Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Point yangu ya capacity vs actual passengers inaonekana. Termina 3 ni empty wakati 1A iko full to the brim
poor design as alwaysCheki watu walivyofurika kama mkutano wa siasa. Sio kama empty banda
So ni kweli hii ni departure ya JKIA?Point yangu ya capacity vs actual passengers inaonekana. Termina 3 ni empty wakati 1A iko full to the brim
babu soma bango yaani ni vituko!So ni kweli hii ni departure ya JKIA? View attachment 2275619
Kwa akili yako unadhani JKIA inaweza kosa departure lounge??So ni kweli hii ni departure ya JKIA? View attachment 2275619
Aisee kumbe ndiyo maana hata Wakenya huwa wanapagawa na JNIA, ofcz co tu Wakenya ni abiria wote huwa wanapagawa japo Wakenya ndio huwa wanazubaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]babu soma bango yaani ni vituko!
Hio sio departure gate ya JKIA, wewe huoni hao watu wanaingia? Departure ni kutoka. Departure gate ya JKIA ndio hii hapa.Now back to JKIA, the state of Departure lounge at JKIA
![]()
VS
Departure gate at Kilimanjaro international airport
![]()
Even the check inn lounge has seats
![]()
Wacha nikupe nafasi ujifurahishe kabla sijakupiga na nyundo la JKIA terminal 1A, 1B, 1C, 1EAisee hii nchi ni fukara kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2275621
Nioneshe kwa nje watu wanakaa wapi, hii picha imenistua sana.Hio sio departure gate ya JKIA, wewe huoni hao watu wanaingia? Departure ni kutoka. Departure gate ya JKIA ndio hii hapa.
View attachment 2275625View attachment 2275626
So kwahio ndege ndo inapandiwa hapo sio [emoji1787][emoji1787]Ona departure ya JNIA vs JKIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2275622View attachment 2275623View attachment 2275624
Hilo bango linamaanisha kwamba hilo ni departure terminal. Kwani hujui kwamba kuna pia arrival terminal?babu soma bango yaani ni vituko!
Si ndiyo ufukara mlio nao sasa unanililia mm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So kwahio ndege ndo inapandiwa hapo sio [emoji1787][emoji1787]
Watu wanakaa hapa kabla ya kupanda ndege. Mimi nimesafiri na nilitumia JKIA kwa hivyo huniambii chochote.Nioneshe kwa nje watu wanakaa wapi, hii picha imenistua sana.View attachment 2275629
Nakwambia nioneshe kwa nje abiria kabla ya kwenda departure wanakaa wapi au simply abiria wanaosubiri kuwa checked in wanakaa wapi.Watu wanakaa hapa kabla ya kupanda ndege. Mimi nimesafiri na nilitumia JKIA kwa hivyo huniambii chochote.
View attachment 2275633View attachment 2275635
So arrival wanasubiriwa hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo bango linamaanisha kwamba hilo ni departure terminal. Kwani hujui kwamba kuna pia arrival terminal?