Hicho choo mnachojitapa nacho humu Laiti mngefuatilia hii page muone mijumba inayojengwa bongo mngejiona kiasi gani mlivyo wasenge kujilinganisha na Tanzania linapokuja suala la luxury homes and anything luxuryIt's not even in Dar. It's in Zanzibar
watu wa viwango tumetulia kimyaaa....!!
Ndio maana Kibera ni kubwa na watu million 2 wanaishi mle halafu mnakataabongolala, do you know the meaning of the word 'access roads'?
"Jinsi walivyo wabinafsi "nimekuelewa, fasihi imetumika ipasavyo kufikisha ujumbe kwa wanasiasa wa Kenya. [emoji1666][emoji1666]Nyie wacheni ujinga. Karen ndipo Raila, Ruto, Kalonzo na wanasiasa wakubwa wanapoishi hapa Nairobi. Unadhani wanasiasa wa Kenya na jinsi wanavyojipenda na pia jinsi ni wabinafsi wanaweza kuishi katika mazingira mabovu? Watu ambao wanamiliki helicopters wanawezaje kuishi katika mazingira mabaya? Hawa wanasiasa wa Kenya ni dollar millionaires. Aisee ukisikia neno "Karen" wewe kaa kimya tu, sio lazima ulete battle kwenye kila kitu.
Cc Sama boy 255
Hata mimi nimemuelewa [emoji16][emoji16][emoji16]Asante kwa ku prove kwamba maeneo yenye mazingira mazuri wanakaa wanasiasa ila kina Nicxie ambao ndio wengi wanaishia kuishi maisha wanayoishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi naamini wanasiasa kote duniani ni wabinafsi. Hata huko kwenu hali ni vivyo hivyo."Jinsi walivyo wabinafsi "nimekuelewa, fasihi imetumika ipasavyo kufikisha ujumbe kwa wanasiasa wa Kenya. [emoji1666][emoji1666]
Nairobi yenyewe hakuna residential district kubwa kama MbeziHiyo ndio kitu kinawauma. Mbezi walinganishe na Nyali kule Mombasa
Show me anywhere in that video they've mentioned that it's worth $10m.Unataka kulinganisha huu uchafu to what I have shown you, 😂😂😂 like seriously.? Hiyo nyumba ni super luxury villa hakuna kenya nzima
Nairobi yenyewe hakuna residential district kubwa kama Mbezi
56 square kilometers 90% pori la Mzungu Karen, developed area ni less than 10% onlyKaren is 56 square kilometers. Hiyo Mbezi yako iko na ukubwa gani?
Kuna Mbweni nayo inakuja vizuri sana subirini imalizike kwanza ndipo mtaipenda.Hawa wanadhaningi Karen ni kama hizo ma Mbezi zao. [emoji1787][emoji1787]
It is just 2.5 square kilometers big. Hata hizo uswazi zenu ni kubwa kwa KiberaNdio maana Kibera ni kubwa na watu million 2 wanaishi mle halafu mnakataa
Huu ndio ukweli, hiyo Karen ni pori tu eneo kubwa56 square kilometers 90% pori la Mzungu Karen, developed area ni less than 10% only
56 square kilometers 90% pori la Mzungu Karen, developed area ni less than 10% only
Mnataka iwe na uswazi pembezoni ndio mjue iko developed?Huu ndio ukweli, hiyo Karen ni pori tu eneo kubwa
Kibera ni kubwa sana na ndio slum kubwa Africa, hilo kwamba mumejenga kilometers 28 ni kamba tu ila Kibera ni kubwa sababu ni independent parliamentary constituency it's a whole district by populationIt is just 2.5 square kilometers big. Hata hizo uswazi zenu ni kubwa kwa Kibera
Kwa hivyo it's no longer 2.5 square kilometers? Sawa basi wewe unajua, ina ukubwa wa kiasi gani?Kibera ni kubwa sana na ndio slum kubwa Africa, hilo kwamba mumejenga kilometers 28 ni kamba tu ila Kibera ni kubwa sababu ni independent parliamentary constituency it's a whole district by population