Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongea kitu chenye ukweli lakini sidhani kama Serikali itauzingatia huu ushauri. Watendaji wazuri hawapewi nafasi kwenye nyadhifa kubw na kuwa huru ili waonyeshe uwezo wao badala yake wanapewa watu dhaifu wasio na maono kuongoza taasisi nyeti na kujikuta wanaua uchumi.

Huyu jamaa alishalalamikiwa sana na watu wengi kwamba hana uwezo huo. Ila still wanampa Wizara,sijui ni watu na bahati zao au upendeleo tu?

Namkubali Kimei lakini ndio hivyo hawamuoni wateuaji.
Wakati akifunga bajeti yake alitumia zaidi ya nusu saa kutetea mikopo akisema ati kuna sehemu hawana barabara na kodi yao imejenga sehemu nyingine barabara kwahiyo wana haki ya barabara kama sehemu nyingine zilizonazo hata kama tunaenda kuchukua mikopo bila kuangalia uwezo wa kulipa na kabla ya kulipa iliyopo! Yaani suala la kuanzisha road fund na kutunisha kama ipo si option kwake! Yaani amekaa kiombaomba!
 
hizi ndo zile NGOs za Nairobi ziko Loliondo sasa! Zinajaribu kuwa-con Wamasai baaada ya kuwa-con Wasukuma!

Just like we said it is something a Kunyan has a hand i.e. trafficking minors to Nairobi and push them into a forced labour i.e. begging!

Now what pisses me off is the family of Fara that is having enough land to sustain a decent living and even moved to a bigger shamba but r giving their disabled kid to a stranger that lives in a slum somewhere in Kariobangi!
Atleast now you can see the reality. Now go deep into kenyan towns there are many more. It's sad humanity turned us like this
 
Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!

Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Huyu Mwigulu ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge na hajawahi kufundisha wala kuongoza taasisi ya fedha! Ni hatari kweli kumtegemea kukuza uchumi kurudi 7%!

Waziri na huyo boss wake wote ni vilaza tupu.
 
Wakati akifunga bajeti yake alitumia zaidi ya nusu saa kutetea mikopo akisema ati kuna sehemu hawana barabara na kodi yao imejenga sehemu nyingine barabara kwahiyo wana haki ya barabara kama sehemu nyingine zilizonazo hata kama tunaenda kuchukua mikopo bila kuangalia uwezo wa kulipa na kabla ya kulipa iliyopo! Yaani suala la kuanzisha road fund na kutunisha kama ipo si option kwake! Yaani amekaa kiombaomba!
Broo siielewi unalalamika nn wakati ww ndo upo mstari wa mbele kuumunga mkono mama kwa njia anazotumia kufungua nchi
 
waambieni hii ni tanzania 👇👇
View attachment 2274929
Hii ndio angle Mikunya ilikubali yenyewe hayana nguvu ya kupambana na Tanzania

Fleet mpya ya BM hii, gari zaidi ya 10 na nyingi ni Dar Moro route ambayo walisema hamna buses za Dar Moro Dar 😂😂

FWT9gSNXwAIlnD9.jpeg
 
KLM has switched to daily 77W/78X from 6x a week to 7 times a week using B772

Fly Dubai has increased its freq to Dar from daily to double daily using B737 Max 8 ..and Zanzibar to 3x a day ..two trips via Dar

Turkish Daily do Dar Using 737Max9/8 or Airbus A330

Emirates as per usual 7x a week 77W

Ethihad to Znz using A320 3x a week

Qatar 18 x a week to Dar ..some trips via KIA using A330 in the morning , and 787 afternoon, A320 at night

Air Tanzania 4x a week from 3x to moroni A223, and 4x a week to Harare from July using A223

Some Seasonal Trips to Znz will also start
LOT polish airlines once weekly using 787
Neos soon
 
Mizigo zote za South Sudan zinazopitia Mombasa port sasa zitaanza kusafirishwa kumia SGR. Mbeleni zilikuwa zinakuwa trucked. Hii ni kufuatia maamuzi ya serikali ya South Sudan kutumia SGR na kuclear mizigo katika Nairobi based ICD. Mizigo ya South Sudan inayopitia Mombasa port ni 1 million tonnes per year.
 
Hiyo ndogo mmejaza zile Baghdad blocks 👇

Kila counties

View attachment 2274542
Hapa ni slum, standard flats vs nyumba za kishamba, usijitoe ufahamu bana😂😂😂😂.., ila picha ya pili(Tz) eti sio slum , nyumba za kishamba na barabara uharo😂 😂 😂 😂 😂
1656393578572.png

Improvement..,
1656393828208.png

Nyumba za kishamba, na pia pathetic roads😂😂😂😂 zote mbili ni hovyo., ila hapa👇👇sio slum, but this👆👆 is a slum
1656393651938.png

1656393986082.png

Huu ufukara ni wa ukoo, taifa nzima inafanana., same look and characteristics in normal standards of living kila eneo la taifa😂😂😂😂😂..,

#Naumbua propaganda with facts
 
KLM has switched to daily 77W/78X from 6x a week to 7 times a week using B772

Fly Dubai has increased its freq to Dar from daily to double daily using B737 Max 8 ..and Zanzibar to 3x a day ..two trips via Dar

Turkish Daily do Dar Using 737Max9/8 or Airbus A330

Emirates as per usual 7x a week 77W

Ethihad to Znz using A320 3x a week

Qatar 18 x a week to Dar ..some trips via KIA using A330 in the morning , and 787 afternoon, A320 at night

Air Tanzania 4x a week from 3x to moroni A223, and 4x a week to Harare from July using A223

Some Seasonal Trips to Znz will also start
LOT polish airlines once weekly using 787
Neos soon
Weka source ya hiki ulichoandika!
 
Tzn hapa msipotoa kiongozi mkubwa mkoa wenu mjue mumeliwa hakuna cha project ya maana itafanyika..

This time around amekuwepo Speaker angalau wamefunga taa na uwanja utamalizika mwaka huu,sambamba na hilo wametangaza tender km 29 za kufanya dualing of TANZAM highway kuanzia Uyole hadi Ifisi.
Hivi uwanja wa Songwe tatizo ni nn? new terminal imeanza kujengwa tangu 2013 if i am not mistaken!
 
Back
Top Bottom