The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,659
- 98,967
Hijab zina shida gn? Si ni vazi la heshima, au wewe umetafsiri vp? Ulitaka wavae vimini kama wakenya?siyo mbaya, lkn too many hijabs, not good ...
Hijab zina shida gn? Si ni vazi la heshima, au wewe umetafsiri vp? Ulitaka wavae vimini kama wakenya?siyo mbaya, lkn too many hijabs, not good ...
MOFAT wanajitahidi sana. Wapewe tu na route nyingine.Inatakiwa iwe hivi hata usafiri wa daladala, huu ustaarabu unapaswa kulindwa na kuheshimiwa.
Watanzania tunaelekea kwenye ustaarabu by nature, wengine wanafosi lkn nature inawakatalia, ustaarabu huwa unakuja automatically baada ya kufanya mambo flani ya kimaendeleo.MOFAT wanajitahidi sana. Wapewe tu na route nyingine.
Kuna huyo mnuka mavi kanyooka kama mjusi 😄😄Hao kiboko yao mm wala msijali mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
Unakatwa wwYou are really struggling to see your mountain, on the Kenyan side it's very clear and you don't need to zoom to extend the picture become blurred.
Kuna siku alivaa viatu vya matairi akasema Africa nzima hakuna viatu kama vile, sasa ukiangalia mazingira aliyopo na jinsi alivyo lazima ucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna huyo mnuka mavi kanyooka kama mjusi 😄😄
Sio yule kuna mwingineKuna siku alivaa viatu vya matairi akasema Africa nzima hakuna viatu kama vile, sasa ukiangalia mazingira aliyopo na jinsi alivyo lazima ucheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakenya wengi sura zao zina reflect maisha wanayoishi, ila siwachukii ni jamaa zangu hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sio yule kuna mwingineView attachment 3683223
unamaanisha hawa 🤣 🤣Wakenya wengi sura zao zina reflect maisha wanayoishi, ila siwachukii ni jamaa zangu hawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