Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This demonstrates how big Kibera is as compared to other formal settlements in Nairobi.
Of course it's so big. Look at how big it is in relation to the formal settlements around it
images - 2022-06-21T133534.389.jpeg


Now compare with this kisha ujiulize maswali kadhaa
Screenshot_20220627-100349~2.png
 


MY TAKE
Kuna sababu kwann Tanzania ilikataa ardhi isiwe party of EAC common market! Angalia tunavyofaya ambo yetu kiurahisiii bila bughudha! Kelele zenyu zinaishia kwa media tu!!

CC: Tony254
 
Kwahiyo the most expensive house in Kenya ni ya $6ml wakati Tz kuna nyumba ya $10ml na bado co the most expensive, nadhani ss umekubaliana na WB kuhusiana na estate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu mjadala tushamaliza. Ukiingia kwenye hiyo video upate mahali wametaja hiyo bei niambie
 
Goal posts shifting. Si ulisema Tz kuna nyumba kama hii yenye price ya USD 1.2M sasa nimekupatia nyumba ya kawaida ya more than that price now umeamia kwenye USD 6M sasa nikileta ya over USD 6M sijui goal post utahamishia wapi sasa.
Leta hata ya $50m mimi sina shida. I am more than ready. Ile ya Zanzibar mnaforce hapa eti ni $10m kila mtu ashaona hapa kwamba ni estate (fumba town) wala sio nyumba. Bring it on
 
Mbona sielew.. lot no 4 ni ipi hio? Ile Tabora Isaka? Na hio lot no 6 ndo ipi tena? Na nan huyo kapewa tender document ya lot no 6
Ajataja majina lakini it is more likely yapi atapewa kipande cha 6 au 4
 
but kaa ukijua tembo niliwachamo kitambo sana last year november, i realy met my words. haikua mchezo babake... ndomaana skuizi haunioni niki full kujiachia/kujirusha[emoji126][emoji1739][emoji482][emoji490][emoji492][emoji897]..... [emoji932]🫂[emoji527][emoji892] kwenye vijiklabuklabu na mitungi/teii/maji/chingri,.. jaba,ketepa,mogoks,gomba,.. blanti/shash/nndom/kigode/bom,.. na mikasi/masupa/maroroo/maslayii/madenge.. kama vile hapo awali
Hongera kama uliweza kuachana na hizi mambo. Mimi kitambo sana hadi nilishasahau kabisaaa [emoji846][emoji846]
 
Hii sasa ndio gani mzee. Huku ni mahali pa vita yaani battle. Hii ungeipeleka huko mapenzi section.
Tulishamshauri aachane n picha zenye sura za watu lakini wapi hakomi [emoji52][emoji52]
 
I have watched the entire 12 minutes of the video without skipping a thing and this is what I have seen:

1. That video talks about a gated community in Zanzibar called 'fumba town.'

2. Within that estate there are several houses ranging from apartments to villas and ONE mansion.

3. 80% of the video talks about the villas, with the remaining time allocated to the apartments and the single mansion.

4. The villas cost $400,000 while the apartments cost $100,000. As for the mansion, there's NO MENTION OF THE PRICE in the entire video sasa sijui hiyo $10,000,000 umetoa wapi. Actually, the mansion is not even featured, it was just mentioned.

5. Wacha kupotosha umma by bringing fabricated and unverifiable infirmation.

Nairobi's most expensive house is called House No. 12 at Magnolia Hills Estate in Kitisuru, valued at $6.5 million! Yes, and everything is verifiable, unlike the hot air information you provided





Unataka kulinganisha huu uchafu to what I have shown you, 😂😂😂 like seriously.? Hiyo nyumba ni super luxury villa hakuna kenya nzima
 
Wewe wacha kujichanganya. Sasa umekubali kwamba kuna Watanzania wanauza Gikomba. Kinachouzwa katika soko la Gikomba ni nguo ya mitumba na vyakula. Sasa hawa Watanzania unadhani wana vibali vya kuuza nyanya au vitunguu hapo Gikomba? Obviously hawana vibali, na kisheria wanastahili kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Sasa Mheshimiwa Jaguar aliposema kwamba hawa Watanzania wakamatwe na kurudishwa kwao Tanzania, nchi nzima ya Lazyland ilipiga mayowe including bunge lenu lilijadili hili swala. Serikali yenu ililia sana hadi ikabidi serikali ya Kenya kumkamata Jaguar na kumdhalilisha sana mbele ya watu ili tu kuwafurahisha nyinyi licha ya kauli ya Jaguar kuwa correct kisheria. Kauli aliyotoa Jaguar ilikuwa sahihi kisheria. Sasa nyie hamtaki turudishe hawa Watanzania kwao nyumbani wanaouza bidhaa katika soko la Gikomba bila vibali. Mnatukataza sisi kuwakamata hawa watu wenu kwa kulialia hovyo, sasa tukaona badala ya kuharibu uhusiano wetu, wacha tuvumilie hawa malazy wanaoishi huku japo hawana vibali, ili kudumisha amani.




Cc 7seven
Geza Ulole,
The best 007
Simon
Mimi ninavyokumbuka Jaguar alisema Watanzania wote wanaofanya kazi ambazo Wakenya wanaweza kufanya waondoke wote nchini na kurudi kwao (Tanzania).

Hapa alieneza chuki,hakusema wanaoishi pasipo vibali, ndio maana PM akasema msiwe na wasiwasi Watanzania wakiamua hivyo watakaoumia ni Wakenya wao wamewekeza sana kwetu kuliko sisi tulivyowekeza kwao.

Serikali haiwezi kuwatetea illegal immigrants kwenye nchi za watu kiasi hicho cha kutaka kuharibu uwekezeji.
 
Back
Top Bottom