Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Incase you may forget.Gari 80 per day zinabeba nini zaidi ya diapers? Unalinganisha na gari 180?
Mpaka serikali yenu imesanda
Incase you may forget.Gari 80 per day zinabeba nini zaidi ya diapers? Unalinganisha na gari 180?
Mpaka serikali yenu imesanda
When you were engaging me didn't you know that I was talking about automotive industry? Ama ni vile umegundua hakuna unachojua ndio ukaamua to reflect back?Kwahyo hii ☝️ discussion umeihamishia huku👇😂😂😂
Saivi disc umeileta kwenye automative industry, sio mchango wa kilimo tena kwenye industrial development.? 😂😂
Kwani kuna shida tukileta raw materials?This is good evidence that Tanzania wanaleta raw materials (unfinished goods) alafu Kenya tunawarudishia kama finished goods. Hakuna vile munaweza ingiza lorry 3300 per month na sisi tuingize lorry 1000 na bado tuwashinde kwa export revenue. Yani mukileta gunia za viazi tunawarudishia kama packets of crisps, mukileta gunia za pareto tunawarudishia kama insecticides, mukileta gunia za machungwa tunwarudishia kama bottles of juice.
![]()
Data za juzi tu zilieleza wazi kwasasa Tz tunapiga pesa mingi zaidi ya Kenya kwenye masuala ya export between these two countries
Kwa first qtr mumefanya vizuri lakini tukija kwenye overall tutawapiga vizuri tuu kama tulivyowafanya mwaka 2021 👇
Pamoja na ku export $118M,bado hii ni ongezeko kubwa kulinganisha na corresponding period of the past year..In three months Tanzania has only exported $118M to Kenya while Kenya exported $138M to Tanzania in the same period.
Ebu leta hizo data zako za juzi tuone kama they are more recent than this.Data za juzi tu zilieleza wazi kwasasa Tz tunapiga pesa mingi zaidi ya Kenya kwenye masuala ya export between these two countries
Kwa unywaji huu wa maji hata evolution hampo 😅😅😅We are in the generation of industrialization and not Agrarian anymore. Most countries like China is converting their farmlands into cities and industries. Again in US, ratio of agriculture to GDP is only 5%.
Unaongea ujinga na upumbavu Bila kuleta ulinganifu wa matokeo chanya baina ya Awamu ya 6 na ya 5..Sidhani kama ww uko fare, kwaiyo ulitaka wafrahie wanapo ona matlaba kila sehem? Angalia aina ya ubadhilifu ulio fanywa serikalini, vipi kuhusu endess increasing of inflation,safari hata zisizo na tija, saivi kila kiongozi ni kupishana airport wakati wananchi wana kila aina ya matatizo na ni mwaka moja, Tukutane hapa bada ya miaka 2 utaniambia kama hatutakuwa na unbeable debt kama kenya au Ghana. Hata km kulikuwa na ubadhilifu kipindi cha jiwe lakin na maendeleo ya kweli yalionekana na promising future
Itoshe kusema mwenda zake aliacha viatu vikubwa, sasa mvaaji vinampwaya ulitaka watu waseme vimemtosha wakati mvaaji anakubali nivikubwa?
What makes you think mtatupiga overall? Since 2013 last year was the only year that trade between Kenya and Tanzania was in favor of Tanzania.Kwa first qtr mumefanya vizuri lakini tukija kwenye overall tutawapiga vizuri tuu kama tulivyowafanya mwaka 2021 👇
Does this make Tanzania better than Kenya?Kwa unywaji huu wa maji hata evolution hampo 😅😅😅
Industrialization wakati commonly mnaishi kama nyumbu 😂😂😂
View attachment 2258226
Hectares ngapi?Hio unayoiita pond itaongeza rice production in Kenya by more than 30%.
Cc much know
Ndio tumeanza sasa last year kwani huoni mnavyotapatapa kuzuia lorries zetu hapo baada ya last year kupigwa chini?What makes you think mtatupiga overall? Since 2013 last year was the only year that trade between Kenya and Tanzania was in favor of Tanzania.
Data iko wapi?Hiyo 'pondi' unayoidharau itawezesha irrigation ya 70,000 acres of rice throughout the year
Elimu yao ndogo sana, hapo ndio upeo wao umekomeaWe jamaa kumbe huwa huna akili .. "industries and agriculture ar the economic interdependent sectors" kama hujaendelea kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda ..
Tazama hio video niliyopost. Wacha kutusumbua. Kama huna bundle shauri yako.Data iko wapi?
Wangefukuzwa kama mbwa na kuvunjwa miguu..Malaika anajulikana ila utashambuliwa humu ndani! Unafikiri leo angekuwepo hai hawa watu wa Ngorongoro na Loliondo wangepewa fidia na ardhi mbadala?