Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii picha ni ya lini?
Omera wewe unadowload picha kubali yaishe. Hiyo picha ya Tom mboya statute haifanani hivyo kwa sasa. Sema tu unatamani kufika Nairobi
Mpaka sasa nipo Nairobi na sio mara ya kwanza kuja huku mabandani...halafu Nairobi sio sehem ya kusema au kujisifu kama vile ni Ulaya me napachukulia kama Dodoma tu hakuna tofauti

Bisha tena sasa hivi nipo mitaa fulani napiga story na baadhi ya ndugu zenu kuhusu hali ya Nairobi yaani hawana amani kabisa na maisha 👇👇👇
 

Attachments

  • IMG_20220619_134915.jpg
    IMG_20220619_134915.jpg
    105.4 KB · Views: 8
Dreamhouses hizo 😃😃😃
Pia hilo eneo ni Kiashiria cha income inequality. There’s a clear line separating the leafy, planned Oysterbay and Masaki from Msasani and Namanga (the slums). Also, I always wonder why the most posh parts of the city are primarily expat neighborhoods. There isn’t any other “affluent” part of the city that could be placed in the same category as Oyster Bay and Masaki. Sad!
15D56E04-14AF-4115-BEB4-5EB9FD3995B0.jpeg
 

Attachments

  • images (2).jpg
    images (2).jpg
    75.2 KB · Views: 6
Hard truth., so unfortunate, yet in Dar it is sprawling all over like crazy..,
A sprawling slum-polis is what Dar is. It’s so horrible that it would take decades to correct the mess that exists.
 
Mm nakuelewa.but what do.you think needs to be done...?

My view
1. Kutafuta makazi mapya ..na serikali kujengea watu nyumba nzuri standard na watu kulipa kidogo kidogo bila riba...

Lakini ili hyo ifanyike kwanza we have to deal with other pressing issues ..then tukishajikwamua kwenye issue kama kila wilaya kuunganishwa na lami, kuwa na hospital nzuri na mifumo mizuri ya elimu ..serikali inaweza ikaangalia swala la kubomoa informal houses na kisha ku relocate watu..

2.Inaweza ikafanyika kwa pamoja ..ni kutenga kiasi kidogo cha fedha kama billion 50 to bil 100 kila budget kuhamisha watu na kupanga mji vizuri
Tatizo ni kuwa tunafikiri miundombinu ni maji, barabara na umeme peke yake. Makazi bora pia ni miundombinu. Makazi yaliyopangwa, Yaani makazi yaliyojengwa kutokana na mipango mji ya miji, yataondoa hali duni zinazoonekana Kwa sasa

Tofauti ya Masaki na any other typical neighborhood in Dar ni kuwa hilo eneo limepangwa sambamba na miundombinu ya barabara za lami, maji safi, sewerage na umeme. Pia kuna juhudi za kuhakikisha miti inatunzwa. Hell, hadi kuna floor limit ya majengo kutunza mandhari ya hiyo peninsula.

Mitaa ya kawaida haina barabara za lami, haina sewerage system, Pia unakuta hata maji hakuna. Why? Serikali haina mpango wa kuhakikisha kila eneo linalokaliwa na watu Lina hizi basic services. Pia Silaumu watu wanaojenga kiholela, ninailaumu serikali Maana kama ingekuwa na mpango madhubuti, hiki kitu kisongetokea.

Pia local authorities hazijishughulishi kutengeneza policies kuzuia ujenzi holela. Kila mtu anajenga atakavyo. Hakuna harmony, hakuna sehemu zilizotengwa Kwa ajili yo community centers kama parks and recreation. Everything is just a mess.
 
nani alisema dar kuna slum yani munalazmisha tufanane sasa 🤣🤣🤣

tangu lini ikasemekna dar kuna slum siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc bro 😂😂👇👇
View attachment 2266553
Pia mimi nimeona dar hakuna slums bro, kwa standards za kitanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1655733060599.png

1655733104465.png
 
5% but inhabitated by over half of the population! Kumbuka nearly 1/3 of Nairobi is a national park! Piga hesabu Mkunya! Leo huchomoki humu ndani!
Atleastnot over..., Dar over 75%.., with that big population., na ujue sehemu zote Kenya categorized as slums mingi are way better than your ushamba living 😂 😂 😂 😂 😂
 
haibadilishi kwa chuki zako au?🤣🤣🤣 yani ww ukiwa na chuki ndio tuamini pumba zako ikiwa kibera iko with 3km from CBM unatuambia hio ni planning

au ww hujui maana ya slums 😂😂 siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc

View attachment 2266329
Hebu tuliza jazba halafu soma kitu ulichokiandika. Ni wapi nimezungumza kuhusu Kibera. Unaweka maneno kinywani kwangu Maana sijazungumza vitu ukivyoandika. Na hiyo chuki unayosema ninayo Una ushahidi? Mimi sina chuki, in fact, I’m being objective here. Ninapoikosoa Tanzania ni Kwasababu napenda kuona maendeleo, sio utoto mnaoufanya nyie, Yaani kufagia uchafu chini ya zuria. Sema ukweli watu wabadilike! Unapotetea uchafu wa serikali, unawapa sababu ya kuendelea na uozo. Watu kama Wewe ni naive Kwasababu unaamini katika extremes. Either serikali ni Nzuri 100% Au mbaya 100%. Wewe unaamini in the former, kuwa serikali inafanya kila kitu vizuri na hakuna room for improvement. Tafakari sana na unatona nazungumza nini.
 
Mpaka sasa nipo Nairobi na sio mara ya kwanza kuja huku mabandani...halafu Nairobi sio sehem ya kusema au kujisifu kama vile ni Ulaya me napachukulia kama Dodoma tu hakuna tofauti

Bisha tena sasa hivi nipo mitaa fulani napiga story na baadhi ya ndugu zenu kuhusu hali ya Nairobi yaani hawana amani kabisa na maisha
You posted a pic ukiwa kwa an old model benz ukaulizwa hapo ni wapi na DON YF, you never answered we are waiting for your answer still
 
unaeza kufananisha ili tujue ww unaakili kuliko alieweka satellite hewani😂😂😂
View attachment 2266344

That is their problem, and I never denied that Kibera is the largest slum on the continent of Africa. It’s easy to make a single area a laughingstock while forgetting that three quarters of your city is completely in shambles and unplanned. This entire thing isn’t a competition. It’s about calling out the responsible authorities to do their DAMN job!
 
Modern ship repairing/building facilities like these can nowhere be found in Kunyaland!
 
Back
Top Bottom