Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo
800px-Kirinyaga_County_in_Kenya.svg.jpg
 
EastLeigh is the business hub,is the second CBD in kenya(Nairobi).Mambo kwa ground ni haya kiukwel Nairobi inanuka harufu kali sana
Eti Eastleigh ni second CBD? kilaza kwa ubora wake😂😂😂 Westlands ndio second CBD, then UpperHill, Easleigh ni soko, yani shopping centre, alafu haifanani hivyo mr google., hauko Nairobi, wapi picha za campaigns? danganya vilaza wenzako nyambaff..,😂😂😂😂😂😂
 
Too basic . Just like Kikwete bridge in Kigoma, over 1400 km away from Dar
View attachment 2266133
Hiyo takataka yenye piller moja moja kama walking stick, not dual carriageway ndio ufananishe na Makupa, two way, njia mbili zimepishana., wacha kujitoa ufahamu, yaani unajitia hamnazo wazi wazi tu 😂 😂 😂 😂
1655704204484.png
 
Eti Eastleigh ni second CBD? kilaza kwa ubora wake😂😂😂 Westlands ndio second CBD, then UpperHill, Easleigh ni soko, yani shopping centre, alafu haifanani hivyo mr google., hauko Nairobi, wapi picha za campaigns? danganya vilaza wenzako nyambaff..,😂😂😂😂😂😂
Kaka wewe unaishi Nairobi sehem gani nikutumie location uje tuonane? Nina hakika wewe upo kisumu dala na sio vingine....Erokamano ainya ila ifuo ka chieth
 
Back
Top Bottom