Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo mfano wa jobo ni mdogo,ungemwambia inakuaje ceremonial leader aamuru kuhamishwa Masai,si walikuwepo miungu watu mbona walishundwa?

Sio tuu atashinda bali atashinda kwa kishindo saa 3 asubuhi.
Watu wa mfumo dume unawangalia unawaacha maana hajui women vote iko vp Tanzania! Na mama anacheza na wanawake kiustadi sana!
 
Hii Property Msasani Road ( Oyster bay) inaweza kuwa bei gani [emoji1787]

IMG_8330.jpg



IMG_8329.jpg

IMG_8324.jpg

IMG_8323.jpg

IMG_8322.jpg
 
And someone (even their President) dares to call their bus terminal in Nairobi
"utra modern green park bus terminal" [emoji28]
Hawa jamaa wote akili hawana
View attachment 2275047
Iliitwa hivyo ili ku justify upigaji wa fedha za serikali. Wakunya ukitaka kuwalia hela zao wewe tumia maneno pendwa tuu utakula hela zao kiulaini sana.
 
I am not disputing what you are saying kijana. Hizo Kwibuka titles ndio sijawahisikia. Sijui ni zile za mitaani Ama!
Mechi za kimataifa huwa huzisikii ila unasikia mechi za mchangani za cecafa au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii picha inaonesha namna Kisumu ndogo, ona miisho yake ilivyo karibu paleee kwenye maslums [emoji28][emoji28][emoji28]

Image
Hio ni Milimani estate Kisumu sio Kisumu mzima. Unathani Kisumu Unaweza ichukua yote kama Ile Mwanza yenu haina Suburbs. Jiji za TZ hazina suburbs. Outside CBD ni vituko tupu.

Mwanza Suburbs vs Kisumu City Suburbs View attachment 2275204
images%20-%202022-06-28T110733.704.jpg
1656341389836.jpg
1653596853754.jpg
 
Back
Top Bottom