Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe mabati houses Ruai slum [emoji23]
Wacha Ruai, ka Nairobi nzima kamezungukwa na ma slums everywhere [emoji116][emoji116]
image_downloader_1655753487588.jpg
 
Katika mambo ambayo yanawauma baadhi ya wakunya humu ni uwepo wa ma slums kila kona, mwengine anajaribu kuweka Google map za posh area alafu anajiliwaza kwa kuita slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Inawauma sana, just imagine nchi kuwa na moja kati ya slum kubwa Africa... Hiyo imekaaje! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaumizwa na uwepo wa ma slums makubwa duniani lkn ndio hawana jinsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Looh! [emoji44][emoji44][emoji44]
Mkuu Kenya ni dampo mkuu, huoni tukiwabana kwenye ma slums wanakosa la kusema kwasababu tunakuwa tumepiga kwenye mshono. Kenya nzima hakuna mji ukakosa slums, nyumba moja ya tajiri Kenya juwa kwamba kuna slums 1000 zimezunguka hiyo nyumba.
 
Asee sio mchezo. [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Back
Top Bottom