Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm ni mfanyakazi hapo ndani nakuambia hiyo picha ya kitambo nisikilize mm, kama ukitaka nifukuzwe kazi ww bisha basi nitakuletea picha kila siku mpk nifukuzwe kazi mana hairuhusiwi kupiga picha hapo.
Asante kwa kuconfirm wee sio professional TAA bali ni labourer kwa sababu professionals hawafutwi kizembe.
 
Mm ni mfanyakazi hapo ndani nakuambia hiyo picha ya kitambo nisikilize mm, kama ukitaka nifukuzwe kazi ww bisha basi nitakuletea picha kila siku mpk nifukuzwe kazi mana hairuhusiwi kupiga picha hapo.
Nimekueleza NDINDA ni mtu na pesa zake. Yeye kusafiri ni kila wakati. Unless aje aseme kwamba hio picha sio ya leo ndio nitaamini. Heshimu Ndinda wewe.
 
Nimekueleza Ndinda ni mtu na pesa zake. Yeye kusafiri ni kila wakati. Unless aje aseme kwamba hio picha sio ya leo ndio nitaamini. Heshimu Ndinda wewe.
kwani airports si huwa zina departure gates! sasa departure gates connected to air bridges zinakuwa full wakati wote? wacha ujinga wewe Tony254! Inakaa hujawahi panda ndege kupitia viwanja vya hadhi ya kimataifa! Matatizo ya JKIA kutokuwa na departure gates yanaanza ku-manifest themselves!
 
Nimekueleza Ndinda ni mtu na pesa zake. Yeye kusafiri ni kila wakati. Unless aje aseme kwamba hio picha sio ya leo ndio nitaamini. Heshimu Ndinda wewe.
Sasa nakwambia nisikilize mm ninachosema, sijakataa NDINDA kuwa na mkwanja, lkn nisilize mm kwamba hiyo picha ni ya kitambo, picha mpya imejaa watalii wa Royal tour [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwani airports si huwa zina departure gates! sasa departure gates connected to air bridges zinakuwa full wakati wote? wacha ujinga wewe Tony254!
Angalau wewe umejibu vizuri. Umetoa point nzuri. Departure gates sio lazima ziwe full lakini sijawahi kuona airport ambapo departure gates haina mtu hata mmoja. Hio side alipopiga picha haina mtu hata mmoja anayengoja ndege. Viti vipo empty kabisa. Anyway, wacha yaishe.
 
sasa ukiangalia hiyo picha utaona kapiga upande ambapo departure gate haijafunguliwa! Mwambie apige upande alipo kama hutaona wanaongoja ku-board a flight! Nina uhakika JKIA haina boarding lounges/departure gates!
 
Inamaana hamna ndege kwenye hilo gate at the time of shooting hiyo picture.
 
Angalau wewe umejibu vizuri. Umetoa point nzuri. Departure gates sio lazima ziwe full lakini sijawahi kuona airport ambapo departure gates haina mtu hata mmoja. Hio side alipopiga picha haina mtu hata mmoja anayengoja ndege. Viti vipo empty kabisa. Anyway, wacha yaishe.
Tatizo lako unajipa consolation, nmekuambia mm ndiyo nyumbani kwangu hapo, hazipiti cku mbili bila kuwa hapo nakuelekeza hutaki kunielewa.
 
Sawa. Umejibu vizuri.
Now back to JKIA, the state of Departure lounge at JKIA
1024x576_719249.jpg

VS

Departure gate at Kilimanjaro international airport

19486549_OVr6aCuGAy-jz1OGVkLyVoGXrmcCbeT9ZHdRoNLV03c.jpg

Even the check'-in lounge has seats
10966281_Uc6QOLKhDvBZ8-a4-xZMYLu9W9xpdwClsvR4PMD_Hu8.jpg
 
Tatizo lako unajipa consolation, nmekuambia mm ndiyo nyumbani kwangu hapo, hazipiti cku mbili bila kuwa hapo nakuelekeza hutaki kunielewa.
Wewe tulia. Geza Ulole na coodip1 wameshanieleza nikaelewa. Upande huo upo empty kwa sababu departure gate ya upande huo haujafunguliwa kwa sababu hakuna ndege kwenye hio gate. Picha ni ya leo mzee usiwe unapinga hovyo. Hata mimi nimesafiri na naelewa kuna wakati gate haina ndege kwa hivyo inakuwa empty.
 
sasa ukiangalia hiyo picha utaona kapiga upande ambapo departure gate haijafunguliwa! Mwambie apige upande alipo kama hutaona wanaongoja ku-board a flight! Nina uhakika JKIA haina boarding lounges/departure gates!
Hiyo gate aliyopiga ni karibu na C12 hapo ni ngumu kukuta abiria mana hilo gate linatumika mara chache sana ila kwa ss mpk hilo gate la C12 na C13 yanatumika pia, aviation industry ya Tz kwa ss imechangamka.
 
Dar is a slum Fire station. 🤣 🤣 🤣 🤣

Image

Only 3 water carrying vehicles. 🤣 🤣 🤣 🤣
1656413501316.png
 
Back
Top Bottom