Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka wewe unaishi Nairobi sehem gani nikutumie location uje tuonane? Nina hakika wewe upo kisumu dala na sio vingine....Erokamano ainya ila ifuo ka chieth
Kwa sasa niko hapo maeneo ya South African High Commission, hapo nyuma kidogo nimepita Nigerian High commission, waiting for someone then naelekea Gracia Gardens Kilimani, sio mbali na hapa, then I roll to town later in the day.., pin hapa location mwehu wewe..,
 
Good morning Nairobi👇
Hapa ni wapi? sema sasa hivi, sehemu gani ya Nairobi? mr. google?.., napajua vizuri sana.., na hapako hivi kwa sasa, mwehu, siku za mwizi zimefika 😂 😂 😂 😂 😂 😂. taja hapa mahali, na opposite kuna nini?
1655706074881.png
 
😅 leo umewaumbua kweli kweli
Mwambie ataje hiyo sehemu, na nini iko opposite hapo., hiyo sijui ni miaka ngapi, kilaza anatafuta vipicha kwa google., dunia ya leo haudanganyi mtu.., Nairobi sio Dar mji wa kishamba.. 😂 😂 😂 😂
 
EastLeigh is the business hub,is the second CBD in kenya(Nairobi).Mambo kwa ground ni haya kiukwel Nairobi inanuka harufu kali sana
Yaani hii picha mwehu mwenzako The best 007 ame post hapa mara mingi sana., ungefanya utafiti uongo na propaganda haina shelf life 😂 😂 😂 😂 ., ata angalau ungetumia youtube clips za 2022 utafute sehemu zile duni u post utudanganye ni wewe umepiga picha😂😂😂😂
1655706646513.png
 
This place is right next to Oyster Bay, one of Dar’s most affluent suburbs. Anything to say about it?
View attachment 2266074View attachment 2266073View attachment 2266072View attachment 2266071View attachment 2266070
Mm nakuelewa.but what do.you think needs to be done...?

My view
1. Kutafuta makazi mapya ..na serikali kujengea watu nyumba nzuri standard na watu kulipa kidogo kidogo bila riba...

Lakini ili hyo ifanyike kwanza we have to deal with other pressing issues ..then tukishajikwamua kwenye issue kama kila wilaya kuunganishwa na lami, kuwa na hospital nzuri na mifumo mizuri ya elimu ..serikali inaweza ikaangalia swala la kubomoa informal houses na kisha ku relocate watu..

2.Inaweza ikafanyika kwa pamoja ..ni kutenga kiasi kidogo cha fedha kama billion 50 to bil 100 kila budget kuhamisha watu na kupanga mji vizuri
 
Ila wakati huo huo wasiruhusu watu kujenga hovyo hovyo bila vibali, kujenga sehemu ambazo hazijapimwa na sehemu zisizoruhusiwa.
 
Eti Eastleigh ni second CBD? kilaza kwa ubora wake😂😂😂 Westlands ndio second CBD, then UpperHill, Easleigh ni soko, yani shopping centre, alafu haifanani hivyo mr google., hauko Nairobi, wapi picha za campaigns? danganya vilaza wenzako nyambaff..,😂😂😂😂😂😂
Eti second cbd! 😃😃😃 Eastleigh is a residential area. Alafu hata Parklands is way ahead of Eastleigh. Jamaa ni mjinga sana
 
Haibadilishi the fact that 75% of Dar is filled with informal settlements; AKA it’s unplanned. Huwezi kukosoa makazi ya mji wa nchi nyingine huku nchi yako iko hivyo hivyo.
haibadilishi kwa chuki zako au?🤣🤣🤣 yani ww ukiwa na chuki ndio tuamini pumba zako ikiwa kibera iko with 3km from CBM unatuambia hio ni planning

au ww hujui maana ya slums 😂😂 siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc

2A43C88C-3608-4A08-AAF9-A6987BC880F0.png
 
Back
Top Bottom