Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna jamaa aliuliza hao omba omba wanafikaje kenya na ikiwa hata pasipoti hawana,wakunya watu wa ajabu sana

ila hili tatizo ukiliangalia vizuri si jamaa wa Kunyaland tu wa kuwalaumu angalia jamii ya wanaotoa watoto wao ni wakina nani na chunguza mila zao pia! Hizi sehemu za ziwa Victoria upande wa Tanzania zina tatizo sana haswa suala la walemavu linapohusika!

Ukiwa mlemavu yaani chance ya kutolewa kafara au hata utumwa ni kubwa na hili ni kwa sababu ya mila potofu (ostrecization)! Huyu Mkunya katumia fursa iliyopo kutengeneza biashara haramu!

Angalia hiyo clip yote utaona mmama aliyetoa kijana wake na kutomuona kwa zaidi ya miaka 10 na bila kujishughulisha kumtafuta bado anakataa kumpokea kwa sababu za kipuuzi ati kahamia porini kwa hiyo mpaka apate sehemu karibu ndo kijana atapokelewa.

Inasikitisha!
 
90% ya watz wanaofanya biashara ndogo Kenya ni wachagga. Fundi cherehani wangu ni mchagga duka lake linaitwa 'cheka unenepe' fundi wangu wa viatu ni mchagga anaitwa senya.
ongeza volume please... hivi hawa wote ni wachagga. hadi lugha yao nishaizoea. wanaongea kama wa chinese
 
ssahivi hapa gikombaa maze... hawa watanganyika wamekuja wengi sana.!! ata wakenya hatupati nafasi..
hawa watu warudi kwao please, ili tupate nafasi ya kupumua.. 'we can't breath'

anyway i understand. to them, kenya is another version of 'south africa'.. shilingi ya kenya dollar.!
View attachment 2275467View attachment 2275464View attachment 2275465View attachment 2275466
Hao kama wapo kweli ni wawekezaji wanalipa kodi, unadhani serikali yenu hailijui hili iwafukuze mkose ushuru?
Wana vibali vya kufanya kazi nchini mwenu, kama wapo illegally waondoeni hatutawapinga.
 
ongeza volume please... hivi hawa wote ni wachagga. hadi lugha yao nishaizoea. wanaongea kama wa chinese

Waga tunapiga stori na mmoja, kwao ni moshi na alikuja kenya akiwa 17, sahivi ana miaka kama 50. Kila mwaka lazima afike kwao alafu anarudi kenya. Yuasema bongo hakuna mzunguko wa pesa na kule wachagga hawapendwi na jamii zingine ndo manake wanakimbilia Kenya.
 
Mafukara ya Kenya yameniacha nimetamba sana leo, hakuna hata fukara mmoja aliyetaka kuni challenge kwasababu wana maisha magumu mno, ila mm nisingeweza kutamba mbele ya wabongo humu, wee wabongo wana visu aisee asikuambie mtu, yn hapa lazima angetokea mbongo akaniambia haya tuanze ss, lkn hii mifukara yote ime salute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Subiri waje na vitu vya kufake, ila nini walishakujua huwa unawaumbua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
so wakikuyu Kenya, ndo wachagga tz.. watu wa kujituma yani
Hapana huku Bongo ni survivals tu huwezi kuwalinganisha na Wakikuyu ambao wameshikilia serikali hawa huku ni pure struggle! Ukiwa Arusha the chance kuendeshwa nao kwa tour vans/shuttles au kuhudumiwa nao kwa tours/hotels/bureau de change/mabaa ni kubwa sana! Ukitaka baa yako iende vizuri mpe mchagga section ya jikoni! They r good cook too! Huwezi amini si wafugaji perse kama Wasukuma au Wamasai ila they r good at nyamachoma stuff! yaani kiufupi value addition section!
 
Asee
20220628_162930.jpg

 
Huyo mbwa anasema Wahehe ni ma lazy? Au sijamsikia vzr.
Hajui makabila vizuri,kuanzia kipindi cha Mkwawa Wahehe hawajawahi kuwa wavivu hadi leo. Mpaka ametaja kabila kutoka Uganda ni kwamba haijui Tanzania mambo mengi anaambiwa na wasiojua.
 
Wakenya ni mafukara sana, angalia nilivyotamba hapa hakutokea mkenya hata mmoja kuni challenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haiya vita niliwacha ikiwa yako na teargass sasa si ulisema tusiingilie, wewe hujielewi[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom