The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kuna tofauti kubwa sana ya kimaisha baina ya Kenya na Tz.
nyie hata pit latrine hamna!









Bongo wako na dreamhouses 😂Nionyeshe kama hizi bongo nifunge account.
Haya ndio mambo yatakayofanya wauwane maelfu kwa maelfu, we fikiria mtu mzima kama Bwana Mapesa au nicxie hawana kazi lkn watoto wa Kenyatta wanaenjoy tu life, Wakunya wachache ndiyo wanakuja Tz na kwengineko kufanya ukahaba na kupeleka remittance kwao, mambo kama hayo ndiyo yatafanya wauwane. Na mm nawaambia nitawaona wajinga sana wakiwaacha kina Uhuru wakienjoy national cake while majolity wanakula mavihaya unemployment rate sijui itakua imefika ngapi sasa hvi









Zoom hadi tuone chumba cha kulala
unaeza sema maeneo binaadamu anaishi au nguruwe ??



Ni kipi kimebaki hapo? Hebu taja?hebu tazama hio picha ya kijitonyama imekamilika hapo??🤣🤣🤣
una mawazo finyu sana huwa ukipokea taarifa unaibeba kama jinsi ilivyo bila kufikiria nje ya chakiSasa ni rasmi majeshi ya EAC yanatumwa DRC. Tutafinya hao rebels wa DRC ile mbaya. Malazy kama kawaida yao ni cowards na naona kama watasusia kutuma majeshi.
Katika mambo ambayo yanawauma baadhi ya wakunya humu ni uwepo wa ma slums kila kona, mwengine anajaribu kuweka Google map za posh area alafu anajiliwaza kwa kuita slumsWanakuambia hayo mabanda yanafanana na unplanned za Dar.![]()






Hapo mabibo hakuna mabati housesZoom hadi tuone chumba cha kulala
Ruai slum
View attachment 2267110
Mabibo middle-class area![]()
![]()
View attachment 2267112









tokea wameenda hakuna walichofanya zaidi ya kuzurura hovyo for nothing hawajui hata wapi pakuanzia kuwafuata maaduiWewe fala kweli,TPDF anayajua mapori ya congo kwa kutembeza kichapo vizuri sana,hilo jeshi lenu limeongeza wezi tu huko,wanajeshi wenu watauana sana huko huko sababu ya madini maana mna jeshi bovu lisilo na nidhamu na ndio maana wakaiba hadi biscuit pale westgate na kuuza mkaa somalia
Nionyeshe mabati houses Ruai slum 😂Hapo mabibo hakuna mabati houses![]()