Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimegundua 90% ya wakenya waliopo humu JF sio wakazi wa Nairobi....wengi mpo ushagoo
Omera wewe unadowload picha kubali yaishe. Hiyo picha ya Tom mboya statute haifanani hivyo kwa sasa. Sema tu unatamani kufika Nairobi
 
jibu langu kwako ni simple tu 🤣🤣👇
View attachment 2266340
Kama Ruai ni slum, Dar ni slum 97%.., mbona haukuchunguza kutumia google earth, map umepewa, uone ukubwa na upana wa maeneo umetajiwa yalivyo., Bro Baba levo mbishi hakuwadanganya., alishangaa., alidhani ataona Kibera type slums kila sehemu ya Nairobi lakini wapi.., mtangoja miaka 25 na zaidi mbele😂😂 😂😂😂😂😂😂
1655717013846.png

1655717075835.png

1655717149163.png

1655717190424.png
 
Reminder: Bigger than Kisumu airstrip and has longer runway than Kisumu airstrip but has not international airport tag! 👇 👇
 
ikiwa kibera alone ina over 2.5m people what about other slums like makuru kayaba, kisumu ndogo, mathare, korogocho etc 🤣🤣🤣🤣

Kibera hawafiki 300k., hizi propaganda ziliumbuliwa kitambo.., census data iko., Kenya sio Tanzania, tunaweka kila kitu wazi wazi na uongo tunaumbua 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sasa unalia nini?, hiyo namba hajaitoa kichwani mwake, wewe ilipaswa kupinga kwa data, sio kwa kutumia machozi na kamasi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So if someone is stupid we can't tell him so? It's common sense bongolala. 2.5 million people can't fit in an area measuring just 2.5 square kilometers.

Secondly data on Kibera is so varied. Most of these data come from NGOs that inflate figures in order to attract funds from their donors. There are publications that quote 2.5 million people, some say 2 million people, others 1.5 million people while some even say 700,000 people. So who is saying the truth between them? These articles below all quote different figures about Kibera population

The truth is, population ya Kibera haifiki hata 500,000 people. It's just between 200k-300k max. Kibera is a constituency and according to 2017 IEBC data, it had 118,000 registered voters. How can an area with 2.5 million people have only 118k voters? Common sense!!
 
Umeongea vizuri kaka, ngoja niongezee na mimi kidogo.

Tukiendelea na huu utaratibu wa watu wajenge nyumba hatutafika, mashirika ya serikali kama watumishi housing, nhc jeshi, tba nk yana uwezo wa kujenga nyumba ila saa nyingine inakuwa ngumu kupata wateja sababu watu wanajijengea.

Ili kuondoa makazi holela serikali izuie kwa sasa watu kujenga then iweze she makampuni kama nhc nk yajenge nyumba kwa Kuanzia serikali ikubali hasara au nusu hasara, kwa mfano itoe bilioni 100 kila mwaka kwa tba, nhc nk wajenge nyumba kwa sharti la kuvunja sehemu zilizo hovyo kama wslivyofanya magomeni kisha wananchi walioathirika wa napata nyumba zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tujenge maghorofa, ujenzi wa nyumba za chini sio mzuri unafanya miji inakuwa mikubwa na Hatuwezi kupeleka barabara maji na umeme.
Mfano ukijenga maghorofa 10 ya floor 10 kila moja na kila floor inachukua familia 2 maana yake jengo moja litakuwa na familia 20,majengo 10 familia 200.
Ukijenga nyumba za chini 200 utachukua eneo kubwa sana na utahitaji mitandao ya maji barabara na umeme nk.

Watu wansobomolewa nyumba kupisha miradi wasilipwe fidia ila serikali ijengwe nyumba wahamishiwe kwenye hizo nyumba, fidia ilipwe tu kama kilichohusika kwenye mradi sio nyumba ya kuishi.

Sheria za miji ziheshimiwe, si kila nyumba ilio pembeni ya barabara basi iwe na frame(s)
Kuwe na maeneo maalumu ya biashara.

