Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2 brand new gantry cranes zinakuwa installed katika Naivasha ICD. Naivasha ICD sasa itakuwa na vifaa vya kisasa.
1656346480250.png

1656346510762.png

1656346553923.png
 
Kwa mwendo huu itabidi tutume Al shabab huko Tanzania wafanye mambo yao ili kupunguza kasi hii.
Alshababu waje mara ya pili huku tena thubutu? Walichezea kibano mpaka wakasahau njia ya kurudia wakajikuta wanaelekea mozambique wako huko mpaka leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This time hakutakuwa na vita katika uchaguzi. Vita vya 2007 vilifanyika kwa sababu hatukuwa tunategemea vita vitokee. Ilitokea kama surprise tu. This time vyombo vya dola vipo macho kuzuia machafuko. Lakini kasi ambayo mnakuja nayo kwenye sector ya utalii sio fair hata kidogo. Mimi naona itabidi tupange mambo yafanyike huko ili kupunguza kasi hii. Hatukubali kamwe kupitwa namna hii.
Mpitwe mara 2 tena? ndio imetoka hiyo.
 
Umegonga ndipo, exactly. [emoji23] [emoji23]
Sisi tuna capital inayojitosheleza no need for additional capital 100% locally owned companies. Capital formation peleka Kunyaland huko kwa mediocre capitalists wachangia kibubu.
 
Hii yo video inaonyesha only one mansion in and out 👇. Hakuna villas humu zinazoonekana in the whole vide.. ndio mana nikaweka na hii picha 👇View attachment 2274574hii sio video ya that's yule Nigerian YouTuber yaani hii 👇.

Bongolala, stop forcing issues. That first video hakuna mtu anaongea, so definitely there's no mention of the price as well. It's just musical. No talking, no nothing! How did you know the price then?

The second video ndio ile ya kwanza ulileta hapa jana about Fumba town and that one too did not mention the price of the mansion. Sasa mbona unaforce mambo?
 
More than than those who reside at Kibera, the issue is, despite the reality that Kibera accomodates more than 2.5 millions of slum dwellers but it's so overrated, there are many places in Kenya especially in ka Nairobi which are bigger slumish area than kibera.
Sawa sawa bongolala. Now that you've spoken the truth, kesho utaamka upate umeondokewa na maisha ya uchochole na uswazi ya Dar
 
Back
Top Bottom