizo ni estimates tu
 
Umeandika vizuri. Lakini pwani sio mji. Labda useme Bagamoyo Maana kuna mpango wa kujenga special economic zone (SEZ) huko. SEZs zinasaidia kuvutia investments from foreign companies.
Kuna ka center kanakua sana pale kibaha maeneo yanayozunguka bus terminal yao, kama umefika huko hivi karibuni utakua shahidi wa hilo, ukiachilia Bagamoyo tu hata na kibaha itapata maendeleo sana since Kibaha ipo karibu zaidi na mjini Kati DAR,
 
Dom kuna miradi ya nyumba, miwili mradi wa shirika la nyumba la taifa kwa jina la mradi wa nyumba elfu moja lakini pia mradi wa Watumishi housing kwa jina la mradi wa nyumba 3500, and mitaa yote mipya Dom ar well planned and organized, fanya ufike Dom bablai, hata kuna eneo wanatengeneza new CBD ukiachana na pale mjini Kati kwa zamani, yote haya nimeyaona kwa macho yangu sio hadithi,nilikua huko last two weeks ..
Hujui chochote uwe unanyamaza kenge wewe
Kenge bibi yako.

Mimi sitaki hadithi za kusimuliwa na watu, na hata kama nikienda Dodoma kuangalia kinachoendelea haitanisaidia kitu. Ninachotaka ni kusikia na kuona mpango na mikakati ya serikali ya kuupanga mji. Nione policies zinazoendeshwa na wizara ya ardhi kuhakikisha master plan inafuatwa. Nione sustainable development projects being drafted and realized. Nione transport system masterplan waliyonayo na ni lini wanategemea kuanza kutekeleza.
 
Labda kwa miji mingine lakini si kwa Dodoma ijayo!!!Kitu kimoja ambacho nimekinotice,Watendaji wa zamani walikuwa wakipuuzia sana mawazo contractive ya consultancy companies !!sio sasa!!
Wataalamu wetu wa leo wana-execute miradi hatua kwa hatua hand to hand na ma-consultant kuhakikisha kilichokusudiwa kinapatikana kwa ubora ule kutoka kwa kandarasi. Ya leo si jana.
 
Sema hii SabaSaba kuna vitu vingi vya kupiga picha huko na kupata recent infomation.. mwenye uwezo aende apitie sehem muhimu atutaarifu na huku
Hizi nimetoa kwenye social media pages mtandaon

Mfano hii kwa background inaonyesha regional & international routes
20220703_195614.jpg

Na hii list of airports za size zao
20220703_195328.jpg
 
hii ni kabila gani tz
Honestly vernacular languages za bongo I don't know any. 🤣🤣 Mimi ni mdigo,mama msambii but I don't know any of these languages, but I've seen someone in the comments section said that the language spoken in the video is Kihaya
 
then kama hii ni kihaya in tz, then it has some connection with baganda language in ug, or kisii and kuria languages in kenya......
 
Kenge bibi yako.

Mimi sitaki hadithi za kusimuliwa na watu, na hata kama nikienda Dodoma kuangalia kinachoendelea haitanisaidia kitu. Ninachotaka ni kusikia na kuona mpango na mikakati ya serikali ya kuupanga mji. Nione policies zinazoendeshwa na wizara ya ardhi kuhakikisha master plan inafuatwa. Nione sustainable development projects being drafted and realized. Nione transport system masterplan waliyonayo na ni lini wanategemea kuanza kutekeleza.
Bro kuona ni kuamini, kwasababu huwezi fika Dom kwasasa it's better unyamaze utuachue sisi tuliofika currently, usiongelee vitu usivyovijua, we subiri matokeo tu, DOM inajengwa vizur and after accomplishment of those projects, hakuna City center yoyote hapa Tz yenye ita level Dom when it comes mambo za muonekano mzuri wa mji .. nimeshuhudia kwa macho yangu mawili sio hadithi na kwa yoyote aliefika Dom hivi karibuni wanayajua haya
 
Ongezea na miji ya Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Ikwiriri pamoja na kisiwa Cha Mafia, Jaja, kwale na koma.

Makabila yake mengine ni Wanyagatwa, Wakojani, Wajaja na Wanyangalio.

Bandari zao muhimu ni Bagamoyo, Kisiju pwani na Boza.

Watu maarufu ni Jakaya Mrisho Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, Mbwana Samata, Shaban Robert, Adam Malima , 20%, Kingwendu.

Shughuli kubwa ni uvuvi kutokana na eneo kubwa bahari.
Kilimo hasa Cha mihogo, matunda ya aina zote ikiwemo mananasi , mafenesi, embe za kila namna.

Shughuli za viwanda hasa wilaya ya kibaha na Mkuranga.

Kilimo Cha mpunga kule mhoro na wilaya ya Rufiji

Shughuli ya utalii katika Mali kale za Bagamoyo,
Utalii wa fukwe katika kisiwa Cha Mafia, Mkuranga, Bagamoyo
Ni hayo tu.
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom