Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, this is Ruai ambayo ile list ya kilaza mwenzako says is a slum
View attachment 2266768View attachment 2266770

And then this is one of the residential areas in Dar which is considered as a middle-income area. View attachment 2266773

Hata kwa kuangalia tu, ni sehemu ipi kati ya hizi picha mbili panafaa kuitwa slum?
baada ya kuzoom mabibo sasa😂😂👇
08988829-5EAA-415F-A4E1-68E9F0E0427D.png
8F17497F-C729-4EED-BD1D-47E393561EE0.png
 
kuna mtu anaitwa Nicxie hapost zile slums zao ila anapost sehem zile nzuri nzuri tu sijui tumsaidie kumuonesha
Jamaa huwa anaumizwa na ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima, alishawahi kusema angeyatoa kunako Google earth ila mwaka wa tatu huu ma slums ndiyo kwanza yameongezeka
 
Wewe huwa una messiah complex. You have an exaggerated sense of self importance. Bila Tanzania bado tutafaulu tu.
Historia ya EAC ndiyo inayosema kwamba bila Tanzania Mambo hayawezikani, mfano ni CoW, tourists visa, Bomba la mafuta la Uganda, na suala la umiliki ardhi ndani ya EAC.

Ngoja tuone huenda wakati huu mtafanikiwa, ila uwezekano wa kwenda kuwashinda M23 Kama tulivyowashinda sisi haupo, KDF is very weak army.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania tuna tatizo kubwa la unplanned settlement hususan Dar, hiyo kitu inanikera sana na sijawahi kuifumbia macho, huwa naisema kila siku maana kuimaliza inawezekana ila hayo ma slums Kenya ni ngumu kuyamaliza mana Kenya slums ni nyingi kuliko descent houses, kwa kila nyumba moja ya tajiri Kenya juwa kwamba kuna ma slums 1000 yamezunguka hiyo nyumba, sasa hapo ni ngumu kuyaondoa.
 
Tanzania tuna tatizo kubwa la unplanned settlement hususan Dar, hiyo kitu inanikera sana na sijawahi kuifumbia macho, huwa naisema kila siku maana kuimaliza inawezekana ila hayo ma slums Kenya ni ngumu kuyamaliza mana Kenya slums ni nyingi kuliko descent houses, kwa kila nyumba moja ya tajiri Kenya juwa kwamba kuna ma slums 1000 yamezunguka hiyo nyumba, sasa hapo ni ngumu kuyaondoa.
yani kwa kifupi ardhi kubwa ya nairobi inamilikiwa na watu wachache sana kias kwamba hata zile estates zao zinamilikiwa na wachache, ndio maana mkenya anaewez kupanga bedsitter hujiita middle income 🤣🤣🤣🤣 wakat middle income watanzania anamiliki nyumba zaidi ya moja na magari kadhaa
 
yani kwa kifupi ardhi kubwa ya nairobi inamilikiwa na watu wachache sana kias kwamba hata zile estates zao zinamilikiwa na wachache, ndio maana mkenya anaewez kupanga bedsitter hujiita middle income wakat middle income watanzania anamiliki nyumba zaidi ya moja na magari kadhaa
Alafu kwa nn hawaweki residential area zao tuzione? Wakiweka picha ni zile zilizopigwa na watu wa mitandao zikatengenezwa ndiyo wao wanaweka humu lkn hakuna mkunya aliyewahi kupiga picha kwa mkono wake mwenyewe kama cc tunavyofanya.
 
Back
Top Bottom