Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nioneshe kwa nje watu wanakaa wapi, hii picha imenistua sana.View attachment 2275629
Mbona hizi picha hata ukienda mtandaoni unazipata au mpo lazy kusearch? JKIA ndani inakaa hivi
images (7).jpeg
 
weka the whole lounge hiyo ni check in section!

Mbona empty ? Nilijua uta-post maneno nimeku-instigate maksudi! 👆 👆 🤣 🤣 🤷‍♂️ 🤷‍♂️
Ni empty kwa sababu kwenye hio gate hakuna ndege.
 
Hii ni departure, nataka ambapo reserved passengers wanasubiri nione wacha hasira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasubiri kwenye hivyo viti. Nini ngumu kuelewa? Nilipokuwa nasafiri nilingoja ndege kwenye hivi viti. Bro wewe unafanya kazi kwa airport kweli? Kwani hivi sio viti vya kisubiria ndege? Mimi mwenyewe nilikaa kwenye hivi viti 2017 wakati nasafiri nje ya nchi.
images (6).jpeg
 
Sikutegemea aisee, siwezi tena kuongelea JKIA vs JNIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1412324739_512x288.jpg
 
Wanasubiri kwenye hivyo viti. Nini ngumu kuelewa? Nilipokuwa nasafiri nilingoja ndege kwenye hivi viti. Bro wewe unafanya kazi kwa airport kweli? Kwani hivi sio viti vya kisubiria ndege? Mimi mwenyewe nilikaa kwenye hivi viti 2017 wakati nasafiri nje ya nchi.
View attachment 2275643
Mm ndio nina mashaka na wewe kama kweli uliwahi kupanda ndege, hapo kwenye hiyo picha uliyoweka wanakaa abiria wa departure ambao tayari washakuwa checked in, sasa what I want ni sehemu gn wanakaa abiria ambao hawajakuwa checked in, yn nataka kuona abiria ambao hawaja chekiwa wanakaa wapi?
 
Sikutegemea aisee, siwezi tena kuongelea JKIA vs JNIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2275644
Au unauliza viti ambavyo vipo nje ya hii terminal ambapo watu wanakaa kabla ya kuingia ndani ya terminal? Nimekupata sasa. Viti hivyo vipo lakini sio vingi. Wewe ndio hujui kuuliza swali. Wacha nitafute nione kama nitapata.
 
Kama kweli umewahi kupanda ndege lazima uwe umenielewa nikitumia misemo ya checked in passengers au reserved passengers.
 
Back
Top Bottom