Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kama ina 2km² ila ukweli ni kwamba ina accomodate 2.5 millions of slum dwellers, japo inauma ila huo ndio ukweli na upo published [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Of course haiweziniuma. Mbona iniume when such a reasoning comes from a person who believes that a population density of a million people per square kilometer is actually possible under the sun? They say that to please a fool is to say yes
 
Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu



Hapa sijui kama kuna ukweli
20220627_200718.jpg
 
Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu



Hapa sijui kama kuna ukweli
View attachment 2274693

Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!

Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Huyu Mwigulu ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge na hajawahi kufundisha wala kuongoza taasisi ya fedha! Ni hatari kweli kumtegemea kukuza uchumi kurudi 7%!
 
Huyu mwigulu akiachwa aendelee kubaki serikalini atatuumiza sn mana yeye technique zake zipo kwenye urais, sasa anatafuta pesa kivyovyote vile.
Tatizo linakuja boss wake ni ceremonial leader 😂
Watu wenye influence wamemuweka kiganjani.. wanajiamulia tu wao kufanya chochote... usikute anaogopa kutengua watu kama hao na kwenye kuteua pia anapangiwa na hao watu, imradi tu na yeye anapata mzigo
 
Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!

Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Hili ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge.
She a ceremonial leader.. yeye hana cha kuamua..elewa hilo..tatizo hutaki kukubali hilo.. she is just a CEREMONIAL LEADER 😂
 
Kwa sasa timu za Tz huwezi kulinganisha na timu za Kenya, tofauti inaanzia kwenye pesa wanazopata timu za Tz, ni kama mbingu na ardhi. Bingwa wa Tanzania anapata milioni 600tzs wakati bingwa wa Kenya anapata milioni 40tzs [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niambie ni lini national team yenu iliwahishinda Kenya in a competitive game. Kwenye mambo na michezo nyinyi ni hovyo sana. We are the region's sporting powerhouse
 
Kwa sasa malengo ya timu za Tz sio kucheza na timu za mchangani, malengo yetu ni kupambana na timu za Kusini mwa Africa, Congo au timu za kaskazini huko sio Kenya tafadhali, huko Kenya kwa sasa hata cricket hamtuwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274286
Kwibuka titles ndio gani tena hizo? 😂😂😂😂
What is the ranking of Tanzania national cricket team? 😂
 
Tanzania imedouble export permit fees kutoka sh 27,000 hadi sh 52,000 per truck halafu joto la jiwe anasema kwamba Kenya ndio huwa inaanza migogoro ya kibiashara.
 
Back
Top Bottom