Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,146
Utamkosoaje waziri bila kumkosoa raisi ebu jichunguze mzee kama bado zipo humo kichwani ,kwani waziri anafuata maelekezo ya naniUna utaahira kichwani? So nikim-support mama siwezi kumkosoa waziri wake? Ndo Magufuli alivyokufundisha?
sawa Sukumagang, basi chapa mwendo!Utamkosoaje waziri bila kumkosoa raisi ebu jichunguze mzee kama bado zipo humo kichwani ,kwani waziri anafuata maelekezo ya nani
Hilo jengo litapendeza Sana,cladding imefanyika vizuri..Mzizima's progress View attachment 2274402View attachment 2274403
Kama kawaida yako unakimbilia pakutokea na kauli yako ya sukuma gangsawa Sukumagang, basi chapa mwendo!
Pamoja na kumshambulia kwa chuki zako lakini Mwigulu amefanya vizuri sana kwenye Management ya Uchumi,hilo la Uchumi kufika 7% utafika tuu kama kawaida..Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!
Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Huyu Mwigulu ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge na hajawahi kufundisha wala kuongoza taasisi ya fedha! Ni hatari kweli kumtegemea kukuza uchumi kurudi 7%!
1]Nairobi wanapenda kuvaa suti ata jua kali, Dar-es-salaam wanapenda kuvaa kimarekani,2] watu wa Nairobi wanatembea harakaharaka kama wanaachwa na ndege lakini wa2 wa Dar-es salaam wanatembea taratibu kama wana malaria 3]Nairobi wanapenda sana kuongea kiingerza,dar kiswahili 4]Nairobi wanakula ugali kwa sukuma wiki,dar ugali maharage/dagaa 5]Nairobi wa2 ni wesi sana,Dar wana weusi wa kadri na rangi ya kahawia,,,MWISHO kabisa,wa2 wa NAIROBI wanaogopa AL-shabaab mno,wakati wa2 wa dar ata ubalozi wa MAREKANI ulipolipuliwa ndo kwaanza wa2 walikimbilia kuangalia kama kuna fursa yoyote waibe wasepe....Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Huo mfano wa jobo ni mdogo,ungemwambia inakuaje ceremonial leader aamuru kuhamishwa Masai,si walikuwepo miungu watu mbona walishundwa?Aliwezaje kumtoa Ndugai kama ni ceremonial? Kwenye wizara ile anahitaji nguli wa economics na si mtu wa mentality ya kuombaomba tu!
Kwa taarifa yako atashinda 2025 na kitu ambacho kinanitia wasi ni jinsi ata-handle uchaguzi Zanzibar!
Unaweza pendekeza hata mmja unaeona ana uwezo?Umeongea kitu chenye ukweli lakini sidhani kama Serikali itauzingatia huu ushauri. Watendaji wazuri hawapewi nafasi kwenye nyadhifa kubw na kuwa huru ili waonyeshe uwezo wao badala yake wanapewa watu dhaifu wasio na maono kuongoza taasisi nyeti na kujikuta wanaua uchumi.
Huyu jamaa alishalalamikiwa sana na watu wengi kwamba hana uwezo huo. Ila still wanampa Wizara,sijui ni watu na bahati zao au upendeleo tu?
Namkubali Kimei lakini ndio hivyo hawamuoni wateuaji.
Una uhakika na unachoongea? Unaweza wataja hata watatu unaona ni wabovu?Watendaji wake wengi ni vimeo sasa hivi nchi inaongozwa kwa misingi iliyowekwa na watu wengine. Uwezo wao duni, hakuna maono, wanaonekana kufanya vizuri wanapigwa vita na fitina, majungu n.k.
Ila kuna wengine wanajitahidi sana ila wanaangushwa na watendaji wa chini ambao hata wakikosea hawatenguliwi.
Wapi ambapo Mwigulu alisema watachukua mikopo bila kuangalia uwezo was kulipa? Acha chuki binafsi,wewe huwezi teuliwa kuwa FM huo uwezo huna wala hiyo fani hujasomea..Wakati akifunga bajeti yake alitumia zaidi ya nusu saa kutetea mikopo akisema ati kuna sehemu hawana barabara na kodi yao imejenga sehemu nyingine barabara kwahiyo wana haki ya barabara kama sehemu nyingine zilizonazo hata kama tunaenda kuchukua mikopo bila kuangalia uwezo wa kulipa na kabla ya kulipa iliyopo! Yaani suala la kuanzisha road fund na kutunisha kama ipo si option kwake! Yaani amekaa kiombaomba!