Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna sehemu nyingi tu za Dar ambazo ni vichaka kabisa. You can't get a place like this in Nairobi unless it's a gazetted land like the Nairobi national parkView attachment 2272197
Wakona ushago ndani ya jiji 🤣 🤣 🤣 🤣
Image
 
Zipo nyingi sana hata huwezimaliza. Alafu utasikia wanavyojisifu vile Dar ni kubwa kwa Nairobi mara tatu. Kumbe huo ukubwa wote nusu ni vichaka tu!😃😃
😂😂😂 DAR nzima hakuna pori kiasi ambacho kuna maeneo ya mkoa wa pwani yamepakana na DAR lakini ki mipaka sio Dar, wacha kujisumbua, leta hizo picha za hayo mapori ya Dar unayoizungumzia kilaza wewe ..
 
Mbona isiwe Dar?
Financial Institutions currently based in Dar aren’t there because there was a “grand plan” to establish the city as a financial capital. They have headquarters in Dar because it’s the most populous city in the country, that’s where all major businesses and industries are based. The city also has the Dar stock exchange.


However, if I were to create an actual, thriving financial hub, where local and international businesses and financial institutions would come together, I would choose a city other than Dar. Tanzania’s economy is mainly concentrated along the coast! Dar, Pwani, and Tanga are major manufacturing regions. The economy of Dar es salaam in particular consists of activities such as Industry, tourism, transportation, e-commerce, retail, and technology. If a financial hub could be set up in a city other than Dar, it could open up a lot more economic potential for Tanzania. I’m talking real estate, retail, tourism, manufacturing, education, transport etc.

Take Germany for example. Berlin is their largest city, but their financial capital is Frankfurt, which is where the European Central Bank has its HQ. Frankfurt is also the largest financial hub in continental Europe. Speaking of Banks, I heard that there’s an active selection process for a city to host the East African Central Bank as the EAC plans to adopt a single currency. Apparently Kenya and Tanzania have shown interest to host.

cc: Nicxie
 
But still Tz is the most urbanized country in the region [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Of course it is. Look at how urbanized Dar is for instance 😂 😂 😂
Screenshot_20220625-225751~2.png
 
Afu wabongo tufike mahali hii wakenya wanaita 'Tanzanian beggars' waombaomba yeyote wanaonekana huko kenya
  • why kusema Tanzanian beggars?
  • beggars wooote waliopo barabaran kenya ni watanzania? Yan wooote ni watanzania? Hakuna hata mmoja mkenya?
  • does it mean mtanzania anaweza kuishi kenya bila kibali chakufanya kazi?
  • uhamiaj mipaka hawafanyi kazi yao? Wanaruhusu vip hao watu kwenda kenya bila shughul maalum au kibal?
  • kama ni watanzania kwann wanawaruhusu kukaa huko
  • Kwann wasikamatwe kama wahamiaj haramu?

Napata mashaka hii eti kila beggar ni mtanzania.. hii ni hujuma nyingine ya wakenya kuichafua Tanzania
Kuhusu suala la beggars wala usipate shida, inajulikana wazi nchi gani ni ombaomba kati ya Tanzania na Kenya, pia mkuu ni nani asiyejua kwamba Kenya ni nchi isiyowajali wananchi wake? Mamilioni ya Wakenya hawana ardhi, hawana chakula, hawajui kesho yao itakuwaje kwnn wasiwe ombaomba? Yani ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kutoka katikati ya nchi yake aende nchi jirani? Ombaomba gani atakuwa na uwezo wa kukata pasipoti ikiwa 70% ya Wakenya hawana passport za kusafiria? Sasa hao watakuwa ombaomba au middle class?

Ukweli ni kwamba serikali ya Kenya haijali wananchi wake, 90% ya Wakenya wanaishi maisha ya kubahatisha mno, mnaweza kuona hata humu kwenye huu uzi Wakenya wa humu ambao kwao ndio kidogo wana afadhali, angalia simu tu ya maana kidogo hawawezi ku afford, humu tukileta idadi ya wakenya wenye magari kwenye huu uzi sidhani kama wanazidi wawili huo ndio ukweli, so hii inakupa taswira ya kwamba ombaomba hao ni lazima wawe Wakenya mana hata hawa walio humu pia wengi wao ni ombaomba amini kwamba.
 
Back
Top Bottom