Nyumba kama za wamasai handeni zinatosha kwa watu wa hali ya chini, zikijengwa kama zile 1000 kila mwaka kureplace makazi holela nazo pia zitasaidia.

Haya ni mawazo yangu, hii sehemu ya makazi Magu hskuigusa, ni Wakati Wa mama kujichukulia ujiko eneo hili.
Mawazo mazuri mzee..ni maamuzi ya kutenga budget na kuanza kutekeleza
 
Pale Mbunge Mmasai anapojikanganya juu ya loliondo akidai ardhi ya Wamasai wakati katiba ya Tanzania inasema ardhi ni mali ya umma!

CC: Tony254
 
So if someone is stupid we can't tell him so? It's common sense bongolala. 2.5 million people can't fit in an area measuring just 2.5 square kilometers.

Secondly data on Kibera is so varied. Most of these data come from NGOs that inflate figures in order to attract funds from their donors. There are publications that quote 2.5 million people, some say 2 million people, others 1.5 million people while some even say 700,000 people. So who is saying the truth between them? These articles below all quote different figures about Kibera population

The truth is, population ya Kibera haifiki hata 500,000 people. It's just between 200k-300k max. Kibera is a constituency and according to 2017 IEBC data, it had 118,000 registered voters. How can an area with 2.5 million people have only 118k voters? Common sense!!
Hapa umepigia mbuzi guitar., hawapendi such truth., hard facts.,
 
Kama Ruai ni slum, Dar ni slum 97%.., mbona haukuchunguza kutumia google earth, map umepewa, uone ukubwa na upana wa maeneo umetajiwa yalivyo., Bro Baba levo mbishi hakuwadanganya., alishangaa., alidhani ataona Kibera type slums kila sehemu ya Nairobi lakini wapi.., mtangoja miaka 25 na zaidi mbele😂😂 😂😂😂😂😂😂
View attachment 2266423
View attachment 2266424
View attachment 2266425
View attachment 2266426
Hiyo picha yake ameizungusha hapa miaka mitatu sasa na kila akiileta anaumbuliwa. Kama Ruai above ni slum zile uchafu zao tutaitaje?
 
Hiyo picha yake ameizungusha hapa miaka mitatu sasa na kila akiileta anaumbuliwa. Kama Ruai above ni slum zile uchafu zao tutaitaje?
Yaani hauwezi kulinganisha.., in Tanzania hizi 👇 👇 shanties zao eti sio slums, in Kenya such stupid houses bado ziko categorized as slums.,
1655719961417.png

1655720099924.png

Yaani hizi za pipeline bado ziko categorized as slum alafu kilaza anasema eti Dar haina slums.., mtanzania akiona neno slum anafikiria Kibera type., 😂😂😂😂
1655720220113.png

1655720240056.png

1655720266879.png

1655720302050.png
 
Yaani kama Uthiru, Riruta, Ruai, eti Ruai 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., Githurai., kama hizo ni slum Dar ni slum 95%.., google earth msema ukweli.., bro Walker255 hana chuki, ako very objective na honest., wewe ukweli unakuuma., not all slumss are slummy as u think., if these areas are slums ina maana mko hovyo zaidi, na liko wazi sana😂😂😂😂😂😂😂

Riruta

View attachment 2266406

Kawangware
View attachment 2266407

Uthiru
View attachment 2266408
View attachment 2266409

Kibera slum pale kati kati.., tazama kulia na kushoto yake..., Tanzania haupati such residential in a big way..,
View attachment 2266412
Kibera's jirani wa kushoto
View attachment 2266413
Kibera's jirani wa kulia
View attachment 2266414

Githurai eti ni slum.., tuone kwa ukubwa na upana hii slum ilivyo.,
View attachment 2266415
View attachment 2266416
View attachment 2266417
View attachment 2266418
The moment I saw Uthiru and Ruai in the list nilianza tu kucheka. Kwanza Ruai of all the places! 😃😃
Ruai can't be compared to most of their upper middle-class areas
 
Back
Top Bottom