Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Idadi ni 19 sio 13.
Nakuambia ni 13, walifanya mtihani zaidi ya 20,000 waliofaoulu ni kumi wakaongezwa watatu kwahiyo idadi ni 13.
Screenshot_20220628-141845.jpg
 
Nakuambia ni 13, walifanya mtihani zaidi ya 20,000 waliofaoulu ni kumi wakaongezwa watatu kwahiyo idadi ni 13.View attachment 2275572
Mimi nakueleza nurses ambao wamepatiwa visa na ambassador wa UK ni 19. Sasa unapinga nini? Hao sita pengine walifanya mtihani kabla ya hao au baada ya hao na kupita. Sasa unapinga na nimeweka hata video. Unapinga mpaka video sasa? Kwa hivyo mtihani ikifanywa mara moja haiwezi kurudiwa? Yaani sikuelewi. Mitihani inaweza kurudiwa na ukapita.
 
Nakuambia hivi manesi ni 13 mpk uniletee evidence za kimaandishi na sio u tube ambayo hata wewe unaweza kusema.
 
Umeitisha evidence ya kimaandishi, ndio hii hapa. Mimi huwa sibahatishi. Nakuambia ni nurses 19 na hii ni first cohort. Kuna wengine wataenda baadaye. Hawa 19 wanaenda Oxford University Hospital.
Sasa unabisha nn, kati ya manesi 20,000 waliofanya mtihani walifaulu 10 wakaongezwa 3 na wengine 6 walihurumiwa ambao wataenda kipindi kingine co kipindi cha hawa 13.

Alafu wakuu elimu ya Kenya ni ya kimavi sikiliza kiongozi wao anavyowaambia, yn Kenya inasomesha madokta na manesi sio kwa ajili ya kuhudumia Wakenya bali wakahudumie watu wengine alafu waache wakenya wakifa kwa magonjwa msome huyu mbwa [emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20220628-173733.jpg
 
Sasa unabisha nn, kati ya manesi 20,000 waliofanya mtihani walifaulu 10 wakaongezwa 3 na wengine 6 walihurumiwa ambao wataenda kipindi kingine co kipindi cha hawa 13.

Alafu wakuu elimu ya Kenya ni ya kimavi sikiliza kiongozi wao anavyowaambia, yn Kenya inasomesha madokta na manesi sio kwa ajili ya kuhudumia Wakenya bali wakahudumie watu wengine alafu waache wakenya wakifa kwa magonjwa msome huyu mbwa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2275587
Usijidhalilishe kiasi hiki. Yaani tangu lini wewe ukaanza kupinga evidence? Kuwa muungwana. Huwa unasema Watanzania ni wangwana sasa uungwana wako uko wapi?
 
Ndinda ni mtu na pesa zake. Hawezi kupost picha ya zamani. Amepost picha fresh ya leo.
Mm ni mfanyakazi hapo ndani nakuambia hiyo picha ya kitambo nisikilize mm, kama ukitaka nifukuzwe kazi ww bisha basi nitakuletea picha kila siku mpk nifukuzwe kazi mana hairuhusiwi kupiga picha hapo.
 
Lazima ni mtandao wa watu ambao wapo Tz na Kenya, ni biashara haramu ya usafirishaji wa watu. Ufuatiliwe wote.
Serikali ya Kenya inachoshindwa kuwazoa hao ombaomba hapo mjini ni nini? Pick them up from the streets and repatriate them the good thing tuko karibu gharama ya repatriation ni ndogo sana.
 
Serikali ya Kenya inachoshindwa kuwazoa hao ombaomba hapo mjini ni nini? Pick them up from the streets and repatriate them the good thing tuko karibu gharama ya repatriation ni ndogo sana.
Pia GoT waende kuandikisha walemavu wote Usukumani maana ndo wanaonekana kutokea huko!
 
Back
Top Bottom