Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanabiashara Wakenya


So few Tanzanian companies ever get big enough to the point of attracting acquisition or investment from foreigners.
Isolationist LDC.
Mediocre economy. Burundi ndio ligi yenu.
ni kawaida ya mkenya akiambiwa ukweli hua anachukia nakurusha ngumi z hewani anyway asante kwa povu la mwezi 😂😂😂😂
 
BRT phase two 👇👇👇
0334FFF4-BF67-48E9-9334-67878DE6E501.jpeg
1ECDEE5C-E71F-4890-8794-D721C9BA9AA9.jpeg
F9627F82-9548-4E86-AD3A-01B5B0E26C89.jpeg



 
This time hakutakuwa na vita katika uchaguzi. Vita vya 2007 vilifanyika kwa sababu hatukuwa tunategemea vita vitokee. Ilitokea kama surprise tu. This time vyombo vya dola vipo macho kuzuia machafuko. Lakini kasi ambayo mnakuja nayo kwenye sector ya utalii sio fair hata kidogo. Mimi naona itabidi tupange mambo yafanyike huko ili kupunguza kasi hii. Hatukubali kamwe kupitwa namna hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ni kawaida ya mkenya akiambiwa ukweli hua anachukia nakurusha ngumi z hewani anyway asante kwa povu la mwezi 😂😂😂😂

Ukitoa mining, what was the last major FDI in your country?
Every week we read about Kenyan companies, especially IT startups, receiving millions of dollars in foreign capital. Tanzania ni giza tu.
 
Kwibuka titles ndio gani tena hizo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What is the ranking of Tanzania national cricket team? [emoji23]
Ukweli huwa unakuumiza sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1302518603_720x351.jpg
 
Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!

Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Hili ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge.
Umeongea kitu chenye ukweli lakini sidhani kama Serikali itauzingatia huu ushauri. Watendaji wazuri hawapewi nafasi kwenye nyadhifa kubw na kuwa huru ili waonyeshe uwezo wao badala yake wanapewa watu dhaifu wasio na maono kuongoza taasisi nyeti na kujikuta wanaua uchumi.

Huyu jamaa alishalalamikiwa sana na watu wengi kwamba hana uwezo huo. Ila still wanampa Wizara,sijui ni watu na bahati zao au upendeleo tu?

Namkubali Kimei lakini ndio hivyo hawamuoni wateuaji.
 
Tatizo linakuja boss wake ni ceremonial leader [emoji23]
Watu wenye influence wamemuweka kiganjani.. wanajiamulia tu wao kufanya chochote... usikute anaogopa kutengua watu kama hao na kwenye kuteua pia anapangiwa na hao watu, imradi tu na yeye anapata mzigo
Watendaji wake wengi ni vimeo sasa hivi nchi inaongozwa kwa misingi iliyowekwa na watu wengine. Uwezo wao duni, hakuna maono, wanaonekana kufanya vizuri wanapigwa vita na fitina, majungu n.k.

Ila kuna wengine wanajitahidi sana ila wanaangushwa na watendaji wa chini ambao hata wakikosea hawatenguliwi.
 
Back
Top Bottom