.
Kampuni inajenga meli na haina drydock, tuonyeshe dry dock zenu. Si umeona Kenya shipbuilders wote wana drydock.nimeomba list ya meli zilizoundwa! Najua hamna kampuni inashinda Songoro marine!
