nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
muda siyo mrefu wataanza kuchinjwa kama kukutokea wameenda hakuna walichofanya zaidi ya kuzurura hovyo for nothing hawajui hata wapi pakuanzia kuwafuata maadui
muda siyo mrefu wataanza kuchinjwa kama kukutokea wameenda hakuna walichofanya zaidi ya kuzurura hovyo for nothing hawajui hata wapi pakuanzia kuwafuata maadui
pia katika jiji hili hili wakunya wanajifia kwa kukosa njaalisilo na maji na lililokubuhu kwa kipindupindu!
wakunya siyo watuMama ndio kajua sasa kwanini jpm alikua acheki na nyani
Vibanda 20 ndiyo ujinga gani si bora angetatua tatizo la majengo mabovu na chakavu mjini
China imejipanga sana , tatizo la Nchi za ulaya wanawekeza kwenye mambo ya kijinga sana kama hapo kenya millitary bases 😅Hawataweza, China ni giant
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hicho choo mnachojitapa nacho humu Laiti mngefuatilia hii page muone mijumba inayojengwa bongo mngejiona kiasi gani mlivyo wasenge kujilinganisha na Tanzania linapokuja suala la luxury homes and anything luxury
Ninyi mmetupita kwenye yale maghorofa ya udongo yasio na dirisha kama ya Baghdad
Macho huna au? Mzee wa kuumizwa na ma slums ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bongolala, Fumba town is the most luxurious estate in Tanzania. Hata maandishi yenyewe yanasema hivyo: "most luxurious estate" so acha kuforce mambo, unaonekana mjinga
Wamchukue nani mkuu? Mosimane? Alafu Nabi aende wapi kaka? Ubora wa kocha sio jina ni mbinu na pia bahati na timu, sio lazima Ferguson angefaulu kule Madrid japo alitisha akiwa na Man u.Yanga wavunje kibubu wamchukue fasta huyo mwamba
Kibera alone ina accomodate 2.5 millions of slum dwellers.Ndio maana Kibera ni kubwa na watu million 2 wanaishi mle halafu mnakataa
Akili timamu siyo chifu [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]Nimeanza kupata picha ya chanzo cha migogoro ya Loliondo
Aisee... dah!
Mkalee kaumizwa na a $10mil house, yeye alileta kijumba cha $1mil akafikiri atatisha kumbe ni pesa ya plot pale masaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Show me anywhere in that video they've mentioned that it's worth $10m.
Hata kama ina 2km² ila ukweli ni kwamba ina accomodate 2.5 millions of slum dwellers, japo inauma ila huo ndio ukweli na upo published [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hivyo it's no longer 2.5 square kilometers? Sawa basi wewe unajua, ina ukubwa wa kiasi gani?
Hayo maeneo yote umetaja ni slums so usiyakosee heshima kwa kutoweka neno slum mbele ya majina yao.Kibera is under Kibra constituency. Kibra constituency consists of Kibera slum, South C, Nairobi West, Madaraka, Ngumo, Mbagathi, Upperhill and neighbouring areas
More than than those who reside at Kibera, the issue is, despite the reality that Kibera accomodates more than 2.5 millions of slum dwellers but it's so overrated, there are many places in Kenya especially in ka Nairobi which are bigger slumish area than kibera.How many people reside in Mathare bongolala?
Kuuwana lazima this time.Yaani navyotamani hawa washenzy wa Kaskazini wapigane mwaka huu! Huwezi amini wamentoa ubinadamu kupita kiasi! hivi hamna mtu anaweza kumpa silaha Ruto akianzishe?
Alafu kwnn Kenya majengo yao mengi yapo hivi [emoji116][emoji116]yn nikiona picha tu najuaoneni mji huo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yani mkenya anaamili mall na pizza shop ndio maendeleo [emoji1787][emoji1787] nani aliwaroga hawa watu