Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo mabati zimerust ni za mansions ama? Hawa watu wote hawana Vyoo na bafu ndani ya nyumba, that's a slum with no doubt.
mukioneshwa biggest slum on planet munakasirika 😂😂😂😂

22D8A9E0-0D5E-4D4F-B569-B27238256A2F.jpeg


 
Hio UN Habitat ndio wamesema only 6% of Nairobi is covered with informal settlements. Dar kila corner imejaa informal settlements. Ndio maana sewage treatment plant ya Dar ni ndogo sana, ju nyumba mingi hazina maji na proper sanitation.
3.PNG


Wewe mtoto mdogo sana nitakugonga na facts mpaka utulie humu ndani!
 
nani alisema dar kuna slum yani munalazmisha tufanane sasa 🤣🤣🤣

tangu lini ikasemekna dar kuna slum siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc bro 😂😂👇👇
View attachment 2266553
hamuwezi kua LeastDevelopedCountry na sisi EmergingMarket. kisha sisi tuna slums, nyinyi hamna.. heb check hizi slums in oysterbay..

note: kama kawa mashuzi ya tajiri hayanuki, lakini ya maskini..... 💣💣 💨 fyu.!

EAC6A3E4-6F39-4088-8E0E-F5E52326E39A.jpeg
33914830-FCBC-4CAD-970D-FF5A3EC92FC0.jpeg
D947DB56-74EE-4F06-BC60-4208D4AE967D.jpeg
Screenshot_20220620-151533_Gallery.jpg
Screenshot_20220620-151504_Gallery.jpg
 
sio mm niliosema kaka acha hasira sasa 😂😂😂😂👇👇👇👇👇
Wewe ni mjinga tu siku zote. So kati ya hiyo link na hii nyingine inayosema Kibera iko na 700,000 people ni gani inasema ukweli?
 



MY TAKE
Whao surprised Kunyaland imekosekana...!

Those statistics are very wrong. Zimbabwea's special working permits in South Africa were granted to more than 300 000 yet, Zimbabweans are one of the largest group of illegal immigrants in SA.

In SA, countries with largest numbers:

Zimbabwe
Nigeria
Mozambique
Ethiopia
Lesotho
DRC
Chinese
Somalia
 
90km from Dar port ndo kuna marshalling yard ?
SGR ya Tanzania will never be as efficient as Kenya's SGR. Yani haitawahi beba mizigo nyingi kuliko SGR ya Kenya.
Na importers kutoka DRc, Burundi na Rwanda wataendelea kutumia port ya Mombasa kuliko DarView attachment 2266628
Not necessarily, Rotterdam and Hamburg Marshalling yards and all massive yards around the world including Antwerpen r outside the port connected with rail lines or even long canals that allow barges to sail!






FYI:
That Kwala dryport and Ruvu marshalling yard location is strategic to even serve cargo from Bagamoyo port when built in the future! The plan is all the port users from Zambia, DRC, Rwanda, Burundi and Uganda will be collecting cargo from Kwala dry port in case of trucks while shunted to block trains incase of SGR!

To be fair enough huwezi kufanya shughuli za cargo sorting n shunting for inland block trains on berths of busiest ports in the World!

Angalia the world largest Ghuangzhou port haina marshalling yard on the berth!


OR

Shanghai automated port



OR

Hamburg port



MY TAKE
There is no single thing that SGR Kunyaland can brag against SGR Tanzania's design! Take that to the bank!
 
Back
Top Bottom