Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eastleigh

Image
 
hataaaa kidogo sikubaliani nawe.. ngoja kwanza Tony254, mchumi. aje hapa atueleze haya mambo kwa kina....
dyfre upo sahihi. South Africa is one of the most unequal societies in the world. Huwezi kucompare inequality ya SA na ya Kenya. South Africa is usually regarded as the most unequal country in the world. The higher the gini coefficient, the more unequal a country is. Kenya's gini coefficient of 0.40 is moderate. South Africa's gini coefficient is 0.61 which is pretty high.

Cc joto la jiwe
 
Unapenda kulia kulia🤣🤣🤣 Ushaambiwa over 75% of people in Dar live in informal settlements. We mwarabu bandia unataka kupinga wataalamu kama nani.

aliesema ni nani unplanned settlement unaeza fananisha na slums ambayo 70% wakazi wa nairobi wanaishi kwenye maisha hata nguruwe hawezi kuishi 🤣🤣

Afadhali, wameichezea DRC for decades. Killing thousands if not millions of innocent Congolese just to loot their minerals. That tall guy is not a human, but an evil.
True. Kagame asipochunga, future yake ni mbaya sana hapa EAC. Watu wameshamgundua.
 
Unapenda kulia kulia🤣🤣🤣 Ushaambiwa over 75% of households in Dar are informal settlements. We mwarabu bandia unataka kupinga wataalamu kama nani.

ikiwa kibera alone ina over 2.5m people what about other slums like makuru kayaba, kisumu ndogo, mathare, korogocho etc 🤣🤣🤣🤣

aliesema ni nani unplanned settlement unaeza fananisha na slums ambayo 70% wakazi wa nairobi wanaishi kwenye maisha hata nguruwe hawezi kuishi 🤣🤣

Imeandikwa vizuri informal settlements, hio unplanned umetoa wapi?
 
ikiwa kibera alone ina over 2.5m people what about other slums like makuru kayaba, kisumu ndogo, mathare, korogocho etc 🤣🤣🤣🤣

2.5 million 🤣 🤣 🤣 🤣 hio ingekua county kivyake. Usiwe mjinga bana. Over 75% of Dar is a slum households are informal settlements. In Nairobi less than 6% of the land is covered with informal settlements.
 
Slum dwellers Nairobi ni zaidi ya 3mln!
 
Back
Top Bottom