Jaribu kusema imejenga Seco jua kali engineers nikulipue, mmezoea uongo kwamba buses za Tz mnajenga yani mnajenga mnazipakia kwenye meli ya Ulaya mnazileta hapa au sioSECO engineers Kenya 😀 Tanzania are our good clients.
![]()









Bila ushiriki wa Tanzania, hizo nchi zingine zote ni useless, hakuna kitu mtafanya, kumbukeni CoW ilivyosambaratika kwa kukosekana Tanzania pekeeSasa ni rasmi majeshi ya EAC yanatumwa DRC. Tutafinya hao rebels wa DRC ile mbaya. Malazy kama kawaida yao ni cowards na naona kama watasusia kutuma majeshi.
Unapenda sana kuropokwa. 🤣 🤣 🤣Jaribu kusema imejenga Seco jua kali engineers nikulipue, mmezoea uongo kwamba buses za Tz mnajenga yani mnajenga mnazipakia kwenye meli ya Ulaya mnazileta hapa au sio
Haya onesha ushahidi kwamba Seco jua kali engineers wamejenga hiyo boat nikulipue sahizi mbwa wewe![]()
Jaribu kusema imejenga Seco jua kali engineers uoneUnapenda sana kuropokwa.![]()
![]()
![]()








Iljengwa Tanzania sio. 🤣 🤣 🤣Jaribu kusema imejenga Seco jua kali engineers uone![]()
Tanzania ni mwanachama wa SADC, ambako Kuna umoja wa kujihami wa SADC, hatuwezi kuingia katika ushirikiano mwengine wa kujihami bila kukubaliana na wenzetu wa SADC.Alafu nyinyi mnatuma ka-ambassador eti arepresent rais wenu kwenye meeting serious kama hii. Huwa mpo serious na EAC kweli? Nini ngumu kumtuma hata waziri mkuu au naibu wa rais kama rais ameshikika?
Nakuambia we jikune alafu uone, wewe sema hiyo boat imejengwa na Seco jua kali engineers nikulipue usiku huuIljengwa Tanzania sio.![]()
![]()
![]()





Niogope nini sasa, unadhani me hua mjinga kama wewe. 🤣 🤣 🤣Mbona unaogopa sasa![]()
Sasa si useme kwamba imejengwa na Seco jua kali engineers mbona usemi sasa, au lengo lako lilikuwa niniNiogope nini sasa, unadhani me hua mjinga kama wewe.![]()
![]()
![]()






Wewe huwa una messiah complex. You have an exaggerated sense of self importance. Bila Tanzania bado tutafaulu tu.Bila ushiriki wa Tanzania, hizo nchi zingine zote ni useless, hakuna kitu mtafanya, kumbukeni CoW ilivyosambaratika kwa kukosekana Tanzania pekee
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app










80% dar inatumia latrines. Sasa wewe mwarabu bandia hua unaji tawadha aje, unaingia na kikombe au bakuli kwa latrine ama? 🤣 🤣 🤣 🤣
Tulia mpangweJaribu kusema imejenga Seco jua kali engineers nikulipue, mmezoea uongo kwamba buses za Tz mnajenga yani mnajenga mnazipakia kwenye meli ya Ulaya mnazileta hapa au sio
Haya onesha ushahidi kwamba Seco jua kali engineers wamejenga hiyo boat nikulipue sahizi mbwa wewe![]()
mm na ww nani mwenye hasira 🤣🤣 hvi toka uingie humu na ukanikuta ushawah sikia au kuona mm nikawa na hasira ??Hebu tuliza jazba halafu soma kitu ulichokiandika. Ni wapi nimezungumza kuhusu Kibera. Unaweka maneno kinywani kwangu Maana sijazungumza vitu ukivyoandika. Na hiyo chuki unayosema ninayo Una ushahidi? Mimi sina chuki, in fact, I’m being objective here. Ninapoikosoa Tanzania ni Kwasababu napenda kuona maendeleo, sio utoto mnaoufanya nyie, Yaani kufagia uchafu chini ya zuria. Sema ukweli watu wabadilike! Unapotetea uchafu wa serikali, unawapa sababu ya kuendelea na uozo. Watu kama Wewe ni naive Kwasababu unaamini katika extremes. Either serikali ni Nzuri 100% Au mbaya 100%. Wewe unaamini in the former, kuwa serikali inafanya kila kitu vizuri na hakuna room for improvement. Tafakari sana na unatona nazungumza nini.
Nakuambia hivi jaribu kusema kwamba hiyo boat imejengwa na Seco jua kali engineers mbona na wewe unaogopa







Nionyeshe kama hizi bongo nifunge account.Houses in some parts of Kyuna estate as seen from the air. Man, look at that greenery and orderliness! View attachment 2266821View attachment 2266822View attachment 2266823View attachment 2266824View attachment 2266825