Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyali Mombasa..,

Umeniwahi 😂 😂
I watched it jana usiku and wanted to post it here. Look at how big and beautiful Nyali is. The clean streets and the greenery. Cha kushangaza utasikia vilaza wakicompare Mwanza na Mombasa. Watuletee mtaa wowote pale Mwanza inayofika hiyo level ya Nyali tuone
 
According to what you shared, 50% of Nairobisns mnakaa kwenye slums nyumba za mabati na mnakunya kwenye plastic bags
5% imegeuka 50%😃😃😃😃
Desperation ni mbaya aiseh!
 
90km from Dar port ndo kuna marshalling yard ?
SGR ya Tanzania will never be as efficient as Kenya's SGR. Yani haitawahi beba mizigo nyingi kuliko SGR ya Kenya.
Na importers kutoka DRc, Burundi na Rwanda wataendelea kutumia port ya Mombasa kuliko DarView attachment 2266628
Our marshalling yard is strategically located between Dar es Salaam and Bagamoyo port. This itaondoa usumbufu bandarini na kuongeza efficiency baaada ya ku evacuate mizigo haraka. Mizigo ya kila nchi ndio itapangwa Kwala na block trains zita operate from Kwala. At the port any cargo regardless of which country it goes will be loaded on the train for shunting to Kwala
 
Mzee, huyo mpuuzi atabisha hajui tunaeenda kuwaaibisha kwenye hili! Halafu pale Ruvu kuna space kubwa sana inamilikiwa na TRC kwenye marshalling yard na dry port pia! Kunyaland wangekuwa smart, ile nafasi wameweka marshalling yard wangeweka yard/berth ya kupokea magari!
 
Minyukano imeanza

@Tony254 Magufuli has gone, the one who was 100% responsible for poor relationship between Tanzania and Kenya, Mama Samia has shown and done everything possible to make sure trade is done smoothly between these two countries, but saga continues, as usual always Kenya starts these problems, what is your conclusion?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yule alikuwa akidowload mipicha. I asked him to screenshot his current location on Google Earth kisha atume huku. Sijamuona tena 😂
Omera unafeli wapi,nipo njiani narudi town nimeachana na hayo mabanda yenu👇👇
 
Attachments

  • IMG20220522115113.jpg
    IMG20220522115113.jpg
    398.3 KB · Views: 11
The 1st Luo president in kenya na rais wa 7 mjaluo duniani.
Namkubali sana huyu mwamba
 
Attachments

  • IMG_20220621_074050.jpg
    IMG_20220621_074050.jpg
    85.4 KB · Views: 10
Nikikumbuka nairobi niliyokuwa naiona kwenye mapicha iliyopambwa kwa nakshi za filters na niliyoina kwa macho yangu ni vitu viwili tofauti 👇👇👇
 
Attachments

  • 0b45db7291b80860a2563d1386fe7b22.png
    0b45db7291b80860a2563d1386fe7b22.png
    25.6 KB · Views: 12
@Tony254 Magufuli has gone, the one who was 100% responsible for poor relationship between Tanzania and Kenya, Mama Samia has shown and done everything possible to make sure trade is done smoothly between these two countries, but saga continues, as usual always Kenya starts these problems, what is your conclusion?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
@Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The 1st Luo president in kenya na rais wa 7 mjaluo duniani.
Namkubali sana huyu mwamba
Who r other three?
1. Milton Obote
2.Tito Okello
3. Barack Obama
4. .....................................
5. .....................................
6. .....................................
7. Raila Odinga

I hope hamtajaribu ku-claim Magufuli ni Mjaluo? Maana hamchelewi!
 
@Tony254
dyfre
Don YF
Nicxie

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tanzania's behavior is exhibiting symptoms of paranoia schizophrenia, yaani imagining things that are none existence, or making issues out of non-issues. If an independent individual posts something on tweeter or does anything mentioning Tanzania, u imagine it is Kenya, and Kenya's gov't strategizing to bring down Tanzania, and I can tell Kenya's govt doesn't even give a damn about you., if a legislation is enforced that somewhat affects cross border trade, u always read mischief, intead of seeing politics(if u understand political science), which is the norm globally, mko na matatizo. On Maasais' issue, Kenyan govt hasn't bothered, only their leaders in Kenya and concerned groups expressed disapointment at mistreatment of the Maasais, which is in order because your gov't is evil and utterly wicked, the reason u are poor despite natural wealth, and u seem not to see this. Kindly direct your efforts at correcting the issues in Tanzanian leadership.
 
Umeniwahi 😂 😂
I watched it jana usiku and wanted to post it here. Look at how big and beautiful Nyali is. The clean streets and the greenery. Cha kushangaza utasikia vilaza wakicompare Mwanza na Mombasa. Watuletee mtaa wowote pale Mwanza inayofika hiyo level ya Nyali tuone
Not Mwanza, Dar's rich estates haziwezani na Nyali, in aesthetics na size, the lady didn't bring the whole Nyali as I know it, kuna sehemu mingi amewacha, u can't just walk anyhow, and photography is restricted, Afrikan Traveller alinyang'anywa camera, he didn't know Mombasa sio kama Nai, security hapana mchezo coasto., places mob u can't fly drone.,
 
Back
Top Bottom