chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,688
- 45,951
Hawa wazee wana million ways of killing a cat, alianza Kikwete sasa Warioba, huyo mama ajue mechi ijayo hana support ya vingunge chamani, hizi ni waves tu!
Ase😂.. wew tulia uone kitakachomkuta huyo mama 2025Hawa wazee wana million ways of killing a cat, alianza Kikwete sasa Warioba, huyo mama ajue mechi ijayo hana support ya vingunge chamani, hizi ni waves tu!
Hii picha inaonesha namna Kisumu ndogo, ona miisho yake ilivyo karibu paleee kwenye maslums 😅😅😅Kisumu City suburbs.
![]()
![]()
Ardhi yenu kiduchu fertile ndio mmeipollute na residential areas instead of agriculture projects ndio maana hamuwezi kujilisha na nyingine kubwa wazungu wameikaba kwenye kilimo cha chai na maua yasiowahusuMap ya population density ya East Africa. Yaani wana EAC tumerundikana karibu na Lake Victoria.
View attachment 2274496
Ardhi yetu ni kame kwa asilimia 75.Ardhi yenu kiduchu fertile ndio mmeipollute na residential areas instead of agriculture projects ndio maana hamuwezi kujilisha na nyingine kubwa wazungu wameikaba kwenye kilimo cha chai na maua yasiowahusu
Cc Nicxie nairobae Don YF mwenzenu muungwana kaukubali mziki nyie mnapita kmy kmy kwa wivu mlionao. Mwaka huu gape la kwenye utalii lazima li triple [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]This time hakutakuwa na vita katika uchaguzi. Vita vya 2007 vilifanyika kwa sababu hatukuwa tunategemea vita vitokee. Ilitokea kama surprise tu. This time vyombo vya dola vipo macho kuzuia machafuko. Lakini kasi ambayo mnakuja nayo kwenye sector ya utalii sio fair hata kidogo. Mimi naona itabidi tupange mambo yafanyike huko ili kupunguza kasi hii. Hatukubali kamwe kupitwa namna hii.
Ile comment ya Kikwete ilishatoa alert kama akili anayo, wameanza kumsagia kunguni mapema mno, pengine hata hawatumii nguvu nyingi sababu wanajua hana machawa wenye muscles wala influence.Ase😂.. wew tulia uone kitakachomkuta huyo mama 2025
We call that as 'just a Ceremonial leader'Ile comment ya Kikwete ilishatoa alert kama akili anayo, wameanza kumsagia kunguni mapema mno, pengine hata hawatumii nguvu nyingi sababu wanajua hana machawa wenye muscles wala influence.
The issue of child trafficking from Tz to Ke.
Hiyo ndogo mmejaza zile Baghdad blocks 👇Ardhi yetu ni kame kwa asilimia 75.
Umeelewa alichomaanisha? huu ukabila umeanza 2015!Hawa wazee wana million ways of killing a cat, alianza Kikwete sasa Warioba, huyo mama ajue mechi ijayo hana support ya vingunge chamani, hizi ni waves tu!
Nyie wacheni ujinga. Karen ndipo Raila, Ruto, Kalonzo na wanasiasa wakubwa wanapoishi hapa Nairobi. Unadhani wanasiasa wa Kenya na jinsi wanavyojipenda na pia jinsi ni wabinafsi wanaweza kuishi katika mazingira mabovu? Watu ambao wanamiliki helicopters wanawezaje kuishi katika mazingira mabaya? Hawa wanasiasa wa Kenya ni dollar millionaires. Aisee ukisikia neno "Karen" wewe kaa kimya tu, sio lazima ulete battle kwenye kila kitu.
Cc Sama boy 255
Hii yo video inaonyesha only one mansion in and out 👇. Hakuna villas humu zinazoonekana in the whole vide.. ndio mana nikaweka na hii picha 👇niliwatch mwanzo mwisho and there was no mention of price in that video. If I didn't watch how did I know the cost of the villas is $400,000?
Hii Yanga sasa imekuwa ni jambo la kidunia na sio la kitaifa tena [emoji7][emoji7][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 2273972
ze garimoshi chimney limebadili rangi ya locomotive! naona kitu kina ukungu wa moshi!
Wale waliokuwa wakibeza filamu ya Hangaya wako wapi leo?
CAF ranking ya Gor Mahia ikoje embu tuwekee hapa tucheke kidogo.Hata ikue 1980 the fact remains mulipigwa kama mbwa na tutaendelea kuwapiga. [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] You can not rewrite history ya Yanga kupigwa kama mbwa.
![]()
Tumezoea kuwapiga kama mbwa tangu kitambo. Yanga ilishinda Gor mwisho in 1975 ukiwa kijana mdogo, na ni mara moja tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyinyi ni mabibi zetu kuwapandilia ndio hobby.
View attachment 2274239