Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera hawafiki 300k., hizi propaganda ziliumbuliwa kitambo.., census data iko., Kenya sio Tanzania, tunaweka kila kitu wazi wazi na uongo tunaumbua πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
sio mm niliosema bro utanipiga sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama Ruai ni slum, Dar ni slum 97%.., mbona haukuchunguza kutumia google earth, map umepewa, uone ukubwa na upana wa maeneo umetajiwa yalivyo., Bro Baba levo mbishi hakuwadanganya., alishangaa., alidhani ataona Kibera type slums kila sehemu ya Nairobi lakini wapi.., mtangoja miaka 25 na zaidi mbeleπŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2266423
View attachment 2266424
View attachment 2266425
View attachment 2266426
nani alisema dar kuna slum yani munalazmisha tufanane sasa 🀣🀣🀣

tangu lini ikasemekna dar kuna slum siku ukipata google earth ikionesha slum in dar nitag nifunge acc bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
6CFDFA8F-32FC-4E5F-B63F-7F10BDAF6081.png
 
na ukipata neno slum nitag 🀣🀣🀣🀣

yani mzungu kaweka sattelite hewani lakini cha ajabu kaona slums za dunia nzima ila za tanzania hajaona
Dar is not overcrowded and everyone is rich. 🀣🀣🀣 80 % of your rich residents hawana proper sanitation.




1655725301509.png
 
zoom uoneshe slum ili nijue ww unaakili zaidi kuliko alieweka sattelite hewani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unataka kutuambia 7 million residents in Dar wanatumia hii sewage treatment plan ndogo hivi. 🀣 🀣 🀣 🀣 Sisi sio wajinga.

1655725604707.png
 
Dar is not overcrowded and everyone is rich. 🀣🀣🀣 80 % of your rich residents hawana proper sanitation.




View attachment 2266550
where is a word slum in dar hilo ndilo swali langu tangu lini unplanned settlement ika wa slum au ww hujui maana ya slum 🀣🀣🀣🀣


ukipata dar nitag mm plz πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee wa kubishana na UN Habitat! Haya tufanye Nairobi haina slums na Dar ina slums kuliko Nairobi! Happy Mkunya?
Hio UN Habitat ndio wamesema only 6% of Nairobi is covered with informal settlements. Dar kila corner imejaa informal settlements. Ndio maana sewage treatment plant ya Dar ni ndogo sana, ju nyumba mingi hazina maji na proper sanitation.
 
hebu zoom tuone hio slum ambayo ww umeona lakini sattelite haijaona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe tuambie munapeleka mavi wapi? au hamwendi choo. 🀣🀣🀣🀣 hakuna vile munaweza kua sewage treatment plant inatoshana na fish pond.
 
Wewe tuambie munapeleka mavi wapi? au hamwendi choo. 🀣🀣🀣🀣 hakuna vile munaweza kua sewage treatment plant inatoshana na fish pond.
mm naongea na vitende hio ndio picha umepost hapo mabibo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
hebu ww tuoneshe slum hapo leo niamini mzungu ni mjinga kuliko ww πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

nimekusaidia kuzoom πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2266565View attachment 2266567
 
hebu ww tuoneshe slum hapo leo niamini mzungu ni mjinga kuliko ww πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

nimekusaidia kuzoom πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 2266565View attachment 2266567
ww unamuona mzungu mjinga sana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
CD320520-EAAF-4CC9-B492-FBC74717CC07.png



Unataka kutuambia 7 million residents in Dar wanatumia hii sewage treatment plan ndogo hivi. 🀣 🀣 🀣 🀣 Sisi sio wajinga.

View attachment 2266556
 
80 % of dar residents kumbe wanatumia pit latrine. Ndio maana hio sewage treatment plant ni ndogo sana.

 
Hapa ni wapi? sema sasa hivi, sehemu gani ya Nairobi? mr. google?.., napajua vizuri sana.., na hapako hivi kwa sasa, mwehu, siku za mwizi zimefika πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚. taja hapa mahali, na opposite kuna nini?
View attachment 2266262
haya mataahira ukiyaambia yana uchumi bandia hayaelewi, wenye uchumi wao wanaishi vizuri wapumbavu ndiyo wanaopanga foleni kununua maji tope
 
Back
Top Bottom